maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  2. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watu wawili wahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti msichana

    Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu kifungo cha maisha Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kwa kosa la kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mikanjuni, Wilaya ya Tanga. Tukio hilo lilitokea Desemba 26, 2023 katika eneo la Mikanjuni, Wilaya ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania My diary: Mdogo Mdogo hadi 31st December 2034 - Uwekezaji na mtindo wa maisha

    Siku hii imenikuta nje ya Tanzania. Nimekuja Nchi moja south Asia kwa shughuli za kikazi. Nitarejea tarehe 17 October. Si mtu wa kupenda kununua nunua vitu nikiwa safarini lakini this time, imenilazimu kufanya hivyo kwa ajili ya zawadi kwa watu wa nyumbani kwangu. Safari za mbali namna hii...
  4. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Usishindane na watu katika maisha bali shindana na wewe wa jana

    Nimeamua kuandika uzi huu kutokana na yale ambayo yananisikitisha sana nionayo katika jamii yetu Huwa tunapenda kushindana na watu katika maisha yetu bila kujua kwamba mwisho wa siku tunajiumiza wenyewe na kuathirika sisi wenyewe. Katu hata siku moja wanadamu hatuwezi kuwa sawa,ridhika na...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

    Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi. Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ila maisha hayana adabu, dunia duara

    Maisha haya shikamoo. Sikuwahi kufikiri kuna siku nayo katibu mwenezi wa chama mstaafu kuna siku naye familia yake itaomboleza kama Watanzania wengine ila maisha ni kitu cha hatari kweli. Sasha kiburi kinakuponza kila siku nakukumbusha kuwa unamjua Jiang Qing hili Mama lilikuwa katili kushinda...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  9. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Ujumbe Sheikh anahatarisha maisha yake na Ustawi wa Serikal tukufu

    Ni maneno mazito sana na yenye kukata kama msumeno. Maana yake nini? Je watu wameamua kusema liwalo na liwe? Hawa wanamchukia samia sababu ya Dini yake tu hamna lolote.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Balozi ajitupa kutoka Ghorofa ya 22 ktk Hoteli jijini Paris, na Kupoteza Maisha

    Cape Town, South Africa Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen) Wenzake na marafiki wa Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa, wanaomboleza baada ya waziri...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Elimu kubwa vs Mafanikio ya maisha

    Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma. Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna hatihati hazina kukauka uchaguzi ukikamilika na maisha yakawa magumu zaidi kuliko kawaida

    Mara nyingi kipindi cha uchaguzi pesa nyingi mno hutumika kwenye kampeni na mbilinge mbilinge za hapa na pale kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani kwa namna yoyote ile mwisho wa siku uchaguzi ukitamatika hazina inabaki nyeupe na watanzania huwa wanakuwa kwenye kipindi kigumu mno cha...
  14. curie

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je convoy ya Rais katika kampeni zake ina sanifu maisha ya mpiga kura?

    Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kujiuliza swali hili muhimu kwa maisha yako na wengine?

    Uichunguza dini zote za kigeni, zimejitahidi na bado zinaendelea kutufanya tuwe watumwa. Zinatuhimiza kumuona Mungu asiyeonekana kama bwana, mfalme, mkombozi na anayetumilki kulhali. Inakuwaje tunakubali kugeuzwa watu wa kisichoonekana wala kujionyesha kama siyo kuuziwa mbuzi kwenye gunia? Hebu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Furaha ya maisha ni kitu muhimu sana, tajiri kaamua kufungua duka la matunda na kushinda huko

    Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta tajiri huyu akiwa na mazungumzo yaliyoonekana kuwa yamenoga sana. Nilidhani ni mteja, nikaenda...
  17. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Familia kutoka Uingereza imeuza nyumba yao ya £500K na kuhamia Africa wakidai maisha ni mazuri zaidi huku

    Familia moja kutoka Uingereza imehama kwenda umbali wa maili 5,000 baada ya kugundua kwamba walikuwa wanaishi “kwa kusurvive tu” wakiwa Uingereza. Natalie Furk, mwenye umri wa miaka 35, na mumewe James, mwenye umri wa miaka 37, pamoja na watoto wao wawili, walihamia kusini mwa Afrika baada ya...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Bongo ukiwa mkimya utasemwa na ukiwa muongeaji utasemwa pia

    Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako "MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO" Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

    Jamani najiuliza ni kwamba nimefungiwa jini chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda mara dufu? Yani mpaka sasa hivi nimeshatumia elfu 17 na sijafanya anasa yoyote. Nimenuna sukari 500 Maandazi 2000 Majani ya chai 100 Mkaa 1200. Watoto hawajala mayai miezi sita na mmoja ni mgonjwa...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
Back
Top Bottom