Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Nchi yetu Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye rasilimali nyingi na adimu sana
Tanzania bado kuna ardhi kubwa yenye rutuba inayofaa kwa kilimo, kuna mbuga za wanyama, madini mbalimbali kama dhahabu, chuma, almasi na madini mengine hupatikana nchini kwetu tu dunia nzima
Uwepo wa...
Dar es Salaam na sehemu nyingine za miji sasa hivi karoti moja inauzwa shillingi mia tatu, wakulima wenye akili wangeachana na kulima mahindi na mihogo badala yake walime karoti wapige pesa za haraka haraka za maana.
Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu!
Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?!
Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
Ingefaa Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili au madaraja mawili. Aina ya kwanza iwe na barabara za lami za kudumu na aina ya pili iwe barabara za lami za muda.
Barabara za lami za kudumu iwe ni zile zinazokaa hadi miaka 15 bila kuharibika. Barabara za lami za muda iwe ni zile...
Tumeona kwa mbowe na CHADEMA.
Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali.
Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz.
Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana.
Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana.
Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo.
wakipata mafunzo tokea wadogo na walipo ni watendaji wakazi ambazo walio timamu ni kazi.
Kuna kazi ukiwapa...
Baada ya kuona mijadala mbalimbali inayohusu orodha ya "machawa" katika siasa zetu, sasa ni wakati wa kurudi kwenye mada muhimu na yenye muktadha wa kina kwa taifa letu.
Leo tunautazama mustakabali wa nchi yetu kupitia miwani ya magwiji watatu wa haki duniani: Thomas Sankara, Martin Luther...
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua katika utekelezaji wa malengo ya afya ya mama na mtoto, huku juhudi zinazofanyika zikitoa masomo muhimu kwa nchi nyingine za Afrika.
Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu.
Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
Naomba nitoe kero yangu.
Tumeona ajali iliyotokea Morogoro iliyosababisha vifo vya ndugu zetu. Hii ni mojawapo tu ya ajali nyingi zinazotokea mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, lakini hali hii inaendelea kujirudia bila mabadiliko makubwa.
Kero yangu kubwa ni hii: Je, kweli nchi...
Mkoa wa Kagera unatajwa kuwa kinara wa kilimo cha kahawa Nchini Tanzania ikizalisha aslimia 50 ya Kahawa yote inayolimwa Nchini humo.
Kagera pia inatajwa kama mkoa ambao kwa Sasa wakulima wake wanuza kahawa kwa mfumo wa kidijitali mfumo unaotaiwa kuwa Bora na usiokuwa na ujanjaujanja kutoka...
Na. Mwl Udadis, Sekei-Arusha
Uchaguzi wa Milton Dick kutoka Australia kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unahitimisha kipindi muhimu cha shughuli za kimataifa zilizowakutanisha wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka zaidi ya nchi 150.
Ni muhimu kutambua kuwa wajumbe hawa si watu wa kawaida tu...
Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika.
1. Msiba mkubwa watokea
2. Kimeumana Mabibo
3.Heche amaliza kazi
4. Kimenuka
5...and much more of this type!
Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja
Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
Anaandika John Heche.
Kazi ya msajili ni kusajili vyama, kuvilea ili vikuze ushindani bora wa kisiasa ili Nchi yetu ipate maendeleo ya haraka ..
Kwa kupata sera mbadala na kuwapa wananchi nafasi ya kuchagua mtu wanemtaka.
Huyu bwana Mtungi kinyume chake ni kushambulia chama chetu kila siku...
Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania...
08 October 2026
Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc
Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.