maisha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  2. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  3. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Good morning chitchat

    Jibu kwa ufahamu ama uzoefu wako tuu.. Hakuna kutumia AI
  5. Mawazo255

    JamiiForums Tanzania Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kipindi nilikuwa naamini ipo siku mtu atakuja abadilishe maisha yangu. Nilisubiri nafasi, nilisubiri bahati, nilisubiri msaada. Lakini kadiri miaka ilivyopita, nikagundua kuwa muda ndio ulikuwa unapita, si matatizo. Maisha hayana huruma kwa anayesubiri sana. Yanamheshimu anayechukua...
  6. Pakome

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

    Tajiri wa Katoro amejaliwa akili ya kutafuta pesa lakini amekosa akili ya maisha https://www.instagram.com/reel/Dbk70AViBE9/?igsh=MWN4cjllM2VtaWt3Yw==
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenifundisha

    Maisha yamenifundisha jambo moja. Mtoto asiyetembea husema mama yake ndiye mpishi bora. Vivyo hivyo kwenye maisha. Ukikaa sehemu moja kwa muda mrefu, ukafanya kazi ile ile kwa miaka mingi, ukazungukwa na watu wa kiwango kile kile, ni rahisi kuamini kwamba tayari unajua kila kitu. Lakini...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Maisha yapo complicated Sana unakuta mabinti wanakukataa ila wake za watu wanakushobokea

    Unakuta unatongoza hata manzi kumi ila zote zinakukazia ila wake za watu wanaanza kukutongoza wenyewe huku si kutafutana ubaya
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Maisha bila kuroga muda mwingine hayaendi. Tupeane connections za mafundi

    Hakuna namna ni mwendo wa kuumizana kama unaona mdaiwa wako analeta ujinga Kumfundisha adabu tu.
  10. Tripp

    JamiiForums Tanzania MAISHA BAADA YA KESI NIMEFIRISIKA YAMEKUWA MAGUMU SANA

    HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Acha kujidhulumu kumbuka tunaishi mara moja, Ishi kikamilifu

    Ninaumia sana kila ninapokumbuka kuwa "nikitolewa kila kitu nilichojifunza na kufundishwa ninayebakia ni Mimi" kauli hii inanifanya nijione kama nimejidhulumu sana katika maisha yangu. Ulishawahi na wewe kujiuliza swali kama hili? Kama ndivyo basi huenda na wewe ukahisi jambo fulani umekuwa...
  12. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi AI inaleta urahisi au ugumu wa maisha?

    Kuna movie 🎦 nimetoka kucheki inaitwa trancedence (2014)... Kwenye hiyo movie jamaa Wali tumia nano technology ku implant human consciousness kwenye sever za internet kwa kutumia quantum computers.. Issue walobugi ni kuwa ile consciousness ilikuwa ni ya mtu mmoja pekee na kingine haikuwa na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

    Habari za muda humu Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  15. Vien

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Walivyoniita mbinafsi, niliwakaribisha kwenye maisha yangu na kuwashirikisha matatizo yangu... ajabu ni kwamba wote walikimbia

    Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
  16. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mchungaji Msuya kilivyoibua kumbukumbu maisha yake

    Kifo cha Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Sylvanus Msuya, kimeacha simanzi miongoni mwa waumini, viongozi wa dini na watu wengi walioguswa na ushuhuda wa maisha yake. Baadhi wamekumbuka safari yake ya kutoka kwenye changamoto za maisha hadi kuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni dua yangu siku zote za Maisha yangu

    Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana. Yoshua 24:15 Kwa hiyo, Mimi...
  19. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  20. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya kufilisika kwenye forex

    ...
Back
Top Bottom