Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu,
Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu,
michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote.
Kuna wale speculators: wanaomchukia...
https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF
1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria..
2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum.
Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu.
Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump.
Kazi anazofanya kama...
Na Mwandishi Wetu.
Babati, Septemba 2025: Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia taasisi yake ya kijamii, Mati Foundation, imezindua rasmi mradi mkubwa wa ugawaji wa pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme kwa watu wenye ulemavu nchini, ili kuwawezesha kufanya shughuli zao...
Siku hii inashikwa kwa nguvu ya yamba 9, namba ambayo inatoa ukamilifu wa mzunguko kabla ya mzunguko mpya, ni siku muhimu sana kwa sababu inatoa nafasi ya kumakizia Ili kuanza tena namba Moja katika mfumo wa dijiti moja (1-9).
Ikumbukwe kila namba Ina nguvu na mtetemo wake unaovuta hali na...
Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.
Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.
Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.
Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali,
"Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena"
nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
Habari zenu Wana Jambi
Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa
Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of the time mpo under pressure mnakimbizana na performance vikao daily simu kila wakati maBoss wanataka...
🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika
Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee bali pia mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki na Kusini. Lakini katika dunia ya sasa ambapo karibu...
Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula.
Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha.
Askofu Gwajima yupo hatarini
Yes,Ukiwa unaishi mjini au mahali popote mbali na wazazi au nyumbani ulipozaliwa,unaporudi nyumbani swali mhimu kutoka kwa wakubwa huwa ni...; umeshanunua kiwanja??
Kama bado hujapata jibu la swali hilo,usisite kunitafuta wakati wowote ili upate kumiliki kiwanja chako kwa gharama nafuu Sana...
MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE
Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi mawazo yanavyogeuka hisia na vitendo, siri za maisha ya ndani na nguvu zilizojificha ndani ya...
Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya cryptocurrency..basi huenda taarifa hii usiielewe au kuona ni utapeli..niko tayar kukupa elimu kwa kina...
Ndugu zangu.
Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake.
Kwenye maisha tunakutana na malaika na shetani walio vaa mwili wa mwanadamu na kamwe huwezi kuja...
🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa kombora basi ujue unakufa na kama umepigwa kombora dalili moja wapo nikuota ndoto zakutisha usiku...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
Hamjambo!
Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa.
Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha.
"Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa,
Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya.
kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.