Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
Mnamo mwaka 2016, nilinunua mtambo kutoka kwa mtu aliyekuwa akiishi Arusha, huku mimi nikiishi Mbeya. Mtambo huo ulikuwa na thamani isiyozidi Sh500,000. Baada ya kuupokea, nililipa fedha zilizokuwa zinadaiwa na mteja wa awali, ambaye ndiye aliyekuwa mmiliki wa kwanza wa mtambo huo.
Baada ya...
Wholesale Sugar exporters in bulk
Wholesale Sugar Exporters in Bulk: Your Premier Source from Tanzania & Brazil
Top wholesale sugar exporters in bulk from Tanzania. Eco Edge Company Limited offers premium quality, reliable supply, and competitive prices. Contact us!
Eco Edge Company...
brazil
brazil refined icumsa 45 sugar
brazil refined sugar for bulk export
brazil’s top sugar factories
brown sugar icumsa 600-1200 tanzania
from
icumsa 45 sugar
icumsa 45 sugar manufacturers in brazil
premier
sugar
tanzania
white sugar icumsa 45 tanzania
wholesale exporters icumsa 45 sugar tanzania
wholesale sugar exporter in bulk
Rice wholesale bulk exporters
Rice Wholesale Bulk Exporters: Sourcing Premium Rice from Tanzania for Global and East African Buyers
Eco Edge Company Limited is a Tanzania-based rice wholesale bulk exporter supplying wholesalers, retailers, and distributors across East Africa, alongside...
1121 basmati rice
1401 basmati rice
1509 basmati rice
brown rice
buyers
from
golden sella basmati rice
ir64 long grain white parboiled rice
japonica rice
jasmine rice
long grain white rice
perfumed basmati rice
raw broken rice (100%)
rice wholesale bulk
rice wholesale bulk exporters
tanzania
thai hom mali rice
white sella basmati rice
SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle, amesema Tanzania ni mshirika muhimu katika kukuza uchumi na biashara, akisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Uingereza.
Sir Lindsay amesema hayo katika mahojiano yaliyofanyika pembezoni mwa Mkutano...
Watu wengi wanafikiri kwamba baada ya gari kufika bandarini, kinachobaki ni kwenda kulichukua. Ukweli ni kwamba kuna hatua mbalimbali zinazopaswa kukamilishwa kabla gari halijaweza kutoka bandarini.
Kwa ujumla, mchakato unaweza kueleweka kwa hatua hizi:
1️⃣ Gari linawasili bandarini
2️⃣...
That is the message coming through as IPU delegates experience Arusha and Ngorongoro beyond the conference halls, they are discovering the landscapes, wildlife, hospitality and warmth of Tanzania.
They came for parliamentary diplomacy. They leave with an experience to remember.
Tanzania is not...
Kwa mujibu wa takwimu za UNAIDS za mwaka 2025, watu milioni 41.0 duniani walikuwa wanaishi na HIV, huku watu milioni 1.2 wakipata maambukizi mapya na takribani 570,000 wakifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI.
Kati ya wanaoishi na HIV, milioni 32.1 walikuwa wanapata dawa za...
TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom
Uchumi unakua vizuri
Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu
Real estate iko juu sana sahivi watu wanajenga sana
Mapato ya TRA yanaongezeka
Ila hakuna Trickle down economics...
Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa Bahari ya Hindi Magharibi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 6, 2026, Waziri wa Nchi...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma.
Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi.
Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
Wasalaam,
Wakuu, kuna jambo ambalo naamini tunapaswa kulijadili kwa uzito, hasa sisi wadau wa sekta ya utalii.
Tanzania tumebarikiwa kuwa na vivutio vya kiwango cha dunia kuanzia Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro hadi Zanzibar. Lakini pamoja na utajiri huu, bado tunapaswa kujiuliza kama...
Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa eneo la Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania imepiga hatua kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana kwenye sekta mbalimbali ikiwemo nishati, maji, afya, elimu, Mawasiliano pamoja na uchukuzi ambapo...
Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia.
Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
Salama wakuu?
Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na hata tukiyaona tunayafumbia macho na kuona ni kawaida.
Kuna bullying za aina tofauti kama
•...
Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
Mjumbe kutoka nchini Thailand, anayeshiriki katika Mkutano wa Kimataifa unaoendelea jijini Arusha, Chatcha Pooluea ameipongeza Tanzania kwa mapokezi mazuri na ukarimu alioupata tangu alipowasili nchini ambapo amesema Tanzania ni nchi ya kwanza katika bara la Afrika kuitembelea, akieleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.