maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa miujiza ya Mungu kwenye maisha yangu.

    Habari wakuu,mara ya mwisho nilisimulia hapa jinsi ambavyo nilipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu baada ya kupoteza kazi ikafika kipindi nakosa hata shilingi 100 ndani na nina familia ila baada ya kuattend maombi ya fulani mambo yakafunguka hapo hapo Story yenyewe hii hapa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha baada ya na maisha kabla ya

    Maisha yanafikirisha sana Mim ni form 4 point 29 enz hizo 2011 .Kichwani nipo empty kiasi chake Yote ni mipango ya Mungu .ckuwa na wazazi mambo ni mengi Tena hayaelezeki, Wabongo. wanasema mambo ni meng mda mchache, Kuna huu msemo 'AIBU UTAONA WEWE'- msemo wenye maana kubwa na fikrishi sana...
  3. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Kitambaa cheupe, sijui ni nini kinaendelea ila wakati mwingine Maisha ni Bahati tu

    Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala, Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika. Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanaodai kwamba Jiji la Dodoma Linaongoza Kwa Maisha Ghali Hawajawahi Ishi Arusha.Dar level ya Maisha unapanga mwenyewe kuanzia ya chini Hadi Juu.

    Mtu hajatembea harafu anafika conclusion.Tafureni pesa acheni kulalamika.
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Lindi: Alli Hamisi Mbelenje (30) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama va Hakimu Mkazi Lindi imemhukumu Alli Hamsi Mbelenje (30), mkazi wa Kijiji cha Makonde, Kata ya Mtama, Wilaya ya Lindi, kifungo cha maisha Gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumlawiti mtoto wa kiume, Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane Hukumu hiyo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jamaa na Marafiki Wanasherehekea Miaka 80 ya Profesa Issa Shivji: Maisha, Uanazuoni na Harakati

    22 August 2026 https://m.youtube.com/watch?v=4x2ejQJnBQk Marafiki, wanazuoni na makamaradi wanampongeza proffesa Shivji kutimiza miaka 80 ya maisha yake na mchango wake katika jamii kupitia kazi zake za uwakili, mwanazuoni uanaharakati pamoja na maandishi mbalimbali ambayo ameandika kuwahusu...
  7. Silent King

    JamiiForums Tanzania Watu wanne ambao unatakiwa kuwasamehe kwenye maisha yako

    Wa kwanza ni wazazi wako, Yes wazazi wako,wazazi wetu kwa namna moja au nyingine kwenye makuzi yetu kuna mambo ambayo huenda sio kwa ubaya au bila wao wenyewe kujua,tunajikuta wametukwaza sana na kutuachia majeraha makubwa sana. Tumekuwa tukiwalaumu,tukiwa chukia na saa nyingine kutopenda kuwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa Tezi Dume Ukisaidiwa na AI Unavyowasaidia Wanaume Kurudisha Hali Yao ya Kawaida ya Maisha

    Mkisukumo wa maji wa kiroboti ukisaidiwa na AI (Akili Mbandia) unawasaidia wanaume waliovimba tezi dume kurejesha ubora wa maisha yao, huku mgonjwa mmoja akisema matibabu hayo yamempa "maisha ya kawaida tena." Hospitali ya General ya Cheltenham imekuwa kituo cha umahiri katika eneo la kusini...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Maisha ya John Lyimo Mwanasoka Nguli wa Tanganyika Enzi za Gossage Cup

    Kulingana na chanzo kipya kuhusu magwiji wa soka walioachwa, simulizi ya Mohamed Said inamwangazia John Robert Limo (John Limo), mchezaji hodari wa miaka ya 1960 aliyekuwa akicheza timu ya TPC mjini Moshi na baadae kuandika kitabu cha maisha yake ya soka. Hizi hapa ni nukuu muhimu kumhusu yeye...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupitia kipindi gani kigumu kwenye maisha?

    Wakuu, Nimepita huko kwingine nikakutana na hii video ya huyu mdada ambaye ni dereva wa bolt, aneleze nyakati ngumu alizopitia katika mapambano ya kujitafuta kimaisha, lakini kikubwa kutoka kwake ni kutokata tamaa "Kupoteza pesa, kupoteza biashara, kupoteza mahusiano, kupoteza ndoa ni sehemu...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Narudia; Vijana maisha ni Polepole, huo ndio Mwendo. Usiyasubiri. Yafuate

    NARUDIA; VIJANA MAISHA NI POLEPOLE, HUO NDIO MWENDO. USIYASUBIRI. YAFUATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Haba na haba hujaza kibaba. Bandua bandua humanize gogo. Hizo ni hekima za wahenga, manabii wa kale. Polepole ndio mwendo. Kijana nisikie, ndoto kubwa uliyonayo ni kama gogo la mbuyu...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 31–36 walisoma sana lakini wamechelewa kuwa wajanja wa maisha muda sio mrefu mfumo unawatema

    Kuna kizazi cha vijana wenye miaka 32,33, 34, 35 na 36 ambacho kwa kweli kinanishangaza.Wengi ni smart sana darasani na ni watulivu sana wana nidhamu fulani sio haba na wana degree zao na walikuwa na ndoto kubwa. Lakini tatizo ni kwamba wengi wamekuwa sio wajanja wa maisha. mtu ana degree...
  13. Silent King

    JamiiForums Tanzania Maisha yana surprises nyingi sana

    Nikiwa kijana mkubwa wa secondary,kama unavyojua kuna kipindi kinafika unaona kabisa hapa wazazi inabidi wasiendelee kuzaa sasa,kwanza kutokana na umri wao lakini pili ile kuona inakuwaje bimkubwa na umri huu anabeba mimba Ilikuwa inanipa shida kidogo,lakini sikujua kwamba Mwenyezi Mungu...
  14. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Kila binadamu huwa anakuwa na mtihani wake... Leo nimeona nitoe japo snippet yangu, kwa vile hili jukwaa ni kubwa nadhani naweza kupata mtu wa kunibadilisha mawazo.. Kwanza kabisa.... I'll be 29 this month. Na kuna vitu huwa navipuuza but they're starting to make clear sense now.. Si unajua...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kipaji Chake Kilikuwa Laana na Mkosi Kwake, Usagaji, Maisha, Mafanikio na Kifo cha Brenda Fassie

    Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake yalijaa mafanikio makubwa ya kimuziki lakini pia yalikumbwa na dhoruba kali za kashfa, matumizi ya...
  16. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenichapa natamani kwenda jera nikakae miezi mitatu akili ikae sawa.

    Natamani niende jera miezi mitatu nikatulize akili na kubadilisha mazingira huenda nikawa sawa Maisha ni magumu sio mchezo
  17. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako. Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Kilimo: Shule ya maisha ndani ya udongo

    Watu wengi wakisikia neno kilimo, hukimbilia kwenye jembe, matope, jua kali, na uchovu. Lakini ukweli ni kwamba, kilimo sio kazi tu ya kuzalisha chakula; kilimo ni shule kubwa zaidi ya maisha. Kila hatua unayoiona kwenye shamba la mahindi, mboga, au matunda, ina somo kubwa la jinsi mwanadamu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  20. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
Back
Top Bottom