tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi nia na madhumuni ya Tundu Lisu kuihamishia familia yake ng'ambo, na kisha yeye kurejea nchini pekeyake ni ipi hasa dhidi ya umoja na amani ya TZ?

    Je, ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni? Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake? Na, kwanini aliitanguliza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kutangaza nchi kwa kutumia jina Samia badala ya Tanzania!

    Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii. Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Brazil wamepiga marufuku online gambling/betting. Tanzania iige?

    Rais Lula wa Brazil amepiga marufuku kamari ya mtandaoni nchini Brazil siku kama nane kuelekea uchaguzi wa Rais. Madai ni kuepuka matatizo ya kiafya na kiuchumi? Tanzania nayo ipige marufuku online gambling kama kubet, aviator na online casinos?
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujifunza Qatar kuondoa msongamano wa magari

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Serikali ya Qatar kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia ya kisasa na nishati safi katika mifumo ya usafiri wa umma. Dkt. Nchemba ametoa pongezi hizo leo, Jumamosi, Septemba 26, 2026, jijini Doha, Qatar...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  7. Seth saint

    JamiiForums Tanzania Tanzania itahitaji miaka zaidi ya elfu moja au zaidi kupata mageuzi ya kweli

    Sio unabii au utabiri bali ni hitimisho ambalo nimekuja nalo baada ya kupitia mambo mbali mbali katika hii nchi. Habari za wakati huu wasomaji wa JF ndani na nje ya mipaka ya taifa hili. Hii nchi ina watu na vitu vya kushangaza sana.Nianze ni hii;hali ya sintofahamu inayohusu mvua kubwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Barua Kutoka Jela ya Birmingham, Alabama na Mustakabali wa Siasa za Tanzania.

    Na: Kijana Wa Ifoza Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana. Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania JF ndio mtandao unaoitambulisha Tanzania kama bado nchi yenye watu wenye akili

    Katika mitandao yote kwa hapa Tanzania ni JamiiForums tu ndio utakuta nyuzi na majadiliano magumu yenye kufikirisha bongo na hata kuumiza akili. Mitandao mingine yote ukiondoa wanaharakati wachache na wafanyabiashara wanaofanya matangazo ni utumbo na uchafu mtupu. Maudhui yaliyopo ni ya akili...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tukiamua kua na Consistency nzuri ya Siasa za Kiharakati, CHAN 2027 isingefanyika Tanzania !!. Ni vile tunaingia kwenye Mfumo wa CCM

    Jambo Moja la Uhakika ni kua, CCM hasa hili Genge lao la wahuni, linatabirika , sio watu ambao Wana Akili. Tungeendelea kufanya Siasa ambazo, zinawalazimisha Kufungulia watu Kesi za Ugaidi, kuita watu Magaidi, Kuteka na kuua watu . Mpaka tunafika 2027, kusingefanyika AFCON
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakaribia kuzindua huduma za usafiri wa kamba ( cable transport )

    Tanzania inaelekea kuanzisha huduma za usafiri wa magari ya kamba (Cable Transport) baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuanzisha kitengo maalum kitakachosimamia na kudhibiti aina hiyo ya usafiri. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Habibu Suluo, amesema Kitengo cha Udhibiti wa Usafiri...
  12. passioner255

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vimeshindwa kulinda usalama wa nchi

    Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi. NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau | Kufuzu AFCON 2027 | Uwanja wa New Amaan

    Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Licha ya kuwa Tanzania tayari...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Elimu ya Tanzania: Wanafunzi 2,4, ii na iv, wabadilishiwa tarehe ya Mitihani kisa El Nino. Wizi Mtupu

    Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026. Kwa...
  15. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Kulinda "Mafundisho ya Taifa Kuhusu Jamii" ya Watanzania

    Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri =================================================================== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TUME YA MIPANGO Kumb. Na: CEA.50/212/01/A 25 Septemba, 2026 Katibu Mkuu Kiongozi...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania UNGA meeting Kenya speech Vs Tanzania speech!

    Wakenya! Mungu awabariki kwa kuandaa viongozi
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zinazoongoza kwa wafanyakazi kuwa na maringo na masifa hapa Tanzania

    1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo taasisi huwa wanajiona kama wanafanya kazi mbinguni vile yani.
  19. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tanzania na uhuru wa Palestine inatusaidia nini !

    Heshima sana wanajamvi, Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine. Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika. Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
Back
Top Bottom