Maisha ya mkoani shikamooo
Hakuna connection
Hakuna dili za kutosha
Kazi ngumu malipo hafifu
Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta
Nipe connection ushauri nk
Karibu
Salaam to everyone,
Its my hopes that wote mna weekend njema.
Kuna jambo limekuwa likinitafakarisha sana hivi karibuni kuhusu namna sisi vijana wa kiume tunavyoendesha mahusiano yetu ya kimapenzi. Well, kuwa kwenye mahusiano sio kitu kibaya na hata kumpenda mtu kimapenzi sio kitu kibaya...
Tuache kudanganyana na kupotezeana muda. Maisha haya tunayoishi ni maigizo makubwa sana ambayo tumeyakuta yameshaandaliwa. Hakuna hata mmoja wetu aliyeulizwa anataka nini kabla hajaja hapa duniani.
Sote tumezaliwa tukiwa uchi, hatuna nguo, hatuna dini, wala hatuna jina. Lakini kabla hata...
Hakuna cha majaliwa
Hakuna cha riziki
Hakuna cha nyota
Hakuna cha kudra
Hakuna cha ipo siku yangu tu
kile kinachokuathiri either positively au negativeluly ni matokeo ya uhalisia wa mienendo yako na mienendo ya wengine ambayo haiko chini ya uwezo wako.
Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana kuhusu maisha binafsi ya watu maarufu.
Mtu hajaamka bado yupo kitandani alfajiri tayari anajua...
unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
Hey people,
Good evening
Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Sababu ilikuwa ni ipi?
Naanza,
Wakati nasoma niliwahi kupendana na mtu ambaye alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, baadae akaja niambia ati tuachane na mbaya zaidi akaanza kupendana na mdada mwingine pale pale class(ilisemekana hivyo...
Sijui kama kuna watu wanajua utakufa na maisha yako ndio mwisho.
Ila mzee prof mussa juma assad. na wale idara yote ukaguzi sijui wameumbwaje na wengi sana wanaoshika hii idara.
Hata ukipewa hii idara inaonesha ni bora kujiepusha na maovu ya unayosema kila siku kuhusu ushenzi wanchi.
Ukiwa...
Juzi nilienda lviv japo ilikuwa naaminishwa kuwa wanaume wakiingia hawaruhusiwi kutoka, Lakin nimeingia nikatoka kawaida watu shughuli zao zinaendelea kawaida tu
Ila maeneo ya Mashariki huko dnipro ! Khakive ndo kuna shida mizinga wanaisikia kawaida
tumeruka music na mke wangu na familia then...
Naaaam Jumapili fulan tulivu
Ewe Mzazi usithubutu kumruhusu mwanao Kwenda kufanya kazi Dubai , Thailand na Maeneo mengine ya Asia hasa akiwa wa kike
Hili ni suala gumu lakini muhimu kulizungumzia Wengi husikia "Dubai au China au Thailand ni pesa na kula maisha" lakini upande mwingine ni...
Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami.
Karibuni kwa mjadala
1. Hospital
2. Jela
3. Makaburini
Hospitalini utajua afya ni utajiri mkubwa.
Jela utajua umuhimu wa uhuru
Makaburini utathamini umuhimu wa maisha.
Kuwa mtulivu!
Ukiwa kwenye ndoa ukitaka kuwa na furaha lazima na mwenza wako awe na furaha lakini ukiwa pekeako unafurahia uhuru wako wewe unachagua nini?
Ukioa uwezi kulala bila ruhusa ya mwenza wako lakini ukiwa pekeako unachagua wewe muda gani ulale bora kipi?
Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa.
Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
amani
amani ya nchi
bila
chadema
chama
from
health
hii
kimbilio
kuanza
kuhujumu
mabeberu
maisha
mental
mental health
mmoja
mtu
mtu mmoja
nchi
sovereignty
taifa
taifa letu
waasisi
wamefanya
wao
where
Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran.
Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran.
Mashati ya Marekani yote alikataliwa, machache haya
1. Kutotengeneza makombora
2. Kutorutubisha uranium
3. Kufungua mlango bahari...
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k
Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
"Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa.
Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.