Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mjumbe kutoka nchini Thailand, anayeshiriki katika Mkutano wa Kimataifa unaoendelea jijini Arusha, Chatcha Pooluea ameipongeza Tanzania kwa mapokezi mazuri na ukarimu alioupata tangu alipowasili nchini ambapo amesema Tanzania ni nchi ya kwanza katika bara la Afrika kuitembelea, akieleza...
Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi. Hao wanasiasa wanajisahau mapema sana mkiwakubalia wawape maelekezo kesho kutwa tu watawadharau kiasi kwamba mtakuwa kama wale wasajili wa vyama hawana heshima kwa serikali wala watanzania kama zamani
Ukitembea kwenye mitaa ya makazi Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Arusha au Dodoma, utaona picha inayochanganya kidogo. Kwenye nguzo kama za umeme, kuna nyaya za mtandao zimetandazwa hadi mitaani ambako familia nyingi bado zinategemea bando za kawaida za simu. Wakati huo huo, TTCL wanaomiliki...
Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu.
Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa.
Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari
Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro Crater and Lake Manyara. Enjoy affordable wildlife game drives, budget accommodation, meals and...
Kwasababu,
vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kua vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumedumaza pakubwa kuaminika kwa...
Tanzania inaweka historia mpya katika diplomasia ya mabunge kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Arusha kuanzia 5–9 Oktoba 2026. Mkutano huo unawakutanisha mamia ya wabunge kutoka duniani kujadili utawala bora, ushirikishwaji, fursa na uwezeshaji wa...
Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise.
Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
Salaam
Tatizo la Polisi wa Tanzania wanaongoza kwa Vitisho wakihisi Wadukuzi wanawaogopa. Sasa watu wamedukua, badala muwekeze kwenye Ulinzi wa kimtandao, nyie mnatisha. Hadi mtu anadukua unadhani anakuogopa?
Lengo la mada ni kutaka kujua kama vitisho vitisho vitasaidia watu wasidukue...
Tanzania inatarajia kuwa mwenveii wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) utakaofanyika iijni Dar es Salaam kuanzia Oktoba 6 hadi 9, 2026, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
Nitazungumzia tukio hili la Oktoba 29 mara kwa mara [Amnesty International] kwa sababu historia isiposomwa kwa weledi, ina tabia ya kujirudia katika sura mbaya zaidi. Kulinyamazia tukio hili ni kuzika sauti za wahanga na kuruhusu dhuluma kuwa utamaduni wa kawaida. Tunapolinganisha na Mauaji ya...
In fact,
kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi.
Sheria na...
Kenya mkate ukipanda bei, wanaingia barabarani, Tanzania saruji imepanda tuko kimnya hata makalio kuna wakati yanapiga kelele kwa kujamba.
Sasa bia zimepanda bei bado tuko, kimnya tu hivi tunaelekea wapi?!
KITOVU CHA HIP HOP TANZANIA JIJI LA MWANZA.
Katika miaka ya 1990, Mwanza ilikuwa bado inajulikana rasmi kama Manispaa ya Mwanza, lakini ulikuwa ni mwongo wa dhahabu ulioweka msingi mkubwa wa mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yaliyofanya mji huo kupandishwa hadhi na kuwa Jiji la pili nchini...
CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania.
Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society .
Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income.
Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
Huenda Mimi tu ndyo nimegundua hili..? Tanzania kumekuwa na mfumuko Mkubwa wa bei kwenye nyumba na viwanja
Kumekuwa na mfumuko uliopelekea bei za nyumba kununua na kuuza kuwa kubwa kuliko uhalisia
Sasa ni kawaida kuambiwa kiwanja mbeni kinauzwa milioni 900 ambayo kiuhalisia haiendani na bei na...
Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Tanzania inajikuta katika njiapanda nzito ya kisiasa. Kwa upande mmoja, nchi inajivunia fursa...
Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia.
Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
kiongozi
kuliko
kuwepo
marais
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uhuru
viongozi
waliowahi
wanasiasa
wote
masterpiece Kamundu
Utangulizi
Tanzania ina rasilimali nyingi na watu wenye uwezo, lakini bado tunakabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutawala. Ili kuendelea, tunahitaji sera rahisi, uwajibikaji, ubunifu na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi.
Kodi, biashara na ujenzi
Mfumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.