Upo Bongo bahati mbaya?

Upo Bongo bahati mbaya?

Mna upuuzi mwingi sana wanaume wa 3 kuungana kujadali mwanamke mmoja ni weupe mno kicwani
Mpaka mnaruka hoja na kuanza kunijadili

Kati yangu na nyie nani hataki kukosolewa mie kusema Bongo bahati mbaya na kutoa sababu zangu ndio imekua shida?

Kukataa kwendeleza mjadala na huyo mleta mada mmoja ndio nimekataa kukoselewa
Au ni I'd moja inakuja kama wa 3?

Nb: Ficheni upumbavu wenu period!
Hold on bidada! Show me where have you been attacked personal???

Alafu inaonesha unaakili nzuri lakini hauna ufahamu hata kidogo, Yaan hata wewe binafsi umeshindwa kuelewa maada yako inahusu Nini.

Kaa tulia nikupe ufahamu ili ufute hilo neno lako la kutuita wapumbavu.

Maada Yako inamuongelea mtu ikimuuliza upo bongo bahati mbaya??? Sasa unataka tuijibu maada kwa namna Gani?? Tunapojibu maada means tunakujibu wewe na MAWAZO Yako ya kijinga ya kutaka kukimbia nchi kwasababu kuna changamoto.

Nilikuuliza maswali ambayo ulikimbia kuyajibu.

1. Nilikuuliza ulibadili jina la ukoo kwasababu ya umaskini wa ukoo wenu???

2. Nikakuuliza unaweza kujiita jina la kitajiri ili kuficha umaskini wa nyumbani kwenu???

3. Nikakuuliza unaweza kuhama nyumbani kwenu kwasababu hakuna vitu vizuri???

Sasa ukijibu haya maswali ndio tutajua kwamba mwenzetu unafahamu unachozungumza au umekuja kuleta mabishano au unataka tupige zogo kupoteza muda.

Halafu ficha ujinga wako, yaani sisi wanaume na mapumbu yetu eti tuungane tuje kukuattack wewe ili iwe Nini???

You're not important as you think my dear, tunachangia maada na kukosoana tuu lakini hakuna haja yoyote ya kugombana au kumuattack yeyote hapa.

Punguza jazba, unapoleta maada kubaliana na mitazamo tofauti pia. Alafu usijifiche kwenye kichaka Cha kuwa attacked, ukiona sehemu umekua triggered just escape and keep the topic up.
 
Opportunities zipo nyingi, huduma za jamii ni first class, kazi zipo na pesa ipo ila standard of living iko juu sana, you have to work really hard, unakuwa mtumwa hakuna mchezo ni kufanya kazi ili maisha yaende, usipojibidisha siku ukirudi nyumbani utashangaa uliowaacha wamepiga hatua kubwa kuliko uliyeenda huko ng'ambo.
Hivi hapa Tanzania huwa hamfanyi kazi kwa bidii like really hard ili maisha yaende?
Uzuri wa Ulaya ukifanya kazi kwa bidii matokeo unayaonaila hapa vumbini unaweza kufanya kazi kwa bidiina weledi na matokeo zero kwasababu mishahara duni kipato kwa jumla hakiendani na juhudi na wengi sana bila kuiba,ku tamper na mifumo maisha hayaendi kabisa.
Cc binti kiziwi
 
Hold on bidada! Show me where have you been attacked personal???

Alafu inaonesha unaakili nzuri lakini hauna ufahamu hata kidogo, Yaan hata wewe binafsi umeshindwa kuelewa maada yako inahusu Nini.

Kaa tulia nikupe ufahamu ili ufute hilo neno lako la kutuita wapumbavu.

Maada Yako inamuongelea mtu ikimuuliza upo bongo bahati mbaya??? Sasa unataka tuijibu maada kwa namna Gani?? Tunapojibu maada means tunakujibu wewe na MAWAZO Yako ya kijinga ya kutaka kukimbia nchi kwasababu kuna changamoto.

Nilikuuliza maswali ambayo ulikimbia kuyajibu.

