maisha

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

    Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kweli maisha ni mapambano

    Maisha hakika yana siri haya ukiona mwenyezako anapambana hakika mpe hongera yake Nina brother yangu kila siku anatuaga kuwa anakwenda kazini anafanya kazi sokoni uko kumbe kazi yake yeye ni kukaribisha wateja na kujichekesha jichekesha kama mpuuzi fulani na uku akikata mauno
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Una lipi la kuongezea kwenye maisha Uswazi?

    Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal settlements) nchini Tanzania, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Maisha haya yana sifa ya...
  5. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Wanawake wamekuwa sehemu ya hamasa ya maisha kwangu

    Habar za mda huu ndugu Kuna kitu nimekuwa nikikigundua kuhusu maisha yangu kadiri ninavyozidi kukaa na kujitafakari mimi ni mtu ambaye mara nyingi napenda kuwa busy na kujishughulisha na mambo yangu mwenyewe. Maisha yangu mengi yanajengwa na nidhamu ya kazi, kujifunza, na wakati mwingine...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mtoto sio baraka, ni wajibu wa maisha yako yote

    Kabla ya kuwa na mtoto hakikisha una mikakati na mipango thabiti kifedha kuweza kumhudumia mtoto. Kumbuka mtoto toka anazaliwa unawajibika kwake maishani mwake. Hata ukitangulia kufa atakutumia kama mzimu wake umsaidie. Kumleta mtoto duniani na kushindwa kumhudumia ni kinyume na haki za...
  7. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  8. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Zaharani - Maisha na mashairi

    ZAHARANI - MAISHA NA MASHAIRI. Verse..1. Hizi mbio sio za Baiskeri , Haiwezi kabiri Kasi/ Tahadhari usije Ukaferi , Mbuzi Amzindi Farasi/ Usiwambie Watu watakucheka/ 😄 🤣 "hahaha " Wengi wameishia Sakafuni/ Chunga usipige mweleka , Usafi wa Nafsi sio Sabuni/ Unapozungumzia Hip hop , Lazima...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Eng. Kundo, nusuru maisha ya Wananchi na Watumishi Kata ya BUNAMHALA

    Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew, tunaomba utupie macho hali hii inayotishia uhai wetu. Kama unavyoona kwenye picha na video, hapa ndipo...
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Sauti nne pekee ambazo sisi wanaume tunapenda kuziskia kwenye maisha yetu.

    #everything in life come and Go
  11. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Hekima

    Usitake muujiza , kama unaweza kutumia maarifa ukafanikiwa . Hekima uwa Ina jieleza yenyewe.
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Tafiti;waliopo kwenye ndoa wanaishi maisha marefu yenye sonona tofauti na walioko singo?

    Marriage license ==== Fahamu Zaidi Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
  13. E

    JamiiForums Tanzania Stadi za maisha: Elimu muhimu inayokosekana kwa wanafunzi shuleni

    Mara nyingi wazazi wanapochagua shule kwa ajili ya watoto wao, kigezo kikuu huwa ni ufaulu wa kitaaluma. Siku hizi, baadhi ya wazazi wako tayari kulipa ada kubwa ili kuhakikisha watoto wao wanasoma katika mazingira bora, huku wakiachia jukumu la malezi kwa walimu. Kwa upande mwingine, shule...
  14. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wairani kabla haijawa jamuhuri ya kiislam

    Kipindi Irani inaongozwa na vibaraka wa Marekani ndio ilikuwa hivyo hapo Sasa ndio Marekani ilikuwa inajisikia raha maana walikuwa na nafasi ya kufanya biashara zao za Pombe Madawa ya kulevya Umalaya Ushoga Na kuiba rasilimali za Irani Watu wenye akili kama akina Komenei wakasema hili...
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi cooperative officer II wana maisha kweli?

    Kuna usaili wa huko utumishi wa cooperative officer ii, jina lilivyokaa tu inaonekana ni njaa kali sana. Sasa nawaza nikapige huo usaili au nikomae zangu na mchina tu huku private. Je wakuu,hao cooperative officer ii wana maisha kweli au njaa kama zote?
  16. Vien

    JamiiForums Tanzania Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mende (mdudu)

    Maisha ya mende yanahusisha mzunguko wa ukuaji unaopitia hatua tatu kuu: yai, tunutu (nymph), na mende mpevu. Mende ni miongoni mwa wadudu wastahimilivu zaidi duniani, wakiwa na uwezo wa kuishi katika mazingira magumu sana. 1. Mzunguko wa Maisha (Life Cycle) Mende hupitia mchakato wa ukuaji...
  18. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako

    Hakuna kitu kinauma kama kujiona unazeeka Bila maendeleo yoyote kwenye maisha yako 🤔
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Credit Card au Debit Card: Ni kadi ipi Inafanya Maisha yako Kuwa Rahisi Zaidi?

    Katika dunia ya leo ya miamala ya kidijitali, kadi za benki zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kila siku. Iwe mi kulipia huduma ama kununua bidhaa madukani hadi kufanya manunuzi mtandaoni, watu wengi sasa hutegemea kadi badala ya kutembea na pesa taslimu. Lakini swali linabaki: kati ya Credit...
Back
Top Bottom