moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Mgeni toka Dubai kakutwa na pembe ya Faru, kalipa tu Faini

    Hii ndio Tanzania ambayo MH TUNDU LISSU anapigania. Watanganyikana sababu zaidi ya Bilioni ya kwann ni lazima muungane na LISSU . Watanganyika wangapi wapo Jela?? Kwa makosa ya Gram 2 za bangi, mara Nyama ya Sungura kilo Moja, sijui Ngozi ya fisi , watu wefungwa miaka 30. Leo Mgeni...
  2. Lycaon pictus

    Baada ya kupiga hesabu, inaonekana haiwezekani kufikia uchumi wa trilioni moja mwaka 2050

    Kafulila anaonekana ana maono na mtu anayefahamu takwimu vyema. Lakini uchumi wa trilioni moja anaotuhubiria kuwa tutafikia 2050 unaonekana hauwezekani kimahesabu. Uchumi wetu kwa sasa ni dola bilioni 96 GDP nominal. Nimeiuliza AI uchumi wetu unahitajika kukua kwa asilimia ngapi kwa mwaka ili...
  3. Red black

    Moja ya ushauri Bora sana kutoka kwa dada na mama yetu kipenzi hakika yuko real sana

    Zingatia paragraph ya mwisho Cc leo dada
  4. Yoda

    Wanawake wamemuangusha CEO namba moja duniani!

    Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko...
  5. M

    Wenzako wanapiga dili haramu miaka hawadakwi, ila wewe unapiga dili moja au chache unakua mfano.

    kipindi wadogo wenzangu Kila siku walikuw wanaenda kuiba ndizi kwenye shamba la watu wanarud nazo ndoo imejaa tunakula lakini hiyo siku nilosema na Mimi niend kujarib nilidakwa wenzangu walikimbia 😂😂 nilipigwa na wakalipa wazazi wangu na nyumbani nikafika nikala za kutosha
  6. Gumasa

    USINUNUE KIWANJA KWA KUANGALIA UMBALI WA LEO, ANGALIA MAENDELEO YA KESHO

    Ndugu yangu,kabla hujaamua kwamba kiwanja kiko mbali, jiulize swali moja;Je, mji unaendelea kuelekea upande gani? Kila mji una mipaka yake ya sasa, lakini ukuaji wa miji hauishii kwenye mipaka hiyo. Kadiri watu wanavyoongezeka, biashara zinavyopanuka na makazi yanavyohitajika, maeneo mapya...
  7. Alexido jz instagram

    Teacher alituaga akitabasamu anatoka mara moja, baadae tukapata tarifa kakamatwa na polisi, ni mwizi, demu alihusika

    Kwa wakazi wa geita wanafahamu, uwanja wa shule ya msingi kalangalala, zamani kwa pembeni ya uwanja kulikia na center kwa ajili ya private candidates na watumishi wanao jiendeleza au kujiandaa kufanya mtihani wa kidato cha sita. Na cha nne na wanafunzi nilikua nawaona hpo japo si wengi. Sasa...
  8. 1995El

    KUNA JAMBO MOJA NILILOJIFUNZA BAADA YA MSIBA, NA KAMA NINGELIELEWA MAPEMA, NINGEISHI TOFAUTI.

    KUNA JAMBO MOJA NILILOJIFUNZA BAADA YA MSIBA, NA KAMA NINGELIELEWA MAPEMA, NINGEISHI TOFAUTI. Leo niko na wazee wangu baada ya kipindi kigumu cha msiba. Nimekaa nikitafakari mambo mengi kuhusu maisha, familia na muda ambao tunao duniani. Kuna kitu nimekielewa kwa ukubwa sana: Ukiwa bado na...
  9. Wakusoma 12

    Ama kweli Lisu ni wa kipekee sana kama ambavyo Yesu alihukumiwa kimakosa naye pia Ahukumiwa siku moja na Paul Mackenzie mhalifu wa kweli

    Hii kiroho imekaaje wakuu? Namba hazidanganyi wakuu.
  10. Kaka yake shetani

    Wanasayansi wa Harvard wagundua kemikali zinazoweza kurudisha nyuma uzee wa seli za binadamu – Je, siku moja tutakuwa na kidonge cha kurejesha ujana?

    Sasa watafiti wanachunguza uwezekano wa kutumia kemikali badala ya kuingiza jeni kwa njia ya tiba ya vinasaba (Gene Therapy). Sababu ni kwamba kemikali zinaweza kuwa rahisi zaidi kutengeneza na kutoa kama dawa kuliko tiba inayohitaji kuingiza jeni mwilini. Maana ya kisayansi: Je, kweli uzee...
  11. Kaka yake shetani

    Kwa nini USA wame badilisha mda na kufuta lisaa moja

    Kuna kitu cha kushangaza sana.Huko USA baada ya kuona majira yamekuwa tofauti wameamua kufuta lisaa limoja ambayo saa moja usiku kwenda saa mbili imeondolewa ili ku balance mda. Vifaa vyote vinavyotumia saa kupitia internet chunguzeni. Ni kwao ili jambo wamefanya.
  12. Troll JF

    Police Kenya wasema suala la Mwaipaya lipo kwenye uchunguzi waomba siku moja kuwasilisha kiapo Kinzani counter Affidavit maamuzi saa 9 mchana

    Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa. Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
  13. M

    Hakuna jeshi jirani litakalowaweza watutsi kufikia 2050, Tukio la mwaka jana kuwazidi mbinu Jwtz na majeshi mengine limeonyesha walivyozidi kuimarika.

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi. Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
  14. Red black

    Je ni sahihi familia kuwa na Account moja ya kuhifadhia fedha?

    Yani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki, kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast. Let say father umepiga 15m wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
  15. kavulata

    Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club. Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
  16. sonofobia

    Natafuta series ambayo ni season moja complete ila kali sana

    Natafuta series ambayo ni season 1 complete alafu iwe kali. Pls i do need your suggestions
  17. Yoda

    Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

    Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ? Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
  18. ChoiceVariable

    Subscribe hii Post: Kwa Makundi ya CAF yalivyo, ukweli mchyngy ni kwamba hakuna Timu hata Moja ya Tanzania itaingia robo fainali.

    Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana. My Take Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
  19. kibaigwa finest

    Kuna timu haitapata hata point moja kwenye hatua ya makundi msimu huu

    Kundi la kifo likowapi sasa
  20. TISHETI PLAIN DODOMA

    PLAIN T-SHIRTS NZITO DODOMA! 👕

    ✅ Cotton + Polyester 💰 TSh 15,000 tu kwa moja! 📏 Sizes: L, XL, XXL hadi 3XL 🎨 Rangi mbalimbali zinapatikana 🖨️ Pia kuna huduma ya kuprint picha, logo, majina na maneno unayoyataka kwenye T-shirt yako! 🛵 Delivery ndani ya Dodoma. 📲 Piga simu/WhatsApp: 0745 028 158 #PlainTshirtsDodoma...
Back
Top Bottom