wifi

  1. Pdidy

    Wanabodi nimekutana na Wi-Fi sehemu zimeandikwa

    Juzi nilikuwa maeneo ya Manzese, nikakutana na sehemu ambayo walikuwa wanatoa huduma ya kuangalia nyota. Nikasema ngoja nijaribu, nikaomba wanitajie nyota yangu. Cha kushangaza, majibu niliyopewa yalikuwa haya: Mume huna. Pesa huna. Bundle huna. Utaolewa lini? Jaman haya maneno yanaumba muwe...
  2. C

    WiFi camera "bila waya" — ukweli watu wengi hawaambiwi

    Mteja mmoja aliniuliza wiki hii: "Kwa nini niende na kamera za waya wakati kuna za WiFi, bila usumbufu wa kuvuta cable?" Ni swali zuri, na nimeona wengi wananunua WiFi camera kwa sababu hii hii — kisha wanakwama. Kwanza, neno "wireless" linadanganya kidogo. Kamera ya WiFi bado inahitaji waya wa...
  3. M

    Mzazi umefunga wifi nyumbani na unaruhusu watoto waitumie bila mipaka, unasubiri kuvuna ulichopanda ?

    Hongera kwa kufunga wifi lakini umewahi kuwaza matumizi yake kwa hao watoto wako wanaoitumia ?
  4. Mechanic 97

    Nasomaje sms za laini iliyopo ndani ya pocket wifi

    Wakuu poleni na majukumu naomba mrejee kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Ni hivi nahitaji niweze kuzisoma kupitia android tablet niitumie mbinu gani?
  5. Kipenzi Changu

    Kutusomea Password ya WiFi kwenye mabasi; wabongo tunapenda kujipa kazi

    Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi. Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani Password. Ya nini yote hayo?! Si angebandika tu hiyo password kwenye maeneo kadhaa kwenye kuta za basi...
  6. M

    Soko halina huruma. Kwa huu mlipuko wa biashara ya Wi-Fi, tunakoelekea internet itaanza kuuzwa sh 200, huku Serikali ikianzisha vibali na kodi mpya

    Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi. Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
  7. V

    Ni yapi Madhara ya WiFi (wireless network) kiafya?

    Binafsi nimeona Madhara ya WiFi ya kiafya ambayo ni maumivu ya kichwa (body weakness creation) Nimethibitisha Je, wewe unamfaham Madhara mengine ya kiafya na vingine? Unasemaje kuhusu HOJA ya WiFi kusababisha maumivu ya kichwa?
  8. okiwira

    Wataalim wa Wifi naombeni msaada wa kibiashara

    Salam wana Jf Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs. Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data washusha movies, umbali kiasi gani ndio mzuri? Kifurushi unlimited haijalishi kitamiwe kiasi gani...
  9. Royal Son

    MINI WIFI CAMER BEI POA

    📹 MINI WiFi CAMERA Linda Nyumba, Biashara na Gari lako kwa kamera ndogo yenye ubora wa juu! ✅ HD Video Recording ✅ WiFi Connection ✅ Night Vision ✅ Motion Detection ✅ Ufuatiliaji kupitia Simu 💰 Bei: Tsh 40,000/= 📞 0712350159 📍 Arusha Town Usalama wa kisasa, ukubwa mdogo, ufanisi mkubwa!
  10. Think2

    Serikali mmeweka WIFI masokoni na stendi ila mmezipiga pin( password)

    Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi? Kama mmeamua kuweka free Internet basi tueni password ili abiria waweze kutumia huduma ya Internet na sio...
  11. Mtoto wa nzi

    Msaada WiFi haiungi kwenye Laptop yangu..

    Habari. Msaada tafadhali... Ofisini hapa tumejichanga tumenunua Router ya ZTE model K12 unlimited bundle. Sasa issue inakuja kwenye kuunga kwenye Laptop yangu Dell Latitude 3340. Wenzangu wote zimeunga fresh tu. Wifi zingine za ofisini zote naziona lakini hii tulionunua peke yangu ndio siioni...
  12. N

    Namna ya kufanya configuration ya universal pocket Wi Fi

    Habari wanafamilia wenzangu naomba msaada namna ya kuseti configuration ya wifi zinazopokea laini zote, nikiweka laini na kulog in inakubali ila inanipa ujumbe wa connected without internet lakini laini ina kifurushi, msaada wa kunivusha hapa.
  13. funaku

    Je, wakazi wa Mbagala wataweza kutunza mabasi ya mwendokasi yenye viyoyozi na WiFi?

    Mabasi ya sasa. Hali ya usafiri wa mbagala. Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini. Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?
  14. ndege JOHN

    Wamiliki wa bar tufungieni WiFi hata tatu

    Mmeshindwaje trick ndogo ya kututeka.funga WiFi hata tatu hapo bar mtu uzidi kukaa ukiendelea kula life bar yako itajza maana hata maofisini siku hizi hatutoki kwa sababu hio dunia ya sasa videos/reels ndo kila kitu.
  15. M

    Je? Kuna uwezekano wa kupata line ya pocket wifi router?

    Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
  16. ZOYA internet

    Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana bado unaweza kukuta watu wanajiunga na wifi yako kiulaini kabisa na hivyo kama umeweka kibiashara...
  17. Davidmmarista

    Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

    Habari za muda huu wakuu wa JF! Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi? Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani...
  18. R

    Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  19. Setfree

    Jamani kaka yangu; hayo unayomfanyia wifi yangu, Mungu anakuona!

    Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula. Sokoni anakazana—anauza maandazi ili watoto wapate ada ya shule maana wewe huwalipii. Jioni inamkuta bado kwenye...
Back
Top Bottom