Sasa hivi kila mtu anajiamulia mambo, wanajiamulia mambo, yani ni kama nyumba haina baba yani nyumba haina kiongozi, serekali na hili shirika lake ijitafakari, haiwezekani kila siku umeme unakatwa, jana na leo maeneo kama Mwenge hakuna umeme,
Kipindi cha nyuma walikua wanatoa taarifa kwenye...