Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuber bin Ally amejikuta katika hali ya aibu
Ni baada ya wageni waalikwa katika harusi ya mwanaye kuanza kuondoka baada ya mpishi na waandaazi kuchelewasha chakula
Tukio hili limetokea leo ijumaa msikiti mkuu Kinondoni.
Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania
Utangulizi
Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania
Utangulizi
Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika
Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya miundombinu barani Afrika.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)...
Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi K, kitaalam inaitwa "K shaped economy". Huu uchumi unakuwa na pande mbili kama herufi K, upande wa juu unakuwa na pesa nyingi, ukuaji mkubwa, matrilioni ya hela halafu upande wa chini unakuwa na umasikini hali ngumu na dhiki.
Ripoti zilizopo ni za...
Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025.
Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
Habari wanajamvi,
Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri...
Photo courtesy of State House Uganda.
Uganda and Tanzania are stepping up energy cooperation under a new agreement aimed at expanding regional trade, attracting investment and creating jobs.
President Yoweri Museveni and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan witnessed the signing of a...
Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania.
Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
China inasafiwa kwa kupiga hatua kubwa za maendeleo ya kiuchumi lakini inaisfiwa zaidi kwa hatua kubwa na za haraka za uchumi na maendeleo yaliyomaliza umasikini wa watu wake hadi kuwa china ya 1%.
Ni muhimu kujua unaweza kuwa taifa lenye uchumi ukubwa mkubwa na umasikini mkubwa sana kama vile...
Habari za jioni wadau,
Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema.
Nenda kwenye komenti uone yaani zimekaa TU kidini ili mradi Kila mtu anamsapoti WA dini yake.
Watanzania hilo ni...
Buy Sunflower Oil from Tanzania: The Complete 2026 Buyer’s & Importer’s Guide
Buy sunflower oil from Tanzania. Eco Edge Company Limited supplies high-quality, natural sunflower oil for export and local markets.
If you want to buy sunflower oil from Tanzania, you are sourcing from one of the top...
My Take
Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥
Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇
https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja...
Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la kimataifa la biashara ya Kaboni.
Tani milioni 4.2 za kaboni zilizothibitishwa zina thamani ya zaidi...
Sio muelezaji mzuri ila ukifatilia jinsi mpaka nchi iliyokuwa na umoja na kuharibika vibaya sababu ya dini, ukabira, rasilimali uwezi kukosa Yugoslavia.
Leo nasikia sijui kanali fulani anasema ukiona wanajeshi basi umepata amani ila kasahau October 29 walikuwa kama mgambo na polisi walikuwa...
Royal tour imegeuka kuwa roho toa. Serikali ya Tanzania imechafuka kimataifa. Watanzania hawatakuzomea uone aibu, bali watakulaani wewe na kizazi chako. 29.10.2025 haitasahaulika. Ndo kitu pekee wajivunia.
Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.