kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Website Tanzania

    Jipatie website ya kampuni yako au biashara yako kwa 120,000 tu

    Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies & Brokers Banks & Financial Institutions Microfinance Companies...
  2. Website Tanzania

    Ofa ya leo tu haijawahi kutokea: Jipatie website ya kampuni au biashara kwa 120,000 tu

    NDIO 120,000 TU Kama upo miongoni mwa kampuni au biashara hizi Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies...
  3. Manyanza

    Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  4. Nyani Ngabu

    Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake. Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika. Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost. https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
  5. Tajiri Tanzanite

    Hii kampuni ya bety ya sportbet imenidhulumu aisee.

    Halo vip! Moja kwa moja kwenye mada husika ni hivi nimesuka mkeka wangu. Na Ila baada ya timu zote kutoa Na walikuwa wananiletea cash out nakaa. Sasa wameamua kuchana mkeka wangu kwa makusudi. Ni hivi Luna match mbili nimeweka 1.5 Na match yakwanza imeisha kwa 1-1 Na match ya pili imeisha...
  6. Chizi Maarifa

    Viongozi wa Nchi za Africa akiwepo Samia.walipa Mabillion ya Pesa Kampuni ya Udalali ili kuonana na Donald Trump

    Ujinga wa viongozi wa Africa ... https://www.instagram.com/p/DcOXDOTihBv/?img_index=2&igsi=MTgyY3NmdDhoenlrdA==
  7. D

    Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  8. DogoWaNjombe

    Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, wakati wa ziara yake kwenye...
  9. A

    KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya nchi inayoitwa Star Employment Service Tanzania. Nilianza mawasiliano na Mkurugenzi wa kamouni hiyo...
  10. Ojuolegbha

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  11. H

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania

    Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia. Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
  12. funaku

    Pamoja na uwekezaji, Serikali ifufue kampuni zake za usafirishaji

    Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu. Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
  13. J

    Msaada wa Kuunganishwa na Kampuni yoyote ya Uchapishaji wa Vitabu

    Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno! Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo. Naomba msaada wa 'Konekisheni' ya Kampuni ama Taasisi yoyote ambayo inajihusisha na Uchapishaji na...
  14. youngkato

    Una biashara lakini hujui kama unatakiwa kusajili Jina la Biashara au Kampuni? 🤔

    Usikimbilie kusajili bila kujua tofauti yake! Watu wengi huchanganya Business Name na Company, na mwisho wake wanaweza kuchagua mfumo usioendana na mahitaji ya biashara yao. Watu wengi wanaanzisha biashara lakini hawajui kama wanapaswa kusajili Jina la Biashara (Business Name) au kuanzisha...
  15. U

    Kuna kijana kutoka NIT anaomba sehemu ya kufanyia field kwa kampuni yoyote ya Forward and clearing

    Taarifa zake hizi hapa RAMADHAN SALUM RAJABU Anasoma NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT Age: 20 YEAR OLD Mwaka aliopo :SECOND YEAR Field yake : FREIGHT CLEARING AND FORWARDING Mawasiliano yake haya hapa Naomba tumsaidie Wana JF Yupo Daressalaam.
  16. Website Tanzania

    Kama upo kundi hili la huduma na biashara natoa offa ya website design pamoja na email ya kampuni kwa 180,000 tu

    Tour & Safari Companies Hotels & Resorts Lodges & Camps Travel Agencies Real Estate Companies Property Developers Construction Companies Architecture Firms Engineering Companies Law Firms Accounting & Audit Firms Insurance Companies & Brokers Banks & Financial Institutions Microfinance Companies...
  17. BigTall

    Wafanyakazi Namera Group of Industries wagomea mabadiliko ya jina la Kampuni hadi walipwe stahiki zao

    Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali. Wafanyakazi hao...
  18. A

    KERO Vijana wanaofanya kazi ya kununua mchele kwa ajili ya Wilmar Rice wanateseka sana kwa mishahara duni na mazingira magumu ya kazi

    Habari, kuna vijana wanaofanya kazi ya kununua mpunga kutoka kwa wakulima katika maeneo mbalimbali kama Morogoro, Mbeya na Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kiwanda cha mchele cha Wilmar Rice Tanzania kilichopo Morogoro. Kuna mmoja kati yao ambaye nimekuwa nikimdai fedha tangu alipofika huku. Alikuwa...
  19. M

    Jeshi la Polisi: Tumewakamata Walinzi wa Kampuni ya Nyamiaga kwa kumshambulia kwa fimbo Dereva aliyekuwa kwenye mzani Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linapenda kutoa taarifa ya ufafanuzi juu ya tukio linalosambaa kweye mitandao ya kijamii likionyesha picha mjongeo ya mwanaume mmoja akiwa anashambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa fimbo na watu ambao ni walinzi wakishirikiana na mtumishi wa...
  20. A

    KERO Walinzi katika Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama wamekuwa kero kwa Wananchi, tunaomba msaada

    Habari, Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama. Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara barabarani na baadhi ya walinzi wa eneo hili. Badala ya kubaki katika maeneo yao ya kazi na...
Back
Top Bottom