AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 14,557
- 25,099
Mzee Laizer hajambo?leo ijumapili umeenda ??
Mzee Laizer hajambo?leo ijumapili umeenda ??
Walikwambia jini lako linaitwaje? Au walikwambia una jini tu basi? Na linakupigaje hilo jini lako maana humu imaweza ikawa wote tuna majini bila kujua km tuna majini na hayatupigi wewe imekuaje linaanza kukupiga? Na unajuaje km ni jini ndio limekupiga?jini hatoki na hakimbi ananipa kipigo na mateso yote basi ni inbox details zote
Wapi? Mimi ni Sheikh naswali Ijumaa.leo ijumapili umeenda ??
Sasa kama yesu alikufa atakuwaje tena msaada kwake?Nenda kanisani, watakuombea na litatoka. Yesu ni jibu la mambo yote. Usiteseke wakati Yesu alikufa msalabani ili tuwe huru katika yote. Ukiweza nitafute dm
Kha wewe ni mui dahWapi? Mimi ni Sheikh naswali Ijumaa.
Hapo mambo yanakuwa bam bam 🔥Picha linaanza. Ww ndio mganga alafu umemuuliza unaemuugua . Shida nn.
Akasema yeye anapenda sana Nyeto anataka aache.😂😂😂.
Ukisikia mix by yas ndio hiyo sasa.
Maana mganga mwenyewe jini la nyeto analo na anatamba nalo.
Pole mkuuJamani ndugu zangu mie na tatizo kubwa sana na jini nimejaribu Kila sehemu wameshindwa,je sehemu Gani hapa Tanzania Kuna waganga hatari wa kuondoa hili tatizo?iwe waganga wa kuharibu iwe wa kutibu nahitaji msaada wenu Niko katika mateso huu mwaka wa 6 jini hatoki na kafunga Kila kitu na kipigo napata na kupigwa na uchawi kuchomwa macho mpaka jicho halioni silali ni mateso nalala chini na nuksi kuliko Giza yaani siwezi elezea ni mengi nahitaji waganga konki ni inbox naomba msaada hali ni mbaya
Pole mkuu
bebras naona jana kachezea kichapo!...baada ya jini kujua anatafutiwa namna ya kutolewa.... kwa jamaa kuomba msaada humu...ndio maana kabunda leo...
Akiandika tena! Kazi anayo! Usiku huu
Andika tena! Uuone moto!
Kuna movie hapa nikaikumbumba humo ndani kuna pepo gumu kutoka linamuingia mpaka mtoa mapepo mwenyewe.Amesema amejaribu kila njia kwa miaka 6. Na jini hatoki.
Jini miaka 6 amemngangania? 🙄🙄🙄. Mmmh