maisha

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Wakazi wa Kijiji cha Maisha Plus wakubali kuhama kupisha kilimo cha Mkonge Wilayani Muheza

    Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake kuendeleza upanuzi wa kilimo cha mkonge. Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mkaribisheni Mungu katika maisha yenu

    We dwell here not according to our will, but according to his divine plans. Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima. Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo.. Umezaliwa, unapumua...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

    Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri. Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kingetokea kama binadamu wengi wangekubali hakuna maisha mengine zaidi ya haya?

    Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu. Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali halisi ipasavyo na kuishi katika utimilifu wetu wote. Pia kunatupa matumaini hewa kuhusu hali zetu halisi.
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tunatumia muda mwingi kujadili maisha ya watu badala tujikite kwenye uzalishaji: makosa ya wazazi wako yasiathiri wengine.

    Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu.... Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Maisha Yaanza Leo: Utambuzi Mkuu(spiritual awakening)

    For majority part of my life, Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina. Jibu limekuja, Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini maishani. Bali kutambua sikupaswa hata kuuliza kabisa. Leo ndo nimetambua kuwa mimi ni kila kitu...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wenye maisha duni ya kawaida wanajali sana bikira?

    Mahali popote ukikuta wanaume wanajali mwanamke wa kuoa kama mwanamke ni bikira au single mother basi utakuta na wanaume masikini, wa kawaida(average/ beta males) au wa Bara. Ni nadra kukuta wanaume wenye maisha mazuri, matajiri, mabilionea, maarufu au wanaume wa Pwani wanajali kama mwanamke...
  8. baloziwamitaa_

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 1FAIDA ZA MUZIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

    Muziki si burudani tu. Ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku — inayoathiri hisia, akili, na hata mwili wetu kwa namna ya kushangaza. Tangu utotoni, muziki hutusaidia kujifunza. Watoto hukariri herufi, namba, na hata kanuni za maisha kupitia nyimbo. Kadri wanavyokua, wimbo ule ule unakuwa...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maisha mema yanapatikana kijijini

    Tangu niamie huku kijijini, sizeeki kihasara hasara Napata maji safi, Hewa safi, Kelele nzuri za ndege, Hakuna msongo wa mawazo, Napata mayai, nyama, maziwa muda wowote ninaotaka, Napata vitu vingi bustanini, Matumizi ya hela ni madogo sana kutokana na vitu vingi kupatikana shambani na kwenye...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii wa Kenya afariki kwa kujiua, miezi baada ya kusema “nitajiua"

    Kifo cha msanii wa Arbantone, Stoopid Boy, kimeibua mjadala kuhusu afya ya akili nchini Kenya. Taarifa za awali zinaeleza kuwa msanii huyo alifariki kwa kujiua Agosti 27, 2026. Miezi kadhaa kabla ya kifo chake, Stoopid Boy alikuwa amezungumza hadharani kuhusu depression, matumizi ya pombe na...
  11. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Yapende maisha uliyonayo

  12. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Yagusa Maisha ya Wanafunzi Ihowanja wilayani Malinyi kwa Kuboresha Mazingira ya Usomaji.

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati 30 yaliyokabidhiwa katika Shule ya Msingi Ihowanja, Malinyi mkoani Morogoro, kupitia mpango wa...
  13. Red black

    JamiiForums Tanzania Alhamdulilah naenda kuanza maisha mapya kwaheri ubachela

    Familia ni muhimu. Cc Seran
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba ya Kenya ya 2010 yatimiza miaka 16: Je, imebadilisha maisha ya Mwananchi wa kawaida?

    Kenya leo inaadhimisha miaka 16 tangu Katiba ya Kenya ya 2010 ilipotangazwa rasmi tarehe 27 Agosti 2010, chini ya uongozi wa Rais wa wakati huo, Mwai Kibaki. Katiba hiyo ilileta mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala nchini, ikilenga kupeleka mamlaka karibu na wananchi, kulinda haki zao na...
  16. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanga: Said Yunusu (20) ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto (11)

    Mahakama ya Mkoa wa Tanga imemhukumu Said Yunusu maarufu kama Big Sela (20), kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti Mtoto mwenye umri wa miaka 11. Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mwanaheri amesema Mahakama imeridhishwa na ushahidi uliowasilishwa na Upande wa Mashtaka...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Maisha ya Dolly Parton: Malkia wa Muziki, Muunganishaji wa Jamii na "Nyumba Aliyoijenga Whitney Houston"

    https://www.youtube.com/watch?v=GnLITwQf8s8&list=RDGnLITwQf8s8&start_radio=1 https://www.youtube.com/watch?v=3JWTaaS7LdU&list=RD3JWTaaS7LdU&start_radio=1 Wana-JF, Leo tunamkumbuka mwanamuziki wa kipekee, mfanyabiashara, na mwanaharakati wa kimyakimya wa haki za binadamu, Dolly Parton...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa unajua VC wa TUMA hajalipa mishara mpk leo wakati yeye akiwa anakula maisha?

    Yule bwana Faustine Mahali siyo mtu, amemtoa mtoto wake sadaka akiwa ana uhusiano na binti moja wa KIBENA ndg wa mke wake anaitwa KISAVYAKE. Mpaka leo hajalipa mishahara akiwa nje ya ofisi anakula maisha. Mwaka jana kuanzia mwezi wa 8 mpk wa 12 hakulipa mishahara. Hv kanisa KKKT ni la...
  19. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

    Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi...
  20. Nestory Semeni

    JamiiForums Tanzania Maisha Yanapokuwa Magumu:

    Huenda wewe ni mfanyabiashara, Mwajiriwa, Au umeniajiri, Huwa unafanya ninibunapoona gafla mambo yamebadilika? kipindi hicho unafanyeje usikate tamaa na uendelee kupambana? Mimi natumia njia hii; - Kujitenga na kuliangalia swala kwa undani - kujua kwa nini limetokea na mimi...
Back
Top Bottom