1. Nilikuuliza ulibadili jina la ukoo kwasababu ya umaskini wa ukoo wenu???

2. Nikakuuliza unaweza kujiita jina la kitajiri ili kuficha umaskini wa nyumbani kwenu???

3. Nikakuuliza unaweza kuhama nyumbani kwenu kwasababu hakuna vitu vizuri???

Sasa ukijibu haya maswali ndio tutajua kwamba mwenzetu unafahamu unachozungumza au umekuja kuleta mabishano au unataka tupige zogo kupoteza muda.

Halafu ficha ujinga wako, yaani sisi wanaume na mapumbu yetu eti tuungane tuje kukuattack wewe ili iwe Nini???

You're not important as you think my dear, tunachangia maada na kukosoana tuu lakini hakuna haja yoyote ya kugombana au kumuattack yeyote hapa.

Punguza jazba, unapoleta maada kubaliana na mitazamo tofauti pia. Alafu usijifiche kwenye kichaka Cha kuwa attacked, ukiona sehemu umekua triggered just escape and keep the topic up.
Nimesema sihitaji kujenga mjadala na wewe kusema hivyo ni kosa?

Baada ya kusema hivyo nashangaa IDs nyingine zinakuja na nonsense za kunishambulia why?

Sijifichi kwenye kichaka cha kuni attack. Ni kweli mnanishambulia
Kama ni mjadala basi jadilini mada husika sio kuunda bunge la kuanza kunijadili mimi binafsi

Sihitaji kufundishwa chochote na nimekataa kufundishwa hilo ni tatizo?

Naruhusu watu wachangie kulingana na topic lakini ukianza kunigusa binafsi ni lazima nitakuambia kuwa unakosea

Kitu siwezi ni kunyenyekea ujinga hata kama anaefanya namheshimu sana

Before ya wewe kukanyaga hapa kwenye uzi mbona amani ilikuwepo why uje wewe waibuke na hao wengine?

Labda kama kuna mambo mengine kuhusu mimi ambayo sijui, unaweza kuniambia

Lakini toka mwanzo nimehitimisha na wewe kwa wema sana

Siwezi kabisa ku escape kwenye uzi wangu wewe una ruhusiwa 📌
 
Halafu kitu hujui huyo mtoa comment anefanya mnikalie kooni sijawahi kuanzisha mada hata siku moja akaelewa yeye kazi yake ni kupinga ni kama hua anasubiri notification ya uzi aje kupinga
Na ana haki kufanya hivyo

Je mie sina haki ya kukataa ku kushiriki mijadala na yeye?
😂😂😂😂😂😂 DHAIFU SANA.

Katika nyuzi zako, nimepishana nawewe mitazamo katika nyuzi mbele.

1. Ulipotaka wanaume tuwajibike Kwa kulinda bikra za wanawake.

Yaani wewe ni kichekesho kweli, Yaani Mimi niwajibike au nimuoe Binti aliyetolewa bikra kwa tamaa yake ya kupenda chipsi na vidali vya kuku.

Kuhusu hiyo maada ulifeli tena ulifeli sana, na sio pekee angu niliekupinga hayo mawazo yako, tulikua wengi sana kwahiyo usitake kunichafua hapa.

2. Siku Moja kabla ya hukumu ya T.A.L

Ulikuja na maada Yako kwamba watu wafanye maandamano sijui ili kubadili mifumo na ukandamizaji uliopo hapa nchini.

Nilipishana nawewe pia katika mtazamo wa namba hii, nilikaa mawazo ya namna kwasababu hayo maandamano yalifanyika na matokeo yake tumeona mpaka Leo nchi ipo kama haipo, vijana waliuawa vibaya sana, nguvu kazi nyingi ilipotea, wengine waliuawa hata hawakufika huko kulikokua na hayo maandamano.

Sasa unashauri watu warudie tena makosa Yale Yale? Je! Unambinu Gani mbadala?? Au wewe furah Yako ni kuona damu inamwagika kama walivyofurahia hao waliomwaga damu October 29???

Mimi naona matatizo yetu hatuwezi kuyamaliza kwa njia za kisiasa au njia za maandamano. Nilishauri njia mbadala kwamba vijana tukijike katika kujenga uchumi wetu alafu wakitufuata na huku ndio tudeal nao.

