Jini hawezi ingia kwenye mwili wa binadamu hizo ni Imani potofu za waumini wa uchawi wewe ukiwa mmoja waoNdugu ukweli unayo sema lakini he nikificha hali inazidi kuwa mbaya ni mengi napitia TU siwezi elezea
Aliyekutupia yuko karbu sana na wewe, itakuwa anakuchora tu. Punguza wtu wakt unatafuta tibsNimesha hangaika sana huyu haskii cha Ruqya Wala nini asomewe .mie muislamu nimesha hangaika saana na hali inazidi kuwa mbaya
Aliyekutupia yuko karbu sana na wewe, itakuwa anakuchora tu. Punguza wtu wakt unatafuta tibs
Nenda Pemba 0774 402 579Sina mtu nae mhadithia ispokuwa nafanya mwenyewe na simshirikishi mtu yoyote ndio maana nikaona Nije humu jamii forum labda Kuna watu watanisaidia waganga hatari na wa kweli
AmenMimi sitoi majini.. Wala sina huo utaalam kwasasa🙌🏿😀
Umeacha broo mteja huyo tupate hela ya krismasMimi sitoi majini.. Wala sina huo utaalam kwasasa🙌🏿😀
Ww jamaa inapofikia suala la uislamu unakuaga mkali sana 😂Acha ujinga wewe,
Wafuga majini ndio kina nani mlokole pori wewe,
Umeona fursa,unataka mkamtapeli kijana na yale maigizo yenu sio?
Nilijua tuu 😂mie muislamu