mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Meli mbili za mafuta zalipuliwa katika Mlango wa Bahari wa Hormuz

    Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lilitangaza mnamo Novemba 13 kwamba mabomu yalilipua meli kubwa ya mafuta na meli ya pili ya mafuta, na kuacha meli zote mbili zikiwaka moto. Meli zote mbili zilikuwa zikisafiri katika njia ambayo IRGC haikuwa imeidhinisha, huku...
  2. R

    Kukatika umeme Arusha siku mbili mfululizo, TANESCO mnajielewa kweli?

    Jana mmekata umeme siku nzima. Leo tena alfajiri mmekata. Hamjui kwamba kuna watu wanapata riziki ya kila siku kwa kutegemea uwepo wa umeme? Mnakata mchana wote mnarudisha usiku. What kind of engineers have you employed? Hamuwezi kufanya rationing angalau watu wapate umeme kwa masaa sita wakati...
  3. Yoda

    Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

    Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko...
  4. L

    Aliwahi kusema jaji Augustino Ramadhani,kesi zote hua zinasikilizwa sehemu mbili

    Aliwahi kuwa Jaji Mkuu kama sikosei Jaji Augustino Ramadhani,aliwahi kusema kua kesi zote dunianiani hua zinasikilizwa sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ni ndani ya Mahakama na sehemu ya pili ni nje ya mahakama. Ndani ya mahakama ni ndani ya mahakama kabisa chini ya mahakimu na mauaji. Kesi...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Gari la tesla roadster lenye uzito wa tani mbili linawezaje kuruka angani? Lina tumia physics ya namna gani kuruka?

    Wakuu, hivi mnafahamu kwamba gari lenye uzito wa tani mbili linaweza kuinuliwa kutoka ardhini kwa kutumia gesi yenye shinikizo kubwa? Hili linaweza kuonekana kama jambo la kufikirika, lakini kanuni zinazowezesha teknolojia hiyo zimekuwa zikifundishwa katika fizikia na uhandisi kwa miaka mingi...
  6. K

    Melodi Moja, Dunia Mbili: Jinsi Kilwa Jazz walivyogeuza Ukosoaji wa Jamii wa Franco kuwa Wimbo wa Mapenzi

    Wakuu, Katika historia ya muziki wa dansi barani Afrika, miaka ya 1960 ilikuwa ndiyo enzi ya mageuzi makubwa ya kiutamaduni na kiubunifu. Moja ya mifano hai ya ushirikiano wa kiasili na kiakili katika muziki ni uhusiano uliopo kati ya wimbo "Est-ce que oyebi?" uliorekodiwa na miamba wa rumba la...
  7. S

    TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  8. Chief Kumbyambya

    Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

    Hii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini? Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea? Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
  9. Yoda

    Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili.

    Ingefaa Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili au madaraja mawili. Aina ya kwanza iwe na barabara za lami za kudumu na aina ya pili iwe barabara za lami za muda. Barabara za lami za kudumu iwe ni zile zinazokaa hadi miaka 15 bila kuharibika. Barabara za lami za muda iwe ni zile...
  10. A

    KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  11. peno hasegawa

    Mabasi ya kusafirisha abiria usiku kusitishwa? Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

  12. K

    Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar?

    Wicknel Chivayo alikuwa anapiga deal mbili kubwa: Gold na Dollar? kwa ambao hamjui mambo huyu jamaa pamoja na mambo mengine alikuwa mbeba gold za uwizi na alikuwa anakula na Maraisi wa nchi zenye Gold na kuzipeleka Dubai. Kenya mtauliza Gold yao inatoka wapi ni kwa kikundi cha Sudan kichopigana...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Wasalam wakuu. Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu. Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa mwanamke na kumfanya awe mke wake na hatimae kuwa mlezi wa watoto wake ni kithibitisho tosha kuwa...
  14. figganigga

    Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

    Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
  15. M

    Mwigulu na madereva wamaliza mgomo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Madereva wa mabasi na malori Nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay Jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine...
  16. W

    Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  17. bless on

    Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

    Kwenye vitabu vya kale vya historia, kuna siri moja iliyobaki kwenye kurasa za zamani: Wakati Mfalme Daudi alipokuwa mzee sana na mwili wake ukikosa joto, washauri wake hawakumletea nguo nene za sufu. Walimtafuta binti mbichi kabisa aitwaye Abishag ili alale naye. Lengo halikuwa tu...
  18. nzalendo

    Nilitolewa kijasho na ntoto wa afu mbili

    Unajua tena nilikuwa mamkoa . Kijiji chote wanajua nzee nimetoka Dar. Basi nilibadilisha mpaka tembea yangu, Maisha yalikuwa mazuri kila ntu anataka kuwa karibu na nzee wa Dar. Huku na kule baada ya kazi jioni tunajumuika kilabuni...tunakunywa pombe za nafaka waweza kuziita za machicha...
  19. A

    KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu. Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
  20. A

    KERO Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara - Mbezi)

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi. Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
Back
Top Bottom