Nahitaji msaada wenu Wana JF

Nahitaji msaada wenu Wana JF

Hapana sijawahi kwani siwajui mkuu,nimehangaika wa hapa bongo na wengine na kutumia madawa ya Kila aina na jini hatoki na hakimbi ananipa kipigo na mateso yote basi ni inbox details zote
Usiende kwa Waganga.

kwa miaka 6 uliyoangaika. Umewah kwenda kanisa lokote?..
 
Ww kwel hunipend, unataka nikatolewe urithi niliopewa na Sir God 😂
Mganga mwenyewe ww unaetegemea Kitimoto na Bange imtoe jini 😊😊😊😊.

yaan utapigwa na jini mbele ya Mteja wako na uache ndala. Hautaamini.
 
Mganga mwenyewe ww unaetegemea Kitimoto na Bange imtoe jini 😊😊😊😊.

yaan utapigwa na jini mbele ya Mteja wako na uache ndala. Hautaamini.
Kitimoto na bangi n baadhi ya vifaa vya utolewaji majini, ila bado kuna mbinu nyngn nyingi kama kupiga nyeto huku umenyanyua mikono juu
 
Kitimoto na bangi n baadhi ya vifaa vya utolewaji majini, ila bado kuna mbinu nyngn nyingi kama kupiga nyeto huku umenyanyua mikono juu

Picha linaanza. Ww ndio mganga alafu umemuuliza unaemuugua . Shida nn.
Akasema yeye anapenda sana Nyeto anataka aache.😂😂😂.

Ukisikia mix by yas ndio hiyo sasa.
Maana mganga mwenyewe jini la nyeto analo na anatamba nalo.
 
mwaka wa 6 jini hatoki na kafunga Kila kitu na kipigo napata na kupigwa na uchawi kuchomwa macho mpaka jicho halioni silali ni mateso nalala chini na nuksi kuliko Giza yaani siwezi elezea ni mengi nahitaji waganga konki ni inbox naomba msaada hali ni mbaya
Umejaribu kuogea mafuta ya Kitimoto-?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom