Imeripotiwa kwanba Mtendaji Mkuu (CEO) wa (NVIDEA) Kampuni kubwa ya Teknologia ya Marekani ndugu Jensen" Huang mwenye Uraia wa Taiwan na Marekani ameamua kujiuzulu nafasi zake kwenye Kampuni kutokana na kinachodaiwa kuwa na uhusiano nje ya ndoa na mwanamama wa Kichina Alice Huang.
Vyombo vya...
Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko...
Habari za Wakati huu;
Ni matumaini yangu mnaendelea salama na mapambano ya kiuchumi.
Je wewe ni mfanyabiashara wa kidigitali?Je wewe ni winga uliyepo kariakoo ambaye una connection ya wateja?
Leo nataka nikusanue Jambo.
Amua sasa kufanya Full ecommerce business.Badala ya kuwa mfanyabiashara...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watu wawili, akiwemo dereva wa mtambo wa kuchimba udongo (Excavator), Halidi Seleman Kalaghe, mwenye umri wa miaka 45, kwa tuhuma za kuharibu mali za mwajiri wake, kampuni ya China Energy Engineering Group Guanxi Hydroelectric Construction...
1. Bakhresa group of companies
2.taifa group of companies
3.oilcom group of companies
4.lake energies group
5.amsons group of companies
6.metl group of companies
7.azania group of companies
8.motisun group of companies
9.mac group of companies
10.murzah group of companies
11.gsm group...
1. Kama huwezi ku afford Lawyers na accountants usisajili Kampuni, sajili business name.
Kampuni unahitaji expertise ya watu, na experts wanataka kulipwa vizuri.
2. Ni lazima uwe na compliance officer, kama una miliki Kampuni suala la kua compliance officer ni la lazima.
Huyu atakusaidia...
Na, Dr. Zack, Santa Clara, California,
Mkurugenzi Mtendaji wa NVIDIA Jensen Huang amekiri kutokuwa mwaminifu kwa mke wake baada ya ripoti kuvuja kuhusu uhusiano wake na Alice, kiongozi mkuu katika kampuni ya kutengeneza chip ya Megaspeed yenye makazi yake nchini Singapore.
Kashfa hii imechukua...
Kama kuna mtu mwenye kampuni ambayo haitoi 10%. Nasikia kampuni za kichina ndiyo kabisa ndiyo maana wanashinda kila tender
Kama kuna kampuni haitoi 10% na ina mradi mkubwa iseme hapa tuna data zote
Wakuu kwema, kwa mwenye kampuni ya online betting au casino na anafikiria kuiuza tafadhali awasiliane na mimi, kuna serious buyer anahitaji. Kampuni iwe na vibali vyote vya kisheria (compliance)
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali tupigie 0763732520 au njoo Dm kwa mawasiliano zaidi, ahsante..
Nafasi za kazi kotuka kampuni ya quick track solutions limited katika Nafasi zifuatazo.
1. Fumigation
2. Marketing
3. Project Leader
SIFA ZA MUOMBAJI
1. Lazima awe amesomea au anao ujuzi unaohusiana na fumigation and pest control
2. Umri usiopungua miaka 21
3. mkazi wa Dar es salaam
4...
China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu).
Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika.
Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni.
Nawasilisha...
Leo nimepigiwa simu na tapeli aliyejitambulisha kuwa anapiga simu kutoka makao makuu ya kampuni ya mtandao wa YAS, baada ya salamu tapeli huyo ananitishia kuwa laini yangu ya simu itafungwa baada ya muda mfupi.
Nikamjibu fungeni tu wala hamna tatizo, nitasajili laini nyingine.
Alichonijibu...
Namba zenu za simu za Ofisi mlizoweka katika tovuti yenu ya zilizopo katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Dsm, Mbeya, Morogoro, pamoja na Dodoma hazipatikani. Ukipiga unaambiwa zinatumika, iwe asubuhi, mchana, au hata usiku wa manane. Hii ni zaidi ya...
Wafungwa wanaruhusiwa kufanya kazi kwenye kampuni binafsi?
Hiyo kampuni ipo kilosa inaitwa CHINA ESTATE FARM
NAOMBA KUELEWESHA WANAWASIMAMISHA WAFANYAKAZI WAO KAZI
WANAWAAJILI WAFUNGWA NA ZILE HELA ZA MSHAHARA ANACHUKUA NANI???
Anonymous
Thread
binafsi
kampunikampuni binafsi
kazi
kilosa
kiwanda
kufanya
kufanya kazi
wafungwa
Sinohydro Corporation Limited na China Henan International Cooperation Group Co., Ltd(CHICO) ni Kampuni dada. Yaani zote zinamilikiwa na Serikali ya china. Zote zinafanya kazi chini ya SASAC taasisi ya Baraza la Serikali la China inayosimamia mali za serikali katika makampuni husika.
Na hizi...
Amsons Group, kampuni kubwa ya Kitanzania yenye uwekezaji katika sekta mbalimbali, imeingia makubaliano ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies nchini Tanzania, hatua inayoiweka kampuni hiyo katika nafasi ya kupanua ushawishi wake katika sekta ya nishati.
Soma Pia: Kampuni ya Amsons Group ya...
Wajomba zako , ndugu n.k hawajakunyima connection hizo lawama ni za bure , kumbuka hawana kampuni ,kiwanda wala biashara iliyosimama. Mara nyingi vijana, wanalaumu sana ndugu , wajomba n.k
Ila ukifatilia MTU anayelaumiwa ni MTU asiye na potential hana uwezo wa kushawishi maamuzi yoyote.
Hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.