maisha

  1. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  2. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  5. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Lini Maisha Yaliwahi Kuwa Rahisi?🤔

    Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo 1: less wanyika...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  7. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye maisha silalamiki wala kulialia na mtu tena nitatatua matatizo yangu mwenyewe

    Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe. Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
  8. idiomer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Mvomero hana uchungu wa mali na maisha ya wananchi

    Wananchi mazao yao yameharibiwa na mwekezaji na kuna mgogoro ila yeye anasema Ijumaa?? Kweli wananchi ndio mabosi wako unasema Ijumaa? Who are you? Maulidi Dotto? Sipendi kuona mwananchi wa wakawaida wakionewa basi tuu
  9. Diwani

    JamiiForums Tanzania Msijifariji kwa watu wengine mkishakosea kwenye maisha

    TULIOOA Watu wengi, hususan Wanaume waliozingua kwenye ndoa zao wana brag sana kuhusu uzuri wa ndoa, kama ulioa na clear purpose, huwezi kuwa unajieleza sana kuhusu maamuzi yako. Kama ndivyo, umezingua so unajaribu ku justify maamuzi yako kwa kuyapaka rangi yaonekane mema. Tuliooa kwa akili...
  10. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kweli ni kuwa na " peace of Mind"

    Ukiwaweka wanasiasa hawa wawli , Tundu Lisu na Samia ukawaangalia vzr KWA jicho la kiroho au hata kawaida ,utagundua kitu , Samia anaishi na kulala nyumba nzuri na godoro la nchi 1000, anawalizi kila kona, anakula chakula cha kifalme, still hana amani kabisa,nuru haipo ,hata angepaka make up...
  11. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu maisha, destiny na “Kwa nini mimi?”

    Kuna wakati nimejikuta nikifikiria sana kuhusu maisha ya mwanadamu na jinsi ambavyo kila mmoja wetu amekuja kuwa yeye. Kwa nini mimi nimekuwa mimi? Kwa nini wewe umekuwa wewe? Na kama mambo machache tu yangekuwa tofauti, je, tungekuwa watu gani leo? Kwa mfano: Kwa nini Seran asingekuwa Ephe...
  12. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  15. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  16. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kuenjoy maisha bila mwanamke, inawezekana lakini ni vigumu

    Kikawaida wanawake wanatuumiza wanatupitisha kwenye changamoto nyingi hadi tunajuta, ila ni ngumu kuenjoy maisha bila wao. Cc: Mallerina Binti wa zamani secretarybird Eli Cohen
  17. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Mazingira Bora, maisha safi

    Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden & landscaping), pamoja na house molding. Tunalenga kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, kwa wakati na kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  19. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
Back
Top Bottom