maisha

  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Maisha haya kosi maswali wapi ulipopata taarifa.

    Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu. Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio. Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo. Ilipokuja internet nalo swali linakuja umeyatolea kwenye mitandao. Imekuja AI bado wanauliza lile lile swali. Sasa wewe...
  2. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana

    Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana. Mwaka 2001 nilikuwa bado mtoto. Sikujua mengi kuhusu maisha. Nilichojua ni kucheza, kula, kwenda shule na kurudi nyumbani. Lakini nikikaa leo na kuangalia nyuma, naona kumbe kipindi kile kilikuwa na mambo mengi ambayo sikuyaelewa. Mtaa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bima ya maisha

    BIMA YA MAISHA NI NINI Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa ( kulingana na thamani ya bima ) endapo atapatwa na janga ( kifo au ajali ya kudumu ) ndani ya muda wa...
  4. Giovanni Mugillanetza

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanaume hayana tofauti na Nyeti zake

    Kama zilivyo nyeti zetu Hazijawahi kuwa ngumu au kukakamaa hadi pale wazo la mwanamke kuja kichwani au mwanamke aje laiv laiv.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mhe. Ndejembi: Sifuri tatu ni muhimu kuokoa maisha ya mama na mtoto

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema juhudi za kuimarisha afya na uhai wa wanawake, watoto wachanga na watoto ni muhimu katika kujenga afya bora, nguvu kazi na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  7. but why

    JamiiForums Tanzania Ikifika wakati unaomba nafasi ya mwisho basi jiandae Kisaikolojia kuanza Maisha bila yeye

    Kuna binti tulikuwa na mahusiano, yalikuwa yanaenda vizur tu baadae mapicha picha yakaanza, mwanzoni nilihisi mimi ndio ninazingua maana kila argument ikitokea shida inarudi kwangu, nisichokijua kumbe napigishwa shoti kimkakati Kila mabishano yakitokea yale yote niliyowahi kukosea nyuma...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangala: Sasa hivi comments za watu naona kawaida tu, watu wana hasira na vinyongo na maisha yao

    Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media Septemba 21, 2026, Dkt. Hamisi Kigwangala, Mbunge wa zamani wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amegusia kuhusu maoni ya watu mitandaoni kuhusu yeye kutoteuliwa. Amesema tayari watu wana hasira na vinyongo na maisha yao hivyo...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lets be honest: Watanzania tunaposema elimu ni ufunguo kuna cha ziada nje ya kuitumia kuajiriwa kujenga maisha kwa Mishahara, poshio, Rushwa na dili ?

    wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi. Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kina: Wimbo 'No Condition is Permanent' wa Rocha Maria na Ujumbe wa Kifalsafa Kuhusu Maisha

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
  12. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mtiririko wa gundu unavyokufikia kupelekea utafutaji na amani ya maisha yako kuwa wa tabu sana

    Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana, Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri wao wa giza. Sasa unakuta hawa mabinti wana kuwa carriers wa roho nzito na giza ndani yao...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

    Na walizungumza nini kwa mfano? Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana? au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Niffer, Amefanikiwa Kukusanya Shilingi Milioni 111 Ndani ya Siku Mbili Kuokoa Maisha ya Mwanafunzi wa CBE, Najath Ibrahim

    Jitihada za kibinadamu zimeleta matokeo makubwa baada ya mfanyabiashara na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Niffer, kufanikisha ukusanyaji wa Shilingi milioni 111 kwa ajili ya matibabu ya mwanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Najath Ibrahim, anayesumbuliwa na tatizo la figo. Najath...
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Naanza maisha upya...au siyo

    Haya maisha ya kuishi ki huni huni hayana maana. Nitafanya ibada saana, Fanya mazoezi sanaa. Ongeza muda wakulala. No fegi...no kilevi chochote. Kunywa maji kwa wingi. NO SExiiii WATU:...eeeeeehh!! we mzee toka apa acha fixii
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wote 295 wa Chuo cha IAA waliokata rufaa, rufaa zao zimekataliwa. Inawezekanaje?

    Leo Chuo kimetoa majibu kuhusu appeals zilizowasilishwa na wanafunzi mbalimbali, wakiwemo wanafunzi wa Shahada za Uzamili (Masters). Kwa masikitiko makubwa, wanafunzi wote 295 waliowasilisha appeals wamejulishwa kuwa maombi yao yamekataliwa kwa sababu hayakuonekana kuwa na hoja za msingi...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama hii picha ni authentic, yaani huyu mwamba alikuwa haigizi basi maisha ni magumu sana aisee na mwamba amekataa kufa kikondoo

    Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
  18. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kuna wakati maisha yanakufundisha kimya kimya

    WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA... Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito. Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha akiwa na kila kitu, mwingine anaanza akiwa hana hata pa kushikilia? Kwa nini wengine wanapata fursa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hali inayotokea katika maisha tumepangiwa au tunapanga sisi wenyewe

    Salaam Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi, Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na kufata vigezo vyote sijachaguliwa kufanya kazi au Leo sio siku yangu , labda nataka niende sehemu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu usikate tamaa maisha yanawezekana

    Kijana MWENZANGU acha kukata tamaa maisha yanawezekana ni kuamua na kusimamia ndoto zako. Nilimaliza form 4 mwaka 2017 ndoto zangu ni kuwa doctor lakini matokeo yalipotoka Aiseee sikuamini nilipiga 4 ya 28 ingawa masomo ya sayansi nimepiga D zote. Nikawacheki wazazi nikawaomba wanipeleke chuo...
Back
Top Bottom