tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. WIDERANGE AFRICAN SAFARIS

    JamiiForums Tanzania 4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027

    4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027 Tarangire • Serengeti • Ngorongoro Crater Join our 4 Days Tanzania Group Joining Safari and explore Tarangire, Serengeti and Ngorongoro Crater at an affordable price. Share a 4x4 safari vehicle with fellow travelers, enjoy professional...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni na Bush lawyers: If a person tries to frighten, threaten, intimidate or force in relation to treason in Tanzania

    Bush lawyers tuna test mitambo Under Section 39 of the Tanzania Penal Code, treason includes actions carried out with the intent to intimidate, overawe, force, or constrain the Government of the United Republic, the Parliament, or the courts. Here are simple, hypothetical examples of how a...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Jeshi la Tanzania linavalishwa nguo za Burundi wakapigane DRC? Ni ujinga

    Msemaji wa Jeshi la Burundi, Brig. Gen. Gaspard Baratuza amekanusha taarifa kwamba wanajeshi wa Tanzania waliingia Burundi wakiwa wamevalia sare za kijeshi za Burundi ili kusaidia katika mapigano nchini DRC. Amesema eti Jeshi la Burundi lipo nchini DRC kihalali, hivyo hakuna sababu ya kuwaficha...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar wasaini Mkataba wa kuondoa utozaji kodi mara mbili (Double Taxation Agreement-DTA)

    TANZANIA, QATAR ZATIA SAINI MKATABA WA KUONDOA UTOZAJI KODI MARA MBILI. Na Benny Mwaipaja, DOHA QATAR TANZANIA na Qatar, leo tarehe 29 Septemba, 2026, zimetia saini Mkataba wa Kuepusha utozaji kodi mara mbili na kuzuia ukwepaji kodi (Double Taxation Agreement). Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar Zasaini Mkataba wa Ushirikiano

    Waziri Mkuu wa Dkt. Mwigulu Nchemba (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani wakishuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kisiasa na kidiplomasia baina ya Qatar na Tanzania. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ebu jaribu ku-imagine Tanzania ambayo Lissu ndio raisi. Unadhani ni vitu gani na gani vitabadirika?

    Ebu jaribu ku-imagine Tanzania ambayo Lissu ndio rais. Unadhani ni vitu gani na gani vitabadirika?
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania 80% ya vijana Tanzania wenye miaka 35 hawana akiba ya kueleweka, hawana ardhi au asset yoyote na hawajajenga nyumba ya kuishi

    Source: Tomato Sauce Uchumi wa Mandoo ndooo
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa LNG, Graphite, Nickel yavutia Marekani Tanzania

    Tanzania yavutia Wawekezaji kutoka Marekani Miradi ya LNG,Mahenge Graphite na Kabange Nickel Miradi ya kimkakati ya LNG, Mahenge Graphite na Kabanga Nickel inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka Marekani, ikiashiria fursa kubwa katika sekta ya nishati na madini nchini Tanzania. Uwekezaji huu...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Afya "Triple Zero" wa Tanzania UNGA 81

    Wakati wa mkutano wa UNGA mataifa au mashirika mbalimbali hutumia ile platform kupush agenda zao mbalimbali ambazo wao hudhani zinaweza pata attention ya kidunia maana ni likely dunia nzima huwa Newyork for the time being. Mfano UNGA session ya Mwaka huu ambayo ni ya 81 agenda zilikua nyingi...
  13. Kachina95

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA UWEPO WA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA.

    Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo! Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama. Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya OFFSIDE yaanza kufanyiwa majaribio! Vipi ije na Tanzania au unaona itaharibu mchezo wa Soka?

    Nchini Canada, wanafanyia majaribio sheria mpya ya offside inayojulikana kama ‘Wenger Rule’ na katika tukio hili, bao LILIKUBALIWA kwasababu mchezaji hakuwa ameotea! Kwa sheria hii, mshambuliaji atahesabika kuwa ameotea (offside) pale tu kunapokuwa na nafasi ya wazi (daylight) kati yake na...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa CJ: Mahakama Ndie Mlinzi wa Katiba ya JMT, Kwenye Ukiukwaji wa Katiba, Je Mahakama Iendelee Kukaa Kimya Kusubiria Shauri, au Itumie Suo Moto?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haikutoka Ukumbini UNGA Ilibakia Ndani Kumsikiliza Netanyau

    https://youtu.be/xPKCwnS7W0Y
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nyie TMA elininyo ni Tanzania tu au na majirani zetu wataloa?

    Jibuni swali langu, maana naofia huyo elininyo inavyotangazwa yaweza kuwa gharika kwa Tanzania baada ya dhambi za kuteka watanzania na kuwaua. You bera watch your back
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam

    Dar es Salaam Kuchagua POS Bora kwa Maduka jijini Dar es Salaam Maduka yenye shughuli nyingi yanahitaji POS ambayo ni ya haraka, rahisi, inayopatikana mtandaoni, na muhimu kwa maamuzi ya kila siku. Weka kipaumbele kasi kwenye kaunta Mtiririko rahisi wa mauzo huwasaidia wafanyakazi kuwahudumia...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kutangaza nchi kwa kutumia jina Samia badala ya Tanzania!

    Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii. Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
Back
Top Bottom