Mwisho maada zako nyingi nimechangia kwa kutoa mawazo yangu binafsi hivyo labda mawazo yangu hayakuendana nawewe, Hilo kwangu sio shida maada zako sitaacha kuchangia na pale ninapoona ni sahihi nitakuunga mkono lakini pale ambapo haitakua sahihi nitakosoa tuu.

Don't take it personal, hizi ni maada tuu na wala siwezi kuwa na ugomvi nawewe. Even though unanifundisha kuandika my furendi.
 
Sasa hapa umedhihirisha kinyongo chako mpaka kufufua nyuzi za nyuma

Ndio kusema unakuja kujufunzia kuandika kwenye nyuzi zangu?

Nina mipaka ambayo siruhusu yoyote aivuke hata awe nani
Hata anaenijua nje ndani siwezi kumruhusu kuvuka mipaka yangu
Hilo kiweke akili kabisa

Nakukumbusha hilo liweke akilini siwezi kabisa mimi kwenye huo udhaifu unao ona ninao na ushindi wangu upo hapo 🔥🔥

Mara huna ugomvi na mimi ila huishi kunitolea shit come on bro kama unakinyongo kitapikee tu I don't care

Kuhusu huo uzi uliosema nimepuyanga basi anzisha wako na usipunyange very simple 👌
 
Katika hili watu lazima watofautiane mitazamo, hata sisi tuliokulia vijijini tuna baadhi ya ndugu zetu hawataki kabisa kuondoka vijijini, wamepapenda, ukiwauliza ni kitu gani wanapenda wanajibu hawawezi kuondoka tu nyumbani, they love to be home, japo mazingira ni magumu, miundombinu ya afya, elimu, barabara na huduma za kijamii kwa ujumla ni duni. Ila wanapapenda.
Mkuu nakubaliana nawewe hapa, Kuna watu wanaishi mazingira ambayo unaweza kuhisi ni jehanamu, mazingira ni magumu na maisha hayaeleweki lakini wao wamepapenda na kupakubali na ndio maana hutaona wakipasema vibaya hapo kijijini.

Kuna muda utawaona wanapigiana mbiu ili wakafanye maendeleo ya kuchonga barabara zao, pia watapigiana mbiu ya kwenda kusafisha kisima chao Cha kuchota maji.

Ninachopinga hapa ni mtu kupasema vibaya nyumbani ilihali hafanyi juhudi yoyote ya kubadili kitu chochote.

Issue inayotuumiza ni miundombinu ya kijamii, afya, elimu, maji, barabara, umeme nk. Hivyo kweli vinatuumiza, ila swali linakuja, who's fault? Nani wa kutupiwa lawama, ni mwafrika mwenyewe wala sio mzungu, sasa kama ni sisi wenyewe kwa nini tusitafute namna tukarekebisha, ubinafsi, umimi unaoleta wizi na ubadhirifu, nothing more.
Mkuu haya mambo tunaweza kuyakomesha, Mimi nikiwa pale Sumbawanga niligoma kulipa Hela ya taka na kusafisha mitaro. Nilimtafuta kijana nikawa namlipa kufanya hiyo kazi baadae waliponifuata na serikali za mitaa niliwajibu fedha niliyotakiwa kuwalipa ndio Huwa namlipa kijana anaesafisha mtaro na kubeba taka.

Baada ya muda gari lilikua linakuja mpaka ofisini kwangu na walikua wananihesabia na siku ambazo wamepita na kweli Hali ya usafi ilikua nzuri kabisa.

Haya yote tukiamua kuyafanya ni yanawezekana.
Wazungu wanakuja bongo sio kuishi, unlike sisi tunataka kuzamia mazima kutafuta Green pastures, wao wanakuja kuexploit kile tulichoshindwa kuexploit. Waafrika wengi wenye uwezo mkubwa wa kutransform mambo wamekimbia nchi zao, hawataki kabisa kurudi bongo, tuseme wamekimbia nini, hali za kisiasa au maslahi duni, mazingira duni au wamefuata "ready-made? Tuwaiteje?
Kama wazungu wanakuja na kuzitumia fursa, Sasa kwanini sisi tusizitumie hizo fursa???

