maisha

  1. hamis77

    JamiiForums Tanzania “NIFUATE” – Ndoto Iliyobadili Maisha ya Mwanamke Kutoka Iran

    Hivi karibuni, wanawake watatu waliokuwa Waislamu walishiriki ushuhuda wao wa kipekee kupitia jukwaa la “I Found the Truth”, wakieleza jinsi walivyodai kukutana na Jesus Christ katika ndoto na maono ya kiroho. Ushuhuda wao unaeleza jinsi wanavyoamini kuwa Yesu anajifunua kwa Waislamu wengi...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Natamani maisha ya upole

    Najua na natambua jinsi mambo haya yalivyo tayari. Nilishajiandaa kitambo Sihitaji changamoto zaidi.. Eeh mola wangu nisaidie🙏🏿 Nipe jioni laini, tamu kama chokoleti. Nipe usiku tulivu na usingizi mnono kama wa mtoto Nipe ndoto nzuri ili usiku wangu uonekane umevaliwa kama pamba ama sufi...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Starehe ya dakika 5 isikufanye ujutie maisha yako yote

    Baada ya ejaculation ndio akili zitakurudia na kuanza kujutia. Vijana kabla ya kufanya ngono chekini afya zenu kama ziko sawa au tumieni protective device.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hatufanikiwi sababu ya serikali zetu au Kuna namna maisha ya kizungu yametuathiri?

    Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada. Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo ya nchi zetu ambazo kiuhalisia ni changa,kiuhalisia zimejengwa katika mitazamo mingi,Imani na...
  7. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Maisha Ndani Ya Umasikini Ni Darasa Tosha

    MAISHA NDANI YA UMASIKINI NI DARASA TOSHA. Kuna msemo unasema, "Umasikini ni mbaya tena unatia haya." Nami nakubali kwamba umasikini ni mbaya sana, tena siupendi. Kwa wale waliopitia maisha ya umasikini au wale wanaopitia sasa maisha ya umasikini wanaweza kunielewa vizuri bila shaka. Lakini...
  8. Pakome

    JamiiForums Tanzania Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji

    Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani, usafi kwa vyombo vya usafiri, delivery etc Uhalifu sio njia sahihi ya kuendesha maisha kwasababu hasara...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uber wanacheza na maisha ya vijana wetu, wakirudi serikali tunaomba muwachunguze pls na mlinde maslahi ya vijana wetu

    Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka Hata hivyo inaonekana mawazo yao yakikuwa ya kipuuzi na kijinga wakaruhusiwa bolt Baada ya kuruhusiwa bolt, uber wakaanza kulalamika bolt...
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Inakuaje madada mzuri anakuja kuishi maisha ya ajabu na ya hovyo mbali na kua na soko?

    Wazazi wanapaswa kuwaambia ma binti zao wajijue kua wao ni wazuri tangu wakikwa wadogo, kua uzur wao ni kura turufu, utawavutia wengi lakini pia haudu, hii itawafanya waweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi kabla hawajachelewa. Leo nimekutaa na rafiki yangu wa muda mrefu, akiwa chuo...
  11. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Tathmini za kina

    1: Je, kuna mtu aliyewahi kukupenda kwa dhati… lakini ulimpoteza kwa sababu zako? 2. Je, unaishi maisha unayotaka… au maisha unayolazimika kuishi? 3. Kama ungepewa nafasi ya kuanza maisha upya, ungechagua watu wale wale? 4. Ni ndoto ipi uliizika kimya kimya ili kuwafurahisha wengine? 5. Je...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania CCM na tume kutoa zawadi kwa watakaoshiriki kutoa ushahidi, rudisheni na maisha ya wapendwa wao basi

    Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao. Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya maisha usiwe mwepesi kuhukumu. Manabii niliowatukana kwa kuwaita mashoga ndio walionisaidia kwa kiwango kikubwa kuliko mtu yeyote duniani

    Ilikuwa 2023 hivi kama sitakosea, manabii 2 vijana kutoka Marekani Lovy Elias mwenye asili ya Kongo na Passion Java mwenye asili ya Zimbabwe walikuja Tanzania kwa huduma. Kwa muonekano wao nikasema hawa ni mashoga wametumwa na Ibilisi kusambaza ushoga. Jf niliweka nyuzi kuwasagia sumu ...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo vs uhalisia mtaani

    JFs Members uzima upo? Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha Hii naongelea experience yangu Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu Sasa baada ya miezi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu wa Maisha niliyoishi ya Kikristo na Maisha yangu ndani ya Uisilamu

    Nilizaliwa katika imani ya kikristo katika dhehebu la kikatoliki nilibatizwa nikiwa najitambua baada ya kufanya mafundisho,lakini kila kitu tulikuwa tunakalilishwa na siku ya mtihani alikuja Askofu anakuulizwa swali unamjibu, Nikapata na sakrament ya kitubio na kipaimara yaani naruhusiwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 200 wamepoteza maisha Maporomoko mgodi wa coltan- DR Congo

    Takribani watu 200 wamepoteza maisha baada ya mvua kubwa kusababisha mfululizo wa maporomoko ya ardhi katika mgodi wa coltan wa Rubaya uliopo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Eneo hilo limekuwa chini ya udhibiti wa waasi wa kundi la M23 tangu mwaka 2024. Msemaji wa gavana...
  19. Chigurh

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Jela Tanzania

    Habari zenu Mara nyingi hua nasikiliza story mbalimbali za maisha ya jela nchi tofauti tofauti. Ubakaji wanaume kwa wanaume, madawa ya kulevya, ukatili, nk ila hua siskii sana story za maisha ya Jela Tanzania. Story halisi za watu walio-onja maisha ya jela kwa muda mfupi au miaka. Iwapo una...
  20. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?

    Ni kitu gani hutamani mtoto wako apitie kwenye maisha ?
Back
Top Bottom