Upo Bongo bahati mbaya?

Upo Bongo bahati mbaya?

Katika hili watu lazima watofautiane mitazamo, hata sisi tuliokulia vijijini tuna baadhi ya ndugu zetu hawataki kabisa kuondoka vijijini, wamepapenda, ukiwauliza ni kitu gani wanapenda wanajibu hawawezi kuondoka tu nyumbani, they love to be home, japo mazingira ni magumu, miundombinu ya afya, elimu, barabara na huduma za kijamii kwa ujumla ni duni. Ila wanapapenda.

Likewise kwa nchi, kuna watu pamoja na mazingira mabaya ya nchi, bado tunaona Tanzania ni nchi nzuri sana kuishi ukilinganisha na huko ulaya, binafsi nilibahatika kuishi nje kwa mtazamo huo kuwa siwezi kuishi bongo, kwa miaka takriban nane, nikasoma na kupiga boksi, ila baada ya kukaa huko nilibadilisha mtazamo chap sana, the weather was terrible, kipindi cha baridi unakuwa kama mfungwa, upweke uliokithiri, hapana aisee. Opportunities zipo nyingi, huduma za jamii ni first class, kazi zipo na pesa ipo ila standard of living iko juu sana, you have to work really hard, unakuwa mtumwa hakuna mchezo ni kufanya kazi ili maisha yaende, usipojibidisha siku ukirudi nyumbani utashangaa uliowaacha wamepiga hatua kubwa kuliko uliyeenda huko ng'ambo.

Issue inayotuumiza ni miundombinu ya kijamii, afya, elimu, maji, barabara, umeme nk. Hivyo kweli vinatuumiza, ila swali linakuja, who's fault? Nani wa kutupiwa lawama, ni mwafrika mwenyewe wala sio mzungu, sasa kama ni sisi wenyewe kwa nini tusitafute namna tukarekebisha, ubinafsi, umimi unaoleta wizi na ubadhirifu, nothing more.

Wazungu wanakuja bongo sio kuishi, unlike sisi tunataka kuzamia mazima kutafuta Green pastures, wao wanakuja kuexploit kile tulichoshindwa kuexploit. Waafrika wengi wenye uwezo mkubwa wa kutransform mambo wamekimbia nchi zao, hawataki kabisa kurudi bongo, tuseme wamekimbia nini, hali za kisiasa au maslahi duni, mazingira duni au wamefuata "ready-made? Tuwaiteje?
Nimekusoma vizuri sana mkuu, ila kukaa kwako mamtoni kwa miaka 8 sio muda wa kusema ulisettle huko kumbuka miaka 3-5 ya mwanzo ni ya kuangaza fursa na kuweka makaratasi yako vizuri. Nakubali waafrika wengi wanaichukia baridi lakini tupo wengine pia tunaolichukia joto kali la bongo halafu maji safi ya kunywa na kuoga ya kuunga unga.
Huo u lonely unaosema hio ni kutokana na mfumo wako wa maisha uliokua nao, mbona wengine tulifika na kujisikia raha tu na huko bongo tulijiona hatumiss kitu huko bongoland. Sana naweza kumiss food lakini siku hizi kuna maduka mengi ya vitu kutoka Africa kwahio simiss kitu chochote. Kufanya kazi sasa hio si ndio mode popote duniani sasa wewe kama ulizoea mission town mamtoni ilikua lazima pakushinde maana hamna janja janja ya kupata pesa.
Mwisho, umedai eti ukirudi nyumbani utakuta uliowaacha wamekuzidi , ni kipi haswa walichokuzidi?? Wengi uwa wanasema labda nyumba, sasa kwani sie tulio mamtoni tunaishi juu ya miti?? Family, kwani sie tulio mamtoni hatuna familia? Ni kipi haswa walichotuzidi walioko huko. Ukweli mie uwa sikioni walichonizidi niliowaacha bongo sana uwa nawaona wamenidi uzee, maana wamezeeka sana kunizidi na wameshajikatia tamaa na maisha. Piga ua, garagaza, funga weka kwenye sanduku la chuma mie bongo ilikua bahati mbaya na sitegemei kurudi huko kabisaa. Maisha ni popote, Home is where your heart is. Mie mamtoni ndio home kwa sasa, ma shida siyataki kabisa.

šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
 
Mwisho, umedai eti ukirudi nyumbani utakuta uliowaacha wamekuzidi , ni kipi haswa walichokuzidi?? Wengi uwa wanasema labda nyumba, sasa kwani sie tulio mamtoni tunaishi juu ya miti?? Family, kwani sie tulio mamtoni hatuna familia? Ni kipi haswa walichotuzidi walioko huko. Ukweli mie uwa sikioni walichonizidi niliowaacha bongo sana uwa nawaona wamenidi uzee, maana wamezeeka sana kunizidi na wameshajikatia tamaa na maisha. Piga ua, garagaza, funga weka kwenye sanduku la chuma mie bongo ilikua bahati mbaya na sitegemei kurudi huko kabisaa.

šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
Dah wamekuzidi uzee 🤣🤣 we jamaa wewe aisee !

Kuhusu upweke mie nipo Tanzania miaka nenda rudi ukiacha kazini ambapo nakutana na watu sinaga time na marafiki wala nini na vile familia yangu ni ndogo ndio kabisa

Sio kila mtu anapenda kuchangamana tu tena bila hata la maana

Hakuna kitu na enjoy kama kukaa mwenyewe sipendi zogo
 
Dah wamekuzidi uzee 🤣🤣 we jamaa wewe aisee !

