maisha

  1. ndege JOHN

    Vijana wa 31–36 walisoma sana lakini wamechelewa kuwa wajanja wa maisha muda sio mrefu mfumo unawatema

    Kuna kizazi cha vijana wenye miaka 32,33, 34, 35 na 36 ambacho kwa kweli kinanishangaza.Wengi ni smart sana darasani na ni watulivu sana wana nidhamu fulani sio haba na wana degree zao na walikuwa na ndoto kubwa. Lakini tatizo ni kwamba wengi wamekuwa sio wajanja wa maisha. mtu ana degree...
  2. Silent King

    Maisha yana surprises nyingi sana

    Nikiwa kijana mkubwa wa secondary,kama unavyojua kuna kipindi kinafika unaona kabisa hapa wazazi inabidi wasiendelee kuzaa sasa,kwanza kutokana na umri wao lakini pili ile kuona inakuwaje bimkubwa na umri huu anabeba mimba Ilikuwa inanipa shida kidogo,lakini sikujua kwamba Mwenyezi Mungu...
  3. Gunner11

    Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Kila binadamu huwa anakuwa na mtihani wake... Leo nimeona nitoe japo snippet yangu, kwa vile hili jukwaa ni kubwa nadhani naweza kupata mtu wa kunibadilisha mawazo.. Kwanza kabisa.... I'll be 29 this month. Na kuna vitu huwa navipuuza but they're starting to make clear sense now.. Si unajua...
  4. Jannatul Firdaus

    Kipaji Chake Kilikuwa Laana na Mkosi Kwake, Usagaji, Maisha, Mafanikio na Kifo cha Brenda Fassie

    Brenda Nokuzola Fassie (anayejulikana kama MaBrrr) alikuwa nguli wa muziki kutoka Afrika Kusini, mtunzi, na mwanaharakati aliyetawala sanaa ya muziki kama "Malkia wa Pop wa Kiafrika". Maisha yake yalijaa mafanikio makubwa ya kimuziki lakini pia yalikumbwa na dhoruba kali za kashfa, matumizi ya...
  5. Burn the bridge _Tz

    Maisha yamenichapa natamani kwenda jera nikakae miezi mitatu akili ikae sawa.

    Natamani niende jera miezi mitatu nikatulize akili na kubadilisha mazingira huenda nikawa sawa Maisha ni magumu sio mchezo
  6. Gospel KTV

    Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako. Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
  7. Victor Mlaki

    Falsafa ya Kilimo: Shule ya maisha ndani ya udongo

    Watu wengi wakisikia neno kilimo, hukimbilia kwenye jembe, matope, jua kali, na uchovu. Lakini ukweli ni kwamba, kilimo sio kazi tu ya kuzalisha chakula; kilimo ni shule kubwa zaidi ya maisha. Kila hatua unayoiona kwenye shamba la mahindi, mboga, au matunda, ina somo kubwa la jinsi mwanadamu...
  8. M

    Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  9. gstar

    Maisha ya Vijijini na imani za Kishirikina.

    Mimi nilizaliwa Kijiji kimoja huko mkoa wa Tanga katika wilaya ya Korogwe, japo baba yangu alitokea mkoa wa Kilimanjaro alihamia hapo kijijini kikazi. Vijiji vingi vya mkoa wa Tanga vilitawaliwa na imani za kishirikina, nikweli kwamba wanaposema katika kila mtaa lazima awepo mzee anayehisiwa...
  10. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  11. Traxtion

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  12. Vien

    Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  13. Joshua Mbezi

    Hivi Ni Lini Maisha Yaliwahi Kuwa Rahisi?🤔

    Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa kileo Kwanini nasema ni wahongo leo nilikuwa nimeketi nikawa na playlist ifuatayo 1: less wanyika...
  14. Hyrax

    Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  15. Kazanazo

    Nilichojifunza kwenye maisha silalamiki wala kulialia na mtu tena nitatatua matatizo yangu mwenyewe

    Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe. Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
  16. idiomer

    Mkuu wa wilaya Mvomero hana uchungu wa mali na maisha ya wananchi

    Wananchi mazao yao yameharibiwa na mwekezaji na kuna mgogoro ila yeye anasema Ijumaa?? Kweli wananchi ndio mabosi wako unasema Ijumaa? Who are you? Maulidi Dotto? Sipendi kuona mwananchi wa wakawaida wakionewa basi tuu
  17. Diwani

    Msijifariji kwa watu wengine mkishakosea kwenye maisha

    TULIOOA Watu wengi, hususan Wanaume waliozingua kwenye ndoa zao wana brag sana kuhusu uzuri wa ndoa, kama ulioa na clear purpose, huwezi kuwa unajieleza sana kuhusu maamuzi yako. Kama ndivyo, umezingua so unajaribu ku justify maamuzi yako kwa kuyapaka rangi yaonekane mema. Tuliooa kwa akili...
  18. Gabeji

    Maisha ya kweli ni kuwa na " peace of Mind"

    Ukiwaweka wanasiasa hawa wawli , Tundu Lisu na Samia ukawaangalia vzr KWA jicho la kiroho au hata kawaida ,utagundua kitu , Samia anaishi na kulala nyumba nzuri na godoro la nchi 1000, anawalizi kila kona, anakula chakula cha kifalme, still hana amani kabisa,nuru haipo ,hata angepaka make up...
  19. Scott junior

    Maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu maisha, destiny na “Kwa nini mimi?”

    Kuna wakati nimejikuta nikifikiria sana kuhusu maisha ya mwanadamu na jinsi ambavyo kila mmoja wetu amekuja kuwa yeye. Kwa nini mimi nimekuwa mimi? Kwa nini wewe umekuwa wewe? Na kama mambo machache tu yangekuwa tofauti, je, tungekuwa watu gani leo? Kwa mfano: Kwa nini Seran asingekuwa Ephe...
  20. Pakome

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
Back
Top Bottom