sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 1998 nilikosa kazi ya upolisi kwa kukimbia sana, nikaambiwa nina mbio za mwizi na wala sio za askari

    Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini kabla ya tendo unampenda sana, ukishamaliza unataka kurudi kwako?

    Kuna hii tabia unakuwa na hamu sana kabla ya tendo halafu baada ya kumaliza ghafla hata ile hamu ya kumuona mwanamke inapungua, tumetoa wapi? Naangalia hata kwa wanyama kina simba madume mengi baada ya mating yanaonekana kama maisha yanaendelea tu Hakuna habari za romance wala nini.sawa hao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katika kujenga Discipline (Nidhamu) hakuna vita kali kama Will Power Vs Self controll, Ni rahisi sana kusema I will do xx ila ni mtihani kufanya kweli

    Nidhamu au Discipline ni tunda la ku master Self Contoll mara kwa mara mpaka inakuwa sehemu ya maisha yako, lakini una kazi ya ziada ya kumechisha Self Controll na WillPower, Sio kazi rahisi. Will ni nia au maamuzi unayojiwekea. ndio maana kwenye kiingereza huwa tunasema i will ...
  5. JamiiForums Tanzania Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

    Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:- Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku. Miaka 70-75 yupo huru Baada ya hapo ni kifo Kwa hiyo, muda wa kuwa huru...
  6. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro ni mzuri sana

    Huu mlima kwa kweli salute sana. Yani siku kukiwa na clear sky mwonekano ni something else kabisa. Sasahivi ni jioni na unaonekana fresh hivi, siku ukiuona mchana na jua linapiga fresh view inakuwa very magnificent Milima mingine ambayo nimeiappreciate kimuonekano ni Mlima Meru na Mlima...
  7. JamiiForums Tanzania Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

    Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!
  8. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana mtu ulieweza kumwambia nakupenda na akakukubalia na ukawa mwingi wa furaha lakini mtu huyo huyo leo unainukua pisto kumchapa risasi

    Yeremia 17:9, "Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?"
  9. JamiiForums Tanzania MODERATOR NI HESHIMUNI SANA ....🤟🙏🙏 MIMI NI MIMI ⁉️

    TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha. Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza...
  10. JamiiForums Tanzania Watoza ushuru wanakutana huko Arusha kupeana mbinu mbalimbali.

    Tanzania inakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 46 wa Chama cha Wasimamizi wa Kodi cha Jumuiya ya Madola (CATA) utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba, 2026. Mahali: Arusha (katika Hoteli ya Gran Melia). Tarehe: Oktoba 5 hadi 9, 2026. Mgeni Rasmi: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa za chadema zimekaa ki laana laana sana

    Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu. Nawashauri wafuasi...
  12. JamiiForums Tanzania CCM imejikita sana kwenye phone farming kwenye mitandao ya kijamii kujisafisha na kushambulia watu.

    Habarini wana JF.Hii phone farming nahisi imeshazungumzwa ila kutokana na umaskini na matatizo ambayo CCM inatupelekea kuwa gizani ndio wao wanatumia pesa zetu kila mwenye wazo la kusaidia CCM. Nimejaribu kufatilia kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali unakuta account inapost jambo kukashifu...
  13. JamiiForums Tanzania Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wa wataalam hata mwaka 2023–2024, kulikuwa na El Nino kwanini mwaka huu tumeipa promo sana?

    Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
  15. JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa fundi mzuri sana wa kuchomelea, lakini bado ukabaki fundi wa kusubiri wateja

    Unaweza kutengeneza milango mizuri, madirisha, mageti, grill, meza na bidhaa mbalimbali za chuma—lakini mwisho wa mwezi ukajiuliza: “Mbona nafanya kazi sana lakini biashara yangu haikui?” Tatizo linaweza lisiwe uwezo wako wa kuchomelea. Huenda kuna mambo muhimu ya kibiashara unayapuuza bila...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Wazaramo kuongea sana ?

    Nini kinawafanya Wazaramo wawe wanaongea sana kwa muendelezo bila breki muda mrefu bila kuishiwa maneno kama vile Cherehani? Kuna Mzaramo introvert ?
  17. JamiiForums Tanzania Jambo jema sana hili

  18. JamiiForums Tanzania Tajiri akifa Waswahili wanakipamba sana kifo

    Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote. Huu ni ujinga, kifo ni kifo tu na kila mtu atakufa katika umri wowote, ukiwa Africa au nchi ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania Oktoba 2026: Tibeli women, mwanamke mjenzi. Nitasimama

    OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI. NITASIMAMA. Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao. Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je, unakoroma sana ukilala, na kwamba ndoa yako iko mbioni kuvunjika kutokana na kukoroma huko? Suluhisho lako ni hili hapa 👇

    SULUHISHO LA TATIZO LAKO LA KUKOROMA NI MOJA TU; JIFUNZE KUHEMA KWA KUTUMIA MDOMO UKIWA UMELALA ILI HEWA ITOKE NA KUINGIA KWA UHURU. Hili la kuacha mdomo wazi siku kicha linaweza kuwa gumu, lakini ukifiria kuwa bila kufanya hivyo, ndoa yako inaweza kuvunjika kutokana na kukoroma kama jenereta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…