Kuna uzemyfulank na ujinga umetujaa kichwani tukiamini kwamba Kuna mtu atakuja kututatulia matatizo yetu, kitu ambacho siyo kweli.

Hao wote wanaotaka kwenda nje, siku nchi yetu ikitulia utaona wanataka kurudia tena na bado wakirudi watataka kupewa vipaumbele.
 
Sasa hapa umedhihirisha kinyongo chako mpaka kufufua nyuzi za nyuma

Ndio kusema unakuja kujufunzia kuandika kwenye nyuzi zangu?

Nina mipaka ambayo siruhusu yoyote aivuke hata awe nani
Hata anaenijua nje ndani siwezi kumruhusu kuvuka mipaka yangu
Hilo kiweke akili kabisa

Nakukumbusha hilo liweke akilini siwezi kabisa mimi kwenye huo udhaifu unao ona ninao na ushindi wangu upo hapo 🔥🔥

Mara huna ugomvi na mimi ila huishi kunitolea shit come on bro kama unakinyongo kitapikee tu I don't care

Kuhusu huo uzi uliosema nimepuyanga basi anzisha wako na usipunyange very simple 👌
🤔🤔🤔🤔🤔💔💔💔

Okay good luck.
 
Hivi hapa Tanzania huwa hamfanyi kazi kwa bidii like really hard ili maisha yaende?
Uzuri wa Ulaya ukifanya kazi kwa bidii matokeo unayaonaila hapa vumbini unaweza kufanya kazi kwa bidiina weledi na matokeo zero kwasababu mishahara duni kipato kwa jumla hakiendani na juhudi na wengi sana bila kuiba,ku tamper na mifumo maisha hayaendi kabisa.
Cc binti kiziwi
Sahihi mkuu, ndio maana awali nilisema mitazamo lazima itofautiane. Wewe utasema Ulaya kuzuri kwa sababu zako, mimi nitasema nyumbani kuzuri kwa sababu zangu. Na kwa vile una uzoefu kwa kuishi kotekote ni rahisi kuja na hitimisho linalobeba hoja yako.
 
Mkuu nakubaliana nawewe hapa, Kuna watu wanaishi mazingira ambayo unaweza kuhisi ni jehanamu, mazingira ni magumu na maisha hayaeleweki lakini wao wamepapenda na kupakubali na ndio maana hutaona wakipasema vibaya hapo kijijini.

Kuna muda utawaona wanapigiana mbiu ili wakafanye maendeleo ya kuchonga barabara zao, pia watapigiana mbiu ya kwenda kusafisha kisima chao Cha kuchota maji.

Ninachopinga hapa ni mtu kupasema vibaya nyumbani ilihali hafanyi juhudi yoyote ya kubadili kitu chochote.

Mkuu haya mambo tunaweza kuyakomesha, Mimi nikiwa pale Sumbawanga niligoma kulipa Hela ya taka na kusafisha mitaro. Nilimtafuta kijana nikawa namlipa kufanya hiyo kazi baadae waliponifuata na serikali za mitaa niliwajibu fedha niliyotakiwa kuwalipa ndio Huwa namlipa kijana anaesafisha mtaro na kubeba taka.

Baada ya muda gari lilikua linakuja mpaka ofisini kwangu na walikua wananihesabia na siku ambazo wamepita na kweli Hali ya usafi ilikua nzuri kabisa.

Haya yote tukiamua kuyafanya ni yanawezekana.

Kama wazungu wanakuja na kuzitumia fursa, Sasa kwanini sisi tusizitumie hizo fursa???

Kuna uzemyfulank na ujinga umetujaa kichwani tukiamini kwamba Kuna mtu atakuja kututatulia matatizo yetu, kitu ambacho siyo kweli.

Hao wote wanaotaka kwenda nje, siku nchi yetu ikitulia utaona wanataka kurudia tena na bado wakirudi watataka kupewa vipaumbele.
Sawa kabisa mkuu, nakubaliana na wewe.

