Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko mmoja ukiwa ni Spy wa China na mchepuko mwingine mfanyakazi wake!
View attachment 3708881
View attachment 3708882

Honey Trap
 
Asa jeeee! 😂

Baada ya karamu Namani akaliwa kichwa!
Na ndio lengo kuu la ile karamu - kula kichwa cha Hamani. Ester mama wa mipango, alikusudialo huwa regardless of jeuri, nguvu au backup ya mfalme in favor of the/her enemy!
 
We all sinners but we sin differently
Kosa kubwa ni hapo kwa spy ila kwa CEO kama yeye mbona kajitahidi
Hapo mke anafurahia 50%yake
 
Elon kashasema anaweza ku hire huyo jamaa apige kazi nae mtu ukiwa kichwa kufanya kazi popote kawaida tu shida ipo kwa sisi wasaga ulimbo..
 
Back
Top Bottom