Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 37,925
- 108,717
Labda mganga kamwambia! Anitafute nimpeleke kanisa moja matata jini halitoboi😎Jamaa aende Kanisani.
Tena haya makanisa ya Kiroho.
Ila kwa msaada zaidi angefunguka.
Amesema amejaribu kila njia kwa miaka 6. Na jini hatoki.
Njia gani hizo amejaribu?.
Jini miaka 6 amemngangania? 🙄🙄🙄. Mmmh . Alafu amejuaje kuwa na jini? Atoe mfano hata mmoja.