Kuna mtu ukimwambia "mimi sili nyama kwa vile sipendi" atakushangaa, yaani nyama ilivyo tamu wenzako wote hapa tunakula, una shida mahali. Lazima ahitimishe kwamba una shida mahali, amefanya generalisation kwamba kila mtu anapenda kula nyama, labda kama ni mgonjwa, kumbe wapo wasiopenda nyama, wanapenda mboga za majani na dagaa.
 
Kabisa mkuu, nafikiri tunachotakiwa kufanya ni kwamba anaependa nyama abakie kupenda nyama na wala asiseme ubaya wa dagaa au mboga majani. Vivyo hivyo pia anaependa mboga majani na dagaa asiongelee ubaya wa nyama yeye aendelee kupenda anavyovipenda.
 
Hivi hapa Tanzania huwa hamfanyi kazi kwa bidii like really hard ili maisha yaende?
Uzuri wa Ulaya ukifanya kazi kwa bidii matokeo unayaonaila hapa vumbini unaweza kufanya kazi kwa bidiina weledi na matokeo zero kwasababu mishahara duni kipato kwa jumla hakiendani na juhudi na wengi sana bila kuiba,ku tamper na mifumo maisha hayaendi kabisa.
Cc binti kiziwi
Kuna jamaa mmoja anafanya kazi kampuni hizi za kigeni, Walikuja management kutoka nje, ilibidi wawaambie management iliyopo huyu jamaa mnam-under pay, kulingana na mzigo anaopiga na kwa level yake ya expertise.

Ni sahihi 💯, Bongo panawafaa watu janja janja tu. Sasa hatupaswi kutegemea watu wawe janja janja ndio waone mafanikio.
 
Sahihi mkuu, ndio maana awali nilisema mitazamo lazima itofautiane. Wewe utasema Ulaya kuzuri kwa sababu zako, mimi nitasema nyumbani kuzuri kwa sababu zangu. Na kwa vile una uzoefu kwa kuishi kotekote ni rahisi kuja na hitimisho linalobeba hoja yako.
Mimi nimekujibu hapo uliposema kuwa huko nje lazima ufanye kazi really hard. So Bongo watu hawafanyi kazi really hard kupata maisha fulani? Mimi pia ninachosema sio mtazamo ni reality. Maisha ya Tz yako hovyo kuanzia mazingira hadi mifumo hii ni fact. Huduma za kijamii ni hovyo ni kama hazipo, miundombinu ya hovyo tu. Mtazamo wa mtu kuwa anapenda Tz au nje haubadili fact kuwa Tz maisha ni hovyo kama ulivyosema mtu mwingine anapakubali kijijini pamoja na kuwa kuko duni.
 
Kuna watu Tanzania hii wamelala siku nzima hawaingizi hata mia na wanaishi, bongo mtu anaweza asifanye kazi na akaishi, anatumia mbinu gani kuishi, sijui. Kuna takwimu niliwahi kusoma, mtanzania mmoja anahudumia watu 4-6, yaani baba anaingiza kipato cha kuwahudumia mke na watoto watano na wanaishi, sijui kama huko ng'ambo hilo linawezekana, sijui.

Kwa vipato vyetu vidogo tunaishi, hatutumii nguvu sana, jioni napita Mbezi nakunywa supu ya pweza 2k naenda kulala, kodi 50k/m naishi. Huhitaji kufanya kazi sana kusurvive, sijui kama huko ulaya hilo linawezekana.

Nahitimisha kwamba, bongo sio lazima ufanye kazi sana ili uishi. Lakini pia, sikatai kwamba huduma za kijamii bongo ni mbaya.
 
Huyo mtu anaelala siku nzima na haingizi mia huwezi kumtolea mfano kuwa maisha ya Tz ni mazuri kwasababu mtu wa aina hio hana maisha yoyote ya maana.
Huwezi kuishi maisha mazuri Bongo bila kufanya kazi tena ya maana labda kama mtu anaeishi kwa ndugu,shemeji kula kulala bure ndio tafsiri ya maisha mazuri.
 
Back
Top Bottom