tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za uhamisho kwa mwanafunzi wa sekondari anayetoka nje ya nchi na kuhamia Tanzania

    Habari za jioni, Rafiki yangu anataka kurudi Tanzania kutoka South Africa na watoto wake wawili. Kwa madarasa ya huko wote ni seniors wako grade 8 and 10. Msaada kwa yafuatayo: Nini azingatie kabla ya kurudi na kuhamisha watoto (wamesoma huko toka shule ya msingi mpaka sasa). Je, ni...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Nigerian Traveler Praises Tanzania: Ujamaa's Impact

    A Nigerian traveler’s viral social media remarks on his visit to the United Republic of Tanzania have sparked widespread discussion. Many attribute the exceptional peace and hospitality he witnessed to the legacy of “Ujamaa,” a unique form of African socialism pioneered by founding fathers...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi

    28 September 2026 Muscat, Oman Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi Muscat: Mkutano wa kwanza wa mashauriano ya pande mbili kati ya Usultani wa Oman na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulifanyika Jumatatu huko Muscat 28 September 2026. Upande wa Oman...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana akizifagia

    Jeshi la Polisi limemkamata Faustine Zakaria, kinyozi kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana katika picha mjongeo akifagia noti alizokuwa amezitawanya sakafuni pamoja na nywele zilizotokana na shughuli za unyoaji na uchafu mwingine ndani ya saluni yake. Picha mjongeo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je kuna vita ya mafisadi na Wazalendo Tanzania?

    Kwa maoni ya wengi kuna vita ya mafisadi na Wazalendo wa Tanzania. Ukiona watu wote wanao ongelea mambo ya kitaifa ya muhimu wanapata shida 1. Warioba na Tibaijuka kutishwa 2. Lissu kufunguliwa kesi 3. Chadema kutafutiwa mizegwe isiyo ya maana 4. Dr Nchimbi kuvuliwa umakamu baada ya kutetea...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  8. Magema Jr

    JamiiForums Tanzania NIINI KIFANYIKE KUSHIBITI WEREDI WA SPORTS PUNDIT TANZANIA

    Ndugu zangu wana soka hili tatizo mnalionaje namna alichukuliaje?mmefuatilia hawa wanaoitwa wachambuzi kwenye media mbalimbali? Yaani imekuwa ni kawaida mtu kuzungumza chochote, bila ushahidi wowote bila aibu, taarifa za kubagaza na kubananga brand za timu zetu. (Hasa,Simba na Yanga) Je suala...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: TANZANIA NA QATAR BADO TUNA FURSA NYINGI ZA KIUCHUMI

    Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri zitawanufaisha raia wa nchi zote mbili. “Bado tuna fursa nyingi ambazo tunaweza tukanufaika nazo kama...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Mapigo 10 ya Mungu kwenye siasa za Tanzania. Mungu akamwambia Farao bado pigo moja

    BWANA akamwambia Musa, Liko pigo moja bado, nitakaloleta juu ya Farao na juu ya Misri; baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku. BWANA akasema, usiku wa manane nitapita katikati ya nchi ya Misri; na wazaliwa wa kwanza wote watakufa, tangu yule mzaliwa wa kwanza wa Farao aketiye katika kiti chake...
  12. K

    JamiiForums Tanzania MUSEVI anasema hajui mradi wa Tanga kinachoendelea!!! Tanzania ni janga

    Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni janga: wenzetu Kenya usafishaji wa mafuta, Uganda oil wanafanya kweli. Je Gas ya Tanzania wanasubiri upigaji

    Yaani Tanzania tumepata gas miaka mingi lakini hata umeme wa uhakika hatujapata mpaka bawa la nyerere!. Uganda angalieni walivyoendeleza miradi ya mafuta kuanzia uchimbaji wa mafuta, bomba la usafirishaji na usafishaji. Kenya hawana hata mafuta ya maana wanajengewa mradi wa $17B. Sasa yaani hii...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamenenepeana vibaya sana hadi huruma

    Kuna wanawake Tanzania hasa mishangazi huwa wananepeana vibaya sana. Unakuta mkono wa mmama ni mkubwa kama paja la ng'ombe,mashavu kama anapuliza moto, tumbo kubwa kiuno kimeunganika mgongo na makalio huwezi kuona tofauti yoyote, shingo ina pingili kama matairi mengi ya baiskeli yamepangwa...
  15. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

    Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania hataki kupoteza muda,kufikili dhidi ya teuzi zake yeye anaangalia walioshindwa ubunge, mtu aliisha kuwa mbunge leo anakuwa dc?

    Rais wetu ni mvivu wa kufikiria ndio maana hataki kupoteza muda na yeye anaangalia yake makali tu yaliyotengwa ccm anayapa ubunge so shame. Yaani teuzi zake ni mwenye nacho anaongezea. Mtu amekuwa mbunge alafu unamteua awe DC baada ya kushindwa ubunge ccm Nchi ni ya watanzania haiwezekani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania WADAU WA PROCUREMENT: NI TAASISI ZIPI TANZANIA ZINA ‘MAOKOTO’ HALISI—SALARY NZURI + SAFARI/PER DIEM?

    Wakuu, naomba uzoefu na facts kutoka kwa watu waliowahi au wanaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali Tanzania, hasa kwenye eneo la Procurement/Supply Chain. Kuna taasisi ambazo kwa nje zinaonekana kawaida, lakini ndani yake zina salary scales nzuri, procurement activities nyingi, field...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Buy ICUMSA Sugar in Tanzania: Bulk Supply by the Metric Ton

    Buy ICUMSA Sugar in Tanzania: Bulk Supply by the Metric Ton If you want to buy ICUMSA sugar in Tanzania, the process is simple in principle and unforgiving in practice. You choose the right grade (usually ICUMSA 45 or ICUMSA 60), agree a quantity in metric tons, confirm the import paperwork...
  19. WIDERANGE AFRICAN SAFARIS

    JamiiForums Tanzania 4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027

    4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027 Tarangire • Serengeti • Ngorongoro Crater Join our 4 Days Tanzania Group Joining Safari and explore Tarangire, Serengeti and Ngorongoro Crater at an affordable price. Share a 4x4 safari vehicle with fellow travelers, enjoy professional...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni na Bush lawyers: If a person tries to frighten, threaten, intimidate or force in relation to treason in Tanzania

    Bush lawyers tuna test mitambo Under Section 39 of the Tanzania Penal Code, treason includes actions carried out with the intent to intimidate, overawe, force, or constrain the Government of the United Republic, the Parliament, or the courts. Here are simple, hypothetical examples of how a...
Back
Top Bottom