Kuhusu upweke mie nipo Tanzania miaka nenda rudi ukiacha kazini ambapo nakutana na watu sinaga time na marafiki wala nini na vile familia yangu ni ndogo ndio kabisa

Sio kila mtu anapenda kuchangamana tu tena bila hata la maana

Hakuka kitu na enjoy kama kukaa mwenyewe sipendi zogo
Teehteehteh, ndio maana yake , maana nikipiga jeans/cargo shorts na raba kelele, nikivaa polo shirt kelele wao wanataka nivae kama wao shati la kitenge na suruali zao za wasomali, yaani tayari wameshazeeka wakati mie ndio kumekucha asubuhi tu. Na mie pia sio mtu wa kuchangamana na watu kwahio uwa si miss kitu nikitulia ndani. Nilikua namjibu huyo aliedai u lonely wa mamtoni na eti bongo tuliowaacha wametuzidi. Kipi walichotuzidi, au anadhani watu tukishakua mamtoni basi hatuna mijengo huko bongo ambayo watu wanakaa na hawalipi kodi na zingine tumewapangisha pia, na mamtoni tupo na nyumba, familia na tunalipa mortgage. Bongo ni shithole hilo halina ubishi as majority ya population wanashindia mlo mmoja tena sio balance diet ni maugali na maharage šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
 
Teehteehteh, ndio maana yake , maana nikipiga jeans na raba kelele, nikivaa polo shirt kelele wao wanataka nivae kama wao shati la kitenge na suruali zao za wasomali yaani tayari wameshazeeka wakati mie ndio kumekucha asubuhi tu. Na mie pia sio mtu wa kuchangamana na watu kwahio uwa si miss kitu nikitulia ndani. Nilikua namjibu huyo aliedai u lonely wa mamtoni na eti bongo tuliowaacha wametuzidi. Kipi walichotuzidi, au anadhani watu tukishakua mamtoni basi hatuna mijengo huko bongo ambayo watu wanakaa na hawalipi kodi na zingine tumewapangisha pia, na mamtoni tupo na nyumba, familia na tunalipa mortgage. Bongo ni shithole hilo halina ubishi as majority ya population wanashindia mlo mmoja tena sio balance diet ni maugali na maharage šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
Dah kwanini shati la kitenge lakini 🤣
Suruali za wasomali dah nimecheka sana sawa mkuu enjoy šŸ”„šŸ”„
 
Nimekusoma vizuri sana mkuu, ila kukaa kwako mamtoni kwa miaka 8 sio muda wa kusema ulisettle huko kumbuka miaka 3-5 ya mwanzo ni ya kuangaza fursa na kuweka makaratasi yako vizuri. Nakubali waafrika wengi wanaichukia baridi lakini tupo wengine pia tunaolichukia joto kali la bongo halafu maji safi ya kunywa na kuoga ya kuunga unga.
Huo u lonely unaosema hio ni kutokana na mfumo wako wa maisha uliokua nao, mbona wengine tulifika na kujisikia raha tu na huko bongo tulijiona hatumiss kitu huko bongoland. Sana naweza kumiss food lakini siku hizi kuna maduka mengi ya vitu kutoka Africa kwahio simiss kitu chochote. Kufanya kazi sasa hio si ndio mode popote duniani sasa wewe kama ulizoea mission town mamtoni ilikua lazima pakushinde maana hamna janja janja ya kupata pesa.
Mwisho, umedai eti ukirudi nyumbani utakuta uliowaacha wamekuzidi , ni kipi haswa walichokuzidi?? Wengi uwa wanasema labda nyumba, sasa kwani sie tulio mamtoni tunaishi juu ya miti?? Family, kwani sie tulio mamtoni hatuna familia? Ni kipi haswa walichotuzidi walioko huko. Ukweli mie uwa sikioni walichonizidi niliowaacha bongo sana uwa nawaona wamenidi uzee, maana wamezeeka sana kunizidi na wameshajikatia tamaa na maisha. Piga ua, garagaza, funga weka kwenye sanduku la chuma mie bongo ilikua bahati mbaya na sitegemei kurudi huko kabisaa. Maisha ni popote, Home is where your heart is. Mie mamtoni ndio home kwa sasa, ma shida siyataki kabisa.

šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
Mkuu,
Ndio maana ya maoni, kila mtu na mtazamo wake. Wewe baridi kali sio issue, upweke sio issue, chakula sio issue, kurudi home sio issue. Kwa mwingine it's a big issue.

Ndio maana hapo juu nikasema mtu akisema hapendi nyama wengi watamshangaa, ila ni kweli hapendi nyama na hakuna sababu ya kuona anazingua kutokula nyama. Sema tu hatuwezi kuweka personal testimonies sana maana watu wanaanza kusema tunalonga sana, ila nina watu wa karibu wameenda ngambo toka nikiwa mdogo sana, hadi leo tunawasiliana kwa simu na hawajafikiria kukanyaga home, they're okay with it, binafsi siwezi hata kidogo. I love home, nafurahi kuwa karibu na roots zangu.
 
Wenzao pia walipitia vipindi vigumu tena enzi hizo si ajabu yalikua mateso makali zaidi ya haya ila walitoboa wakajenga nchi zao bila kuzikimbia.
Waafrika tunapenda vitu vizuri, vilivyoandaliwa tayari, hatutaki kutumia akili zetu kutengeneza vya kwetu, hii ni moja ya sababu kubwa ya "bongo bahati mbaya" ila ulichosema ni kweli, ukisoma historia itakuambia namna gani wazungu walipambana, kujinyima ili kufikia hapo walipo.

Hata dada zetu leo ukiwaambia "jamaa ana potential kubwa ila bado anapambana", majibu yake ni sawa na majibu ya "bongo bahati mbaya"!
 
Babu kwani mnatetea kitu gani?
Watu mbona wanavuja jasho kufanya kazi?
 
Back
Top Bottom