Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,428
- 6,975
Jiandae kwenda Mbinguni
Noma 🤣Mzee wa fallacy
Ananipeleka nani?Jiandae kwenda Mbinguni
Roho Mtakatifu akuongozeAnanipeleka nani?
SanaNoma 🤣
Roho Mtakatifu ndio nani huko daslamu?Roho Mtakatifu akuongoze
Dawa ni kuthibitisha tuSana
Ukiongea kuhus Mungu atasema thibitisha
Haya osie haa onga okoNafurahi kuzaliwa Tanganyika na siyo hii Tanzania iliyoungana na Zanzibar. Nafurahi pia kuishi milima ya Usambaa! Milima iliyojaliwa neema za kila aina.
Hap nachoongelea Kuachana na DarRoho Mtakatifu ndio nani huko daslamu?
Vitu vingn mtu aamini kwanza ili aone uthibitisho kwa kufanya observationDawa ni kuthibitisha tu
Hakuna nchi nzuri kama Tanzania kwa fursa, amani na utulivu, ni issue ya kuwa na right mindset.Unafurahi kuzaliwa na kuishi Tanzania?
Umewahi kusikia watu wakisema hawapendi nchi walizozaliwa?
Leo katika kipindi cha Amka na BBC kuna taarifa nimesikia kuhusu wahamiaji kutoka nchi za Nicaragua na Honduras
Wanawake kwa wanaume pamoja na watoto wanafunga safari wakipitia nchi ya Mexico na kujaribu kuvuka mpaka kuingia Marekani kwa madai ya kutafuta maisha bora
Hata kwetu kuna watu wamekuwa wakiondoka na kwenda nchi nyingine
Watanzania wengi wapo Afrika Kusini mpaka tumeona miezi ya nyuma walivyofurushwa na kurudi nyumbani tena kwa msaada wa serikali wengine wakiwa na muonekano wa kutia shaka
Watanzania wengi pia wapo Ulaya kujitafutia kipato
Wengine wanatamani kurudi nyumbani lakini wenyewe wanadai nyumbani Tanzania pamekuwa pachungu sana na hawavutiwi tena licha ya kua wana pakumbuka
Nina rafiki yangu yupo USA anasema anatamani kurudi bongo hasa mitaa aliyokulia ila havutiwi tena
Nimegundua
Nchi nyingi ambazo wananchi wake wanazikimbia zina mazingira magumu ya kuishi
Nitaongelea hapa Tanzania kwetu
Tunaweza kukubaliana kwamba nchi hii ni ngumu na haivutii kuishi, labda uwe na kiwango fulani cha maisha la sivyo ni shida sana
Umewahi kwenda kwenye hospitali za umma? Msongamano mazingira yasiyo rafikiI mean uchafu umeshuhudia?
Usafiri wa umma daladala alooo!
Watu wanajazwa kuliko hata uwezo wa daladala
Humo ndani ni kukanyagana
Mtu anaenda kazini alfajiri kuwahi foleni anarudi anadandia gari kama vile nyani wanavyodandia miti unapanda daladala unaogopa kugusa hata lile bomba mana lina majasho ya kila namna
Msongamano harufu za kila aina zisizovutia unaweza kupata depression
Masoko jamani! Masokoni ukienda huko kipindi cha mvua uvae gumboots, la sivyo unarudi kama umetoka kulima mpunga
Umewahi kwenda Soko la Mabibo kipindi cha mvua?
Machinga wamezagaa ma barabarani watembea kwa miguu unapishana na magari pkpk bajaji uso kwa uso vipaza sauti, sumu za mende, kunguni.
Yaani unatembea unahisi kuchanganyikiwa
Hayo ni machache kati ya yale mengine mengi
Hivi, muda huu unavutiwa na kuishi Tanzania?
Umezaliwa Tanzania 🇹🇿 na unatamani kuondoka?
Ni nini sababu yako?
