.
Naomba niwasimulie tuu,
Leo nimepatwa na jaribu gumu sana kwa mara yangu ya kwanza katika maisha yangu. Nimekuwa nikisoma thread nyingi tu humu JF kuhusu vijana kuacha masuala mazima ya tamaa, pamoja na mikasa ya watu iliyowapata kama story ya yule jamaa aliyekuwa wakimwita Apostle...
IPhone ni EYEPhone = inakuangalia
SmartTV ina uwezo wa kukurekodi ... haijaitwa smart bure
AI inatangazwa kutusaidia... ivi wenye GMAIL umeshagundua AI inasummarise email zako? manake inazisoma. Kote tunakowasiliana INSTAGRAM, WHATSAPP sasa AI imerahisisha kutufuatilia
* kuwa mtu wa kucheki...
Kama mzazi na ndugu wa baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari LYAMUNGO iliyopo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro; tungeomba TAMISEMI na Wizara ya Elimu wawe wazi kuhusu maisha halisi katika baadhi ya shule ili wazazi wawe na uhuru wa kuchagua wapi kijana wao patamfaa kupata taaluma...
Habari Tanzania !....
Naomba kuweka hapa jukwaani wazo la kuwezesha jamii au watu ambao wanakipato cha chini sana; kwa kuwawekea mfumo mzuri wa kuwasaidia kutoka katika umasikini na kupata thamani ya kufanya maisha wayatakayo.
Naiomba jamii ipokee hili wazo. Tuanzishe Benki za kutunza Sarafu...
Mliokuwa hamjui ni kwamba;
Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..."
Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
Wengine uona siku za umuhimu kwenye maisha yao ni siku aliyoolewa au kuoa, siku aliyojenga nyumba,
SIKU MBILI MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO ni siku ya kuzaliwa na siku uliyojua kwann umezaliwa
WATU
Wachache waliojua kwann wamezaliwa ndo walioacha alama kubwa duniani.
Wazazi, walimu, jamii au mtu...
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli.
Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii.
Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa maswali yasiyo na majibu. Wanateseka kwa kuona ukweli ambao wengine wanaukwepa.
Ufahamu wao unawafanya...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi husubiri siku nzuri zije, nafasi ijitokeze, au mtu fulani abadilishe maisha yao. Lakini maisha hayabadiliki kwa sababu muda umepita; hubadilika pale fikra, maamuzi na tabia za mtu zinapoanza kubadilika.
Maisha yako hayabadilishwi na kile unachofikiri...
Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi.
Kwa nini?
1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku.
2...
Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo)
Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa kila fungu.
Nikarudisha kumbukumbu Hadi mwaka 2016 nilikuwa naishia Kwa sister. Dada alikuwa na...
Utasoma sana Vitabu, utasikiliza sana speeches za waliofanikiwa ila ukweli hutoweza fanikiwa.
Mi nachoamini hata Mo dewji kua vile sio kwa namna ile tunaona sisi ukute hata yeye hajuijui zimefikaje zile hela japo anajua tu namna alianza.
Ukitaka kuniamini Mimi chukua hii..kama ushawahi kua...
Leo nimeamua kuanza kuandika mawazo yangu kuhusu safari ya kujenga maisha ninayotamani.
Sina uhakika nitafika mbali kiasi gani, lakini najua jambo moja: miaka ijayo nataka niweze kurudi hapa na kuona nilikotoka.
Ninajifunza biashara, teknolojia, kilimo na namna ya kujenga vyanzo vya mapato...
Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa.
Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba mdogo mdogo.
Mamba kamlia timing kamdukua Yule swala amejitahidi saana kuchomoka lakini mwisho wa...
MWANAUME
Sheria no 1
Kamwe usi ruhusu mwanamke aka ku control ww usipokua tu kama akisema kazime taa kwanza au aki sema nifungue brazia vunja iyo Sheria uraendelea nayo badae!
Sheria no 2
Dada wa rafiki yako ni dada yako pia usi thubutu Wala kujaribu ku mgusa!
Sheria no 3
Adui wa rafiki...
Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili:
1. Usumbufu wa milio ya meseji
Simu inalia kila...
Katika ulimwengu wa leo, watu wengi wamewekeza zaidi kwenye kuonekana kuliko kuwa. Tumekuwa na utamaduni wa kutafuta sifa kabla ya mafanikio, kutafuta pongezi kabla ya matokeo, na kutafuta kuaminiwa kabla ya kuthibitisha uwezo wetu.
Mitandao ya kijamii imejaa picha za mafanikio, maneno makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.