Kuna muda huwa najiuliza kwani hawa wanawake ni kipi cha ziada huwa wanakitoa, mpaka kufikia hatua ya kumchanganya mwanaume mtu mzima mwenye akili timamu na kujikuta anafanya maamuzi ya hovyo?
Tukio la Jensen limenifikirisha sana.
Kama kweli uyo manzi alikua ni jasusi wa China.
Basi...
Salaam wakuu,
Binafsi nilikuwa na ndoto ya kuwa rubani. Ila kwenye harakati za maisha nimepitia kazi nyingi pamoja na kuwa mgambo wa jiji, nimekimbizana sana na machinga. Hakuna kozi ya ndege nimewahi soma wala kushika engine ya ndege zaidi ya kurusha hizi aviator za online na kupoteza pesa...
Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko...
Wakazi wenye hasira mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru, wamevamia ofisi za kampuni ya Kenya Power wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara na ongezeko la bili za stima licha ya huduma duni wanazodai kupokea.
Maandamano hayo yalifanyika Jumatano, Novemba 11, 2026, ambapo wakazi na...
Kwa nini tusijenge Tanzania ambayo vijana wanaongoza, wazee wanatushauri?
WanaJF, natamani kuona Tanzania yenye Rais kijana, mawaziri wengi vijana na vijana wengi zaidi katika nafasi za juu za maamuzi.
Ninaposema vijana hapa namaanisha miaka 18–40, hasa miaka 25–35. Hilo linaweza kuonekana...
Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa.
Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
Huenda ilikua mabadiliko ya sera za "RUKSA" ila Mikoa hasa ya kanda ya ziwa watoto yatima walikua ni wengi na mpaka leo wengi hawajawapata wazazi wao.
Ilo giza la kuvurugika kwa jamii limeathiri jamii nyingi mpaka leo watoto hao wengi wamekua ila wanaishia kuacha watoto yatima tena
Nini kifanyike?
Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana.
Bei ya rejareja: sh 20,000/=.
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu.
Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar.
Mawasiliano...
Je kwanini Heshima ya Jaji mkuu na mahakama imeshuka kwa kasi kubwa?
1. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi
2. Sisa zimeingilia mahakama na majaji wanatoa maamuzi kisiasa wakitegemea vyeo
3. Majaji kukaa karibu sana na wanasiasa tena wa chama kimoja
4. Kesi nyingi za kisiasa...
NI jiji la mwanza tulivu mida ya asubuhi baba kiki akifanya usafi kwenye duka kubwa la electronics, fridge, tv, pass, maredio nk
Amevaa nguo za ghaarama nyumba anayoishi ni ya gharama, watoto wake wakisoma chekechea za gharama kipindi hicho, mkewe mama kiki sijui ni mlinganishe na nani ili...
Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome.
Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka.
Mungu ibariki mkifa
Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri
Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? .
Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake?
Pia kuna wananchi na...
CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza.
Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu
Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile
George Jackson David
Aisha Muhammad Nurdin
Uhuru Baraka Amani
Judith Christopher Benard
Salehe Abdul Ally
kunafuta utambulisho wa asili na...
Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿
UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600.
Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
CCM kwa sasa wapo bize kuandaa tukio kubwa sana kuwai kutokea Tanzania litalotumika kuzima upepo wa Lissu kufuatia hukumu ya tarehe 6 November 2026.
Ni tukio litakaloiteka Africa nzima hakutakuwa na habari za Tundu Lissu mtaani wala mtandaoni.
Tukio litafanyika uko pembezoni kwa walugaluga...
China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu).
Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.