ShesRise_1 ✋️
Una sura ya kulilia msibani, na figure ya michellin, sahau kuhusu mzunguMimi kwangu bongo bahati mbaya tu tena sana,, sina namna umri ungekuwa unaruhusu ningefosi hata nipate mzungu sina namna
Una uhakaki mbingu ipo?Hap nachoongelea Kuachana na Dar
Yani sehm ambayo ni nzuri utaish milele Ndio huko mbinguni Kuachana na duniani
Tabia mbaya sana kuamini bila fact namuunga mkonoVitu vingn mtu aamini kwanza ili aone uthibitisho kwa kufanya observation
Au sio huihuiHakuna nchi nzuri kama Tanzania kwa fursa, amani na utulivu, ni issue ya kuwa na right mindset.
Nenda Ulaya/ Marekani/ SA kama una elimu au fani inayohitajika na kafanye kazi kwa makaratasi sahihi. Lakini unakwenda ughaibuni kwa kuzamia na huna elimu, wewe maisha yako yataishia kuzoa mavi na makohozi ta wazee kwenye nursing houses.
Wanapenda wepesi, wanataka amani na maisha Bora aliyotengeneza nani???Akili za kitumwa tu, wanahisi huko ulaya maisha ni mzuri na bwelele.
Hoja hujibiwa kwa hoja hakuna anaependa wepesiWanapenda wepesi, wanataka amani na maisha Bora aliyotengeneza nani???
Majibu Yako hayajaniridhisha Bado.ZirlovimovicZirkov masuala unayoandika na uhalisia ni vitu viwili tofauti na hata wewe unajua kuhusu hilo
Mimi kusema Bongo bahati mbaya haina maana kwamba siipendi Tanzania
Naipenda chi yangu hapa ndipo kitovu changu kilipozikwa
Lakini wakati mwingine nahisi ardhi yenyewe ya Tanzania hainipendi
Au labda mazingira ndiyo hayanipendi 😄
Mimi Huwa siendi kwenye masoko machafu, alafu pia Huwa nawashawishi na watu wengine wasiende hiyo sehemu. Nakushauri tumia kalamu kufanya hivyo.Kuhusu suala la usafi haimaanishi kwamba mimi niliyeandika ni mchafu au mafurahia uchafu
Lakini tusipindishe hoja suala la ustaarabu kwenye masoko bado ni changamoto
Kuna uhitaji wa usimamizi kutoka kwa mamlaka zinazohusika kwa sababu watu binafsi wanaonekana kulichukulia suala la usafi kama jambo lisilo na umuhimu
Hili la kusema tugomee kwenda kwenye masoko machafu we uliona wapiiii 🤣utagoma wewe peke yako trust me
Watu wameyazoea mazingira hayo na wengine hawajali kabisa
Mamlaka zinazohusika ndizo zinazopaswa kusimamia lakini hazijihusishi ipasavyo
Labda hata wao wenyewe wamezoea hali hiyo
Kipindi cha Rais Magufuli kulikuwa na nafuu kwenye suala la usafi
Na hapo ndipo unapaswa kuelewa kwamba ili usafi uwepo, hasa kwenye masoko wakati mwingine watu wanahitaji kushurutishwa na kusimamiwa
Kila mtu anapenda wepesi unadhani maviongozi yenu yasingependa wepesi mbona nchi ingekua mbali sana hii, jidanganye tu utakufa waje watoto wako, vitukuu hata vilembwe bado watalikuta hili li nchi lako liko hivyo hivyo sioni likiendelea kutoka hapo. Acha watu waondoke wakapambanie familia zao hio nchi bila kua kwenye circlr ya ma ccm, jijue utakufa maskini na watoto watarithi kuendesha boda boda.Wanapenda wepesi, wanataka amani na maisha Bora aliyotengeneza nani???
Haya yapo karibia kwenye miji yote mikubwa duniani.Mtu anaenda kazini alfajiri kuwahi foleni anarudi anadandia gari kama vile nyani wanavyodandia miti unapanda daladala unaogopa kugusa hata lile bomba mana lina majasho ya kila namna