Upo Bongo bahati mbaya?

Upo Bongo bahati mbaya?

Nawe uwe na kifua cha kukosolewa, ndiyo mijadala huru ilivyo.
Watu wa humu ndani mna nongwa?
Huu uzi uko page ya ngap?
Yaani kwa sababu sitaki kuendeleza mjadala na mtu mmoja ndio iwe nongwa?

Nime mjibu tena kwa upana huko juu comment yake ilikua ndefu kuliko member yoyote kwenye huu uzi then nimemjibu kwa kutumia simu nime m quote sio chini ya mara 3

Amerudi kunijibu kwa namna navyoona ni kama mjadala ambao hautakua na mwisho

Je siruhusiwi kukataa kuendeleza mjadala?
Ameona sitaki kuendeleza mjadala amehama topic anaanza kunijadili mimi binafsi hiyo ni sawa

Punguzeni nongwa basi tusichoshane
Huwezi kukimbizana na maisha then ukimbizane tena na watu JF
 
Hapa ndipo maajabu
 
Assume mtoa uzi awe na madaraka kama Samuya halafu ujifanye unamkosoa, uone kitakachokupata.
Mna upuuzi mwingi sana wanaume wa 3 kuungana kujadali mwanamke mmoja ni weupe mno kicwani
Mpaka mnaruka hoja na kuanza kunijadili

Kati yangu na nyie nani hataki kukosolewa mie kusema Bongo bahati mbaya na kutoa sababu zangu ndio imekua shida?

Kukataa kwendeleza mjadala na huyo mleta mada mmoja ndio nimekataa kukoselewa
Au ni I'd moja inakuja kama wa 3?

Nb: Ficheni upumbavu wenu period!
 
Assume mtoa uzi awe na madaraka kama Samuya halafu ujifanye unamkosoa, uone kitakachokupata.
Hii ndiyo shida wa mama wengi. Wanapenda kupata ushauri ila wanalazimisha ushauri uwe katika muktadha wao. Na hili limemponza sana Samia katika utawala wake.

Angalia mtoa mada analalamika kuwa ahangaishwe na maisha, huku akihangaishwa na wana JF. Nilitaka kumuuliza, nani kakutuma kuchokoza mada? Kama mtu huna kifua cha kukosolewa, usianzishe mijadala. Ukiianzisha tu, unalo hilo
 
Hapa ndipo maajabu
Halafu kitu hujui huyo mtoa comment anefanya mnikalie kooni sijawahi kuanzisha mada hata siku moja akaelewa yeye kazi yake ni kupinga ni kama hua anasubiri notification ya uzi aje kupinga
Na ana haki kufanya hivyo

Je mie sina haki ya kukataa ku kushiriki mijadala na yeye?
 
Hii ndiyo shida wa mama wengi. Wanapenda kupata ushauri ila wanalazimisha ushauri uwe katika muktadha wao. Na hili limemponza sana Samia katika utawala wake.

Angalia mtoa mada analalamika kuwa ahangaishwe na maisha, huku akihangaishwa na wana JF. Nilitaka kumuuliza, nani kakutuma kuchokoza mada? Kama mtu huna kifua cha kukosolewa, usianzishe mijadala. Ukiianzisha tu, unalo hilo
Weka humu hii nonsense 🗑🚮
 
Wakati mnwaza kukimbia kwenu, wazungu wanajipanga kuja kwenu wanakopaona maisha ni nafuu

View: https://www.facebook.com/reel/1659535549006347

Katika hili watu lazima watofautiane mitazamo, hata sisi tuliokulia vijijini tuna baadhi ya ndugu zetu hawataki kabisa kuondoka vijijini, wamepapenda, ukiwauliza ni kitu gani wanapenda wanajibu hawawezi kuondoka tu nyumbani, they love to be home, japo mazingira ni magumu, miundombinu ya afya, elimu, barabara na huduma za kijamii kwa ujumla ni duni. Ila wanapapenda.

Likewise kwa nchi, kuna watu pamoja na mazingira mabaya ya nchi, bado tunaona Tanzania ni nchi nzuri sana kuishi ukilinganisha na huko ulaya, binafsi nilibahatika kuishi nje kwa mtazamo huo kuwa siwezi kuishi bongo, kwa miaka takriban nane, nikasoma na kupiga boksi, ila baada ya kukaa huko nilibadilisha mtazamo chap sana, the weather was terrible, kipindi cha baridi unakuwa kama mfungwa, upweke uliokithiri, hapana aisee. Opportunities zipo nyingi, huduma za jamii ni first class, kazi zipo na pesa ipo ila standard of living iko juu sana, you have to work really hard, unakuwa mtumwa hakuna mchezo ni kufanya kazi ili maisha yaende, usipojibidisha siku ukirudi nyumbani utashangaa uliowaacha wamepiga hatua kubwa kuliko uliyeenda huko ng'ambo.

Issue inayotuumiza ni miundombinu ya kijamii, afya, elimu, maji, barabara, umeme nk. Hivyo kweli vinatuumiza, ila swali linakuja, who's fault? Nani wa kutupiwa lawama, ni mwafrika mwenyewe wala sio mzungu, sasa kama ni sisi wenyewe kwa nini tusitafute namna tukarekebisha, ubinafsi, umimi unaoleta wizi na ubadhirifu, nothing more.

Wazungu wanakuja bongo sio kuishi, unlike sisi tunataka kuzamia mazima kutafuta Green pastures, wao wanakuja kuexploit kile tulichoshindwa kuexploit. Waafrika wengi wenye uwezo mkubwa wa kutransform mambo wamekimbia nchi zao, hawataki kabisa kurudi bongo, tuseme wamekimbia nini, hali za kisiasa au maslahi duni, mazingira duni au wamefuata "ready-made? Tuwaiteje?
 
Napenda kuwaeleza watu weakness zao tu. Kwa bahati mbaya mimi ni msomaji ila si mjenga hoja kama wewe. Nisivyolazimishwa kushiriki mada za mtu, ndivyo I sivyo halali kuzuia jicho langu kusoma kila mada hapa JF
Wewe sio mjenga hoja zaidi ya kuongea porojo kama hizi kuna mwenzio pia hua akija kwenye uzi wangu hua analazimisha nikubaliane na maoni yake tukishindwana anasema sipendi kukosolewa hivi hua mnafikiri kwa kutumia nini?

Yaani wewe unataka nikubali hoja zako ila hutaki nikatae hoja zako?

Nikikataa unasema sitaki kukosolewa
Hii akili ukiitumia kuvuka barabara hufiki upande wa pili
 
Back
Top Bottom