Mtu anaweza kudhani utani, ila Huu ndio ukweli, sio lazima kanisa fulani, anaweza kwenda kanisa lolote atakaloona anaweza kupata msaada au akae na Wakristo tofauti tofauti wape muongozoHakuna jini linaloweza kukaa kwa jina la yesu.nenda kanisa la wokovu utapata msaada au tafuta kanisa lolote la wasabato sda popote pale ulipo
Kwamba mtoa mada n mwanamke na amepita na mume wa mtu, hvy nae akanyooshwa.? 😂Acha kutembea na waume za watu na kuleta nyodo.
Nimeokoka nampenda yesu!Amchek Seran anaweza kumsaidia
Umeungwa kwenye imani za majini, hii sio nzuri...wasifanye hivyo!Shindwaa pepo mchafu ☄️
Umeishikilia mada nina wasiwasi ni wewe mwenye hiyo id🤔Kwamba mtoa mada n mwanamke na amepita na mume wa mtu, hvy nae akanyooshwa.? 😂
Unaniharibia ujue akipita hapa🙁Kama utachukia, chukia tuu 😎
Watajua wenyewe mimi najua imani yangu sio mpaka wao waniamlie!Umeungwa kwenye imani za majini, hii sio nzuri...wasifanye hivyo!
Mm mwnyw nilikuwa nna majini, nikapewa namba yake akanisaidia 😎Umeungwa kwenye imani za majini, hii sio nzuri...wasifanye hivyo!
Ndio mkuu, nahitaji msaada wako mkuu 😋Umeishikilia mada nina wasiwasi ni wewe mwenye hiyo id🤔
Nimefuta, nawe futa hiiUnaniharibia ujue akipita hapa🙁
Mbuzi weweMm mwnyw nilikuwa nna majini, nikapewa namba yake akanisaidia 😎
Nenda kwa dogoli au nipe namba nikuunge kwa