Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu.
Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu.
Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha?
Unamhitaji Yesu ndugu...
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality.
Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi?
Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka...
Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme.
Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani?
Kama huna connection subiri matangazo ya kazi ya SEKRETERIETI YA AJIRA, na hicho Kiingereza chako...
Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara.
Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana.
Mtoto wako na...
HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani
Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo.
Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani.
Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu.
Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
Mfano unapoteza kazi,madeni,huna hata mia mbovu,unahit rock bottom huku una wategemezi
Na pengine unaingia kwenye ulevi ama uraibu wa madawa unageuka teja
Kiasi kwamba ukiangalia Hadi kuinuka Tena kurudi kwenye mafanikio ni safari ndefu ngumu
Lakini Cha kishangaza umesonga mbele na kuinuka Tena...
🏠 MDau ameuliza:
“Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?”
Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇
Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja.
Kwa nini...
Hebu fikiria kitu kimoja.
Kama binadamu asingekufa, maisha yangekuwa na thamani ileile?
Nadhani jibu ni hapana.
Tunathamini muda kwa sababu una mwisho.
Tunathamini ujana kwa sababu tunajua utapita.
Tunathamini watu kwa sababu tunajua siku moja wanaweza kutuacha.
Tunathamini maisha kwa...
Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani
Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm
Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
Wakuu, habari za mchana huu.
Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka."
Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
Yes sir.
Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.
Fikiria hivi.
You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.
1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime...
"...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..."
Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho.
Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani.
Haitajali una magari mangapi.
Haitajali una nyumba kubwa kiasi gani.
Haitajali una followers wangapi.
Haitajali umejenga jina kubwa kiasi gani...
Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake kuendeleza upanuzi wa kilimo cha mkonge.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
We dwell here not according to our will, but according to his divine plans.
Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima.
Binadamu tunapenda sana, kusahau na kutumia akili zetu, bila kumshirikisha anayetupa huo uwezo..
Umezaliwa, unapumua...
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
Anonymous
Thread
haki
kuharibu
kutoa
maisha
ngono
rushwa
rushwa ya ngono
wanafunzi
zao
Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu.
Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali halisi ipasavyo na kuishi katika utimilifu wetu wote.
Pia kunatupa matumaini hewa kuhusu hali zetu halisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.