Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
08 October 2026
Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc
Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na kiburi cha kifikra cha wajuaji
Mwandishi mashuhuri wa michezo ya kuigiza wa Uingereza, William...
Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
afrika
afya
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
heshima
kinara
mtoto
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
Wasalaam,
Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu?
Sisema tuige Marekani 100%. Lakini kuna principle moja ambayo nadhani inaweza kutumika.
Mamlaka zaidi, rasilimali zaidi na...
Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani...
Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje.
Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.
Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila kufokafoka kwanza.
Wanaume hawaamini kama unaweza kufanya jambo zuri la maendeleo bila mbwembwe...
Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekezaji na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa...
Habari
Umeona gari Japan kwa TZS 25 milioni na ukaamua kulinunua?
Subiri kidogo. 🚨
Kabla hujafanya uamuzi, unahitaji kufahamu kwamba bei ya gari na gharama ya mwisho ya kulifikisha barabarani Tanzania ni vitu viwili tofauti.
Unaweza kuwa na gharama kama:
🚗 Bei ya gari
🚢 Shipping
📑 Customs...
Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi.
Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele.
Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini
Familia ya Mengi
IPP Group
Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200
Ridhuan Mringo
Derm Group
Mwanga Hakika Bank
Utajiri: Zaidi ya USD milioni 100
Silvestery Koka
SF Group
Utajiri: Zaidi ya USD milioni 80
Ernest Massawe
Erncon Holding
Tol...
Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza
Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
Kumekucha:
Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa Kimataifa.
Akizungumza katika mahojiano maalum pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa...
Tanzania na Msumbiji Kuimarisha Usalama wa Mpaka na Maslahi ya Kimkakati ya Ukanda
Na GULATONE MASIGA
Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Tanzania na Msumbiji, uliofanyika Dar es Salaam tarehe 4–7 Oktoba 2026, una umuhimu unaozidi masuala ya...
Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya chama kimoja. Hewa ya Dar es Salaam nyakati zile ilikuwa imejaa harufu ya mapinduzi ya fikra—mageuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.