Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Nimekuwa nikitafakari jambo hili na nimejiuliza maswali kadhaa.
Je, kuna watu ambao tayari wana wapenzi wapya, wanawapenda na wanaendelea na maisha yao, lakini bado wanabeba maumivu, hofu au kumbukumbu za mahusiano yao yaliyopita?
Kwa mfano:
Bado unaogopa kuachwa tena kwa sababu ya...
Katika kufatilia sakata la usimamishwaji wa ndege yaliyotokea jana, kumbe sikujua taifa lenye nguvu duniani lililotolewa kamasi na Iran bado linatumia mifumo ya miaka ya 70 katika uwasilishaji wake wa taafifa za ndege na haliya hewa.
Najua vijana wengi wa leo hasa wale waliotoka vijijini hata...
Urusi imeshindwa kuondoa utegemezi wa dola ya Marekani (USD) na kuifanya Yuan ya China kuwa sarafu mbadala katika biashara ya kimataifa.
Ngoja nieleze kwa lugha rahisi.
1. Urusi ilitaka kufanya nini?
Baada ya Marekani na nchi za Magharibi kuiwekea Urusi vikwazo kutokana na vita vya Ukraine...
Mzazi na akili zako timamu unamchoma binti mdogo sindano au unamuweka kijiti mwanao, ukiwa na lengo la kuzuia mimba.
Hivi hii na kumruhusu kufanya ngono atakavyo kuna tofauti gani? Ameshajua anachomwa sindano au anawekwa kijiti asipate mimba. Maana yake anao uhuru wa kufanya ngono atakavyo...
Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa, na milioni 600 hawana umeme kabisa. Ukubwa wa changamoto hii ndio unaofanya uwepo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika COP31 kuwa na uzito mkubwa kwa Tanzania na bara zima la Afrika. #TanzaniaCOP31...
Kuna kitu kimoja watu wengi husahau wakiweka CCTV — na mimi nimeona wateja kadhaa wakiumia kwa sababu hiyo hiyo. Unaweka kamera nzuri, DVR nzuri, kila kitu kinafanya kazi. Lakini umeme ukikatika (na sote tunajua hali ya umeme ilivyo), mfumo mzima unazima. Kamera zinalala. Na mara nyingi, ni saa...
BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa)
• Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura.
• Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani).
• Bei ya Dukan...
Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili.
Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia.
Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
Nachukia sana ninapo ona jitu kama kiongosi limezungukwa na misitu,iliyojifunika minguo ya ccm wakisubiri uongo.
Yaani leo hio kiongosi unawadanganya hayo maccm yakuwa Tundu Lissu aliandika barua za kuomba msamaha kabisa?ili jitu likoJe na mikengeza hiyo litakuwa pia ni kiziwi? halisikiii wala...
Nenda kajionee mwenyewe katika Instagram Akaunti zao uone watu wakubwa na Maarufu wanaowa-Follow kwenye Instagram Akaunti zao wenye jinsia ya kiume na wale ambao wao kina Uncle T na Mauzinde wanawa-Follow katika akaunti zao au biashara zao zinazomilikiwa na Wanaume.
Ndiyo maana sikushangaa...
Mimi ni Clinical officer mwenye uzoefu wa kutosha, nina leseni hai, nafanya procedure zote kama vile kuzalisha, kushona , kufunga back slab na complete cast, kutoa maji tumboni na kifuani (thoracocentesis & Paracentesis), Kutaili (Male circumcision) na ku assist major surgery thither...
Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿
UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600.
Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti.
Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe..
Huenda...
Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania.
Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.