maisha

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako?”

    Hamjambo! Hili ni swali muhimu sana. Swali la ukombozi. Majibu yake ndio msingi wa wewe kutoka hapo ulipo. JE ni nani unayemsubiri aje kubadilisha maisha yako? Ni mumeo? Ni mkeo? Ni wazazi wako? Au watoto uliowazaa? Au serikali? Kama huna unayemsubiri. Sasa muambie Mtibeli hapa, nini...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Hii ya wanawake kuchukua video za wanaume wakiwa wamelala imekuwa trend sasa. Hakikisha haulali na mlupo usiku, atakuharibia maisha.

    Kila kona ni video za michepuko kuchukua video za wanaume ili wasisambaze either kumkomoa mwanaume au kumuumiza mke wa jamaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 50 haujatoboa na wala hauna kitu. Kuna uwezekano wa kuwini maisha?

    Yaani inachanganya sana. Maana ukiwa na 50 maisha yako ni ya kupata hela ya kula tu. Bado miaka 10 ustaafu, utaweza kutoboa maisha kweli ujenge, ununue gari na uwe na maisha
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ukizaliwa Mwanaume: Maisha huwa ni 5-0 , lakini una nafasi ya kupindua matokeo

    Katika maisha haya, kama umezaliwa mwanaume, tayari maisha yameanza kukuchezea 1–0. Umezaliwa Afrika? 2–0. Umezaliwa kwenye familia maskini? 3–0. Baba yako hana urithi wala mali ya kukuachia? 4–0. Unakua na unapambana kutafuta kazi lakini hupati? 5–0. Hapo ndipo unaanza kuelewa kwamba...
  5. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo: Maisha, Imani, utajiri na urithi wa mtu aliyeishi kwa kuwagusa wengine

    Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu mbalimbali za Afrika. Chivayo, aliyekuwa na umri wa miaka 43, alifariki katika ajali ya helikopta nchini...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ushauri Usioombwa: Kuingilia Maisha Binafsi

    Wale wachambuzi wa maisha ya watu, wanaopenda kuingilia maamuzi binafsi ya watu kwa ushauri usiohitajitaka wala kuombwa wanasema, “Kuwa na angalau kaulevi kamoja. Inasaidia.” “Mtu gani unakuwa na maisha perfect and you have everything under control? Unaishije? Pombe zimekushinda. Kahawa nayo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wairan wanavyosota na maisha kufuatia kizuizi cha majini na kikwazo vikali walivyowekewa na Marekani

    Ingawa viongozi wa Iran wanaweza kuonyesha msimamo mkali na wa kujiamini katika mzozo wao na Marekani, maisha yanazidi kuwa magumu kwa raia wao wa kawaida ambao hawawezi kumudu mahitaji ya msingi au kodi ya nyumba, huku vikwazo vya Marekani vikikata njia kuu ya mapato ya taifa hilo—mauzo ya...
  9. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Maisha hayampi mtu kila kitu kwa wakati mmoja

    MAISHA HAYAMPI MTU KILA KITU KWA WAKATI MMOJA: TUSIHUKUMU WATU KWA HALI WANAZOPITIA Kuna jambo moja ambalo wengi tunalisahau katika maisha: hali ya mtu leo si lazima iwe hali yake kesho. Mtu anaweza kuwa hana kitu leo, kesho akawa na kitu. Anaweza kuwa anahangaika leo, kesho akawa anasimama...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  11. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: KIBIRITINGOMA

  12. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Kibiritingoma

    Alikuwa mrembo wa sura, mwenye umbo la kuvutia na sauti ya kuburudisha. Akawa mashuhuri kama fedha, na adimu kama almasi. Sifa hizi, akazitumia kama fimbo, alipokutana na wanaume wenye tamaa kali ya ngono; alipokaribishwa kwenye dunia ya ukahaba. Kisha, akakutana na huyu. Kijana msomi, mwenye...
  13. Arnold_webster

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mgumu Kuhusu Maisha Niliogundua - Nimeamua Kuwa Mkweli Nanyi

    Wadau, Nimekaa chini nikafikiria sana kuhusu jinsi dunia ilivyo, na nikaona niwaambie ukweli mgumu. Kama ukweli usiofurahisha unakukwaza haraka na hupendi kusikiliza, basi pita tu. Huu ujumbe si kwa ajili yako. Ukweli ni huu: Dunia ni katili. Utakataliwa. Utapoteza watu uliowapenda. Utafanya...
  14. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Hofu ya dunia na maisha

    HOFU YA DUNIA NA MAISHA — KUNA SIKU TUTAISHI BILA KUOGOPA? Kuna wakati unakaa kimya peke yako, halafu unaanza kujiuliza maswali ambayo huwezi hata kumwambia mtu. Kesho itakuwaje? Nitafika wapi? Nitafanikiwa kweli? Nitapata pesa? Nitakuwa salama? Watu ninaowapenda watabaki kuwa nami mpaka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Katika safari yangu ya kuishi maisha bila stress niliamini pesa itazipunguza lakini sioni dalili, Je ni hadi uwe bilionea kuishi maisha bila stress ?

    Najua pesa haiwezi kutatua kila kitu wala kununua kila kitu lakini kwa kiasi kikubwa niliamini ingepunguza stres nilizokuwa nazo. Nimepambana sana, siwezi hata kidogo kujiita tajiri lakini angalau kiuchumi kwa kijana ambae bado sijafika 40 Nimeshajenga kwangu, gari zipo, watoto wanasoma private...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  18. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii Inatufanya Tuishi Maisha Ambayo Sio Yetu?

    Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao. Lakini tunachoona si lazima kiwe picha kamili ya maisha yao. Mtu anaweza kupost picha ya gari zuri bila...
  19. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Hapa na pale: Maisha hayana Script

    HAPA NA PALE… VITA AMBAVYO WATU HAWAVIONI Kuna kipindi maisha yanakufundisha kwa njia ambayo hakuna shule inaweza kukufundisha. Unaamka asubuhi ukiwa na mawazo mengi, lakini huna hata uhakika siku itaishia wapi. Unawaona wengine wanaendelea, wengine wanajenga, wengine wanafanikiwa… na wewe...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Yabezi ni muhimu sana kwa maisha yako, usiache kuyaomba.

    Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10. Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi" linalomaanisha "maumivu" au "teso." Hata hivyo, hakukubali jina lake au mazingira yake yamainishe...
Back
Top Bottom