Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 5,020
- 11,356
Nimeokoka nampenda yesu!
Ajaribu kula k/moto yatakimbia tu au amcheki huyu hearly 😎
Au Dogoli kinyamkela kuna mganga mpya IIT MWASISI OS
Shem , hii ya majini Kuogopa Kitimoto ni uwongo.
Wakat wa Yesu. Alivyomtoa mtu mapepo, majini yalisema "usituue, Tunaomba twende kwa wale nguruwe".
Ina maana waliona kwa nguruwe wataweza kukaa na ndio ahueni.
Yesu aliwawashia moto, sasa Watoke kwa Moto na waende kwa Moto? .
It doesnt make sense.
Mfupa wa nguruwe au kitimoto hakizuii majini. Labda kwa yale majini maislam.
Kitimoto ilivyo tamu, hawa mapepo wasio waislamu, Ukiwa unakula kitimoto na yenyewe yanajumuika 😂😂😂