maisha

  1. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuoa, maisha yaliendeleaje mwanangu?

    Usijali huu uzi nitaufuta we nambie tu ulivyooa maisha yaliendeleaje? Huenda ukaniponya mwanangu, ilikuaje baada ya hapo, nasubiri comment yako!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mtaala mpya haujaeleweka? Au tunacheza na maisha ya watoto wetu?

    Mtoto wangu anasoma shule ya sekondari MGULASI, iliyopo kata ya CHAMWINO, MANISPAA YA MOROGORO. (Anaingia kidato cha pili) Wakitumia mtaala mpya, ukianza rasmi mwaka 2025. Mtoto wangu alichagua mkondo WA biashara, baada ya kupewa elimu ya kuchagua Masomo na wanataka nini wakiwa wakubwa. Mwaka...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

    Nimeona nishiriki nanyi ninavyojisikia, Napitia maumivu sana moyoni, hadi sasa nahisi kama naelekea kwenye dalili za ugonjwa wa moyo! Ipo hivi, nimekata tamaa ya maisha yangu, namuomba Mungu anichukue tuu, labda nitapata nafuu. Maisha yameniumiza mno.😞 ILANI: Sijataka kutumia ID yangu hapa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaochimba mchanga Bunju Dogodogo Centre wanahatarisha maisha ya nyumba zetu, NEMC hawasaidii chochote

    Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu. Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na bonde linaloendelea kujitokeza. Serikali ya Mtaa imejaribu kila njia lakini bila mafanikio...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Huyu binti maisha yake hayatakuwa sawa tena

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia tukio la kushangaza ambapo kikundi cha watu waliodai kuwa ni Wakatoliki walijitokeza hadharani kupinga matamko ya viongozi wa Kanisa Katoliki, akiwemo Askofu Mkuu Ruwaichi na Padre Kitima, waliotoa kauli nzito kupinga mauaji ya tarehe 29 na hali ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maisha unabidi uyape maana maana hayana maana

    Habari wanaJF?, Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha . Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto. Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa. Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua? (Nikawa na maana kifo...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke tupendane tujenge maisha.

    Dini yangu Muslim Makazi dsm Mwanamke nimtakaye awe anaishi dar Asiwe mwanamke wa mambo mengi Asiwe na mtoto.
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ma Brother wa 35+ ni kosa gani ulilifanya kwenye maisha yako, ambalo hutamani wengine walirudie?

    Niaje Wakuu? Natumai mko poa, kwa mwenye changamoto kwakuwa bado una pumua mambo yatakuwa shkopa. Hebu leo tuzungumzie uzoefu wa kimaisha, tunajua maisha hayakosi changamoto, kupanda na kushuka ni jambo la kawaida kwa mwanadamu. Je ma brother zetu wa 35+ ni kosa gani uli wahi kulifanya, ambalo...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ghost phase kwenye maisha ya mwanaume

    Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho kipindi kinaitwa Ghost phase. Ni nyakati ambazo zimewatengeneza wavulana kuwa wanaume. Kama bado huu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya sasa ya msanii Saida Karoli

    Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo zilizopata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, hadi kuvuka mipaka ya Tanzania akiishi maisha ya...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna njia mbili za kujifunza katika MAISHA, njia ngumu na njia nyepesi

    KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI. Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali . ila pamoja na yote , kitu ambacho unabidi kukizingatia unabidi kuwa aware na mambo yanayowatokea wenzako , kuanzia mafanikio yao ...
  13. Silivian

    JamiiForums Tanzania Maisha ya sasa

    Kumuokoa mwanaume, mpe michongo.. Kumuokoa mwanamke, mpe mwanaume..
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  15. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Day 364 of 365 - utamu na uchungu zote ni sehemu za maisha - njoo tuzogoe 🙃

    Nashukuru JF kwa kuwa moja ya sehemu za kuongeza furaha, kunipa raha na kupunguza maumivu kwa mwaka huu. 2025 ulikuwa mwaka mgumu kwa wengi wetu; asanteni kwa tabasamu, mafunzo, elimu, vituko, mawazo, ukosoaji na aina zote za michango. Kwa niliowakosea au kuwakwaza - mnisamehe, haikua dhamira...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ukikaribia mwisho wa maisha, utagundua vitu vyote ulivokuwa unapigania havina maana. Familia na afya ndo vyenye maaana zaidi

    Kwanza nimpongeze alieandika huu uzi: https://www.jamiiforums.com/threads/kuna-umri-ukifika-vitu-vingi-vinakosa-maana-isipokua-pesa-familia-na-afya-njema.2324044/ ukwel ni kwamba katika ujana, unaweza kudhan una vitu vya msingi sana vya kupigania kama mali, fedha, wanawake lakini kwa sisi...
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Usihukumu Maisha ya Mtu: Kila Maisha Yana Majira Yake

    1. Kamwe usimdharau mtu kwa sababu ya umaskini au hali yake ya maisha Kila mtu anapitia mapambano yake. Leo unaweza kuwa umebarikiwa, una nafasi nzuri na unaishi kwenye mafanikio, lakini kumbuka fedha zina mabawa. Maisha yanaweza kubadilika ghafla. Tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho...
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

    Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania USITAMANI MAISHA YA MTU HUIJUI KESHO YAKE JE UNGETAMANI KUWA KAMA YULE POLEPOLE WA UNAIJUA V8 LEO HII TUNGESHAKUSAHAU.

    Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo ungekuwa wapi? Any way no one knows tomorrow.
Back
Top Bottom