maisha

  1. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Hii imetokea kijijin kwetu kabisaa maisha magumu sanaa

  2. Doto12

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
  4. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu maisha ya watoto wa familia ya Benito Mussolini baada ya kifo cha baba yao 1945?

    Unafahamu kilichowapata watoto wa Benito Mussolini baada ya kifo chake? Je, walibeba mzigo wa makosa yake? Baada ya kuuawa kwake mwaka 1945, watoto wa Benito Mussolini waliishi maisha yenye mashaka na huzuni tele. Ingawa wao wenyewe hawakuwa wahalifu kama baba yao, walijikuta wakibeba mzigo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu mpaka nimemuuliza mke wangu kama ana boyfriend atukopeshe

  6. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

    Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano: #1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8). Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa. Katika...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Roho ya Mwanadamu Hupumzika Kati ya Hizi Sehemu Nne (4) Baada ya Maisha ya hapa Duniani

    1. Sehemu ya Wenye Haki Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu. Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima. 2. Sehemu ya Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao. Roho...
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matusi marufuku kwenye Kampeni. Kuna maisha baada ya Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israeli: Siku ya kuokoa maisha’: Jamaa za mateka na familia zilizofiwa waanzisha maandamano wa nchi nzima

    Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita. Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 300 wamepoteza Maisha kwa Mafuriko Pakistan

    Zaidi ya watu 300 wameripotiwa kupoteza maisha kaskazini magharibi mwa Pakistan kufuatia mvua kubwa na mafuriko yaliyodumu kwa siku mbili, kwa mujibu wa taarifa za maofisa wa eneo hilo. Mvua hizo zimeambatana na maporomoko ya ardhi, radi, maporomoko ya majengo na mafuriko ya ghafla, na kufanya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sitomsahau Rais Magufuli, machozi hutiririka ninapowaona aliowaamini wakimsaliti waziwazi

    Hivi Rais Samia anafuraha moyoni mwake kukaa na mafisadi waliokataliwa na mtangulizi wake?Chukulia Mama yako mzazi anakula na kunywa na wale maadui wa marehemu baba yako huku ukijua kifo cha baba yako kilikuwa na utata? Hivi huyu Mama nastahili kumpa heshima ya kumuita Mama yangu, kila...
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki na mafundisho: Simulizi mbalimbali za maisha ya watakatifu

    Mtakatifu MARIA GORETTI Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita. Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Utofauti ambao niliuona Kati ya Tanazania na Kenya katika Maisha ni huu hapa

    Kwanza nchi za EA .au nchi za jangwa la Sahara ni Kama viongozi wao walizaliwa na Mama mmoja . Ila zipo tofauti ndogo ,ndogo ambazo niliziona Tz Wakenya wapo Mbele ya muda kwenye Upande wa teknolojia ,kuliko kenya. Nidhamu ya muda , wakenya wanajali Sana muda , hata ukitokea msiba wanaweza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

    Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  18. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kwenye siasa au maisha ya kawaida watu wa hivi ni wa kuogopa kama Ukoma

    Ukiona mtu anabadilika kama kinyonga jana alikuwa hivi na misimamo mikali dhidi ya kundi lingine.Ghalfa akabadilika akatoka lile kundi akaenda kundi lingine alilokuwa anakandia akawa anakandia lile kundi alilotoka ni wa kuogopa kama ukoma. Mtu kama huyu anaweza kuwa anacheka na wewe kama mamba...
  19. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
Back
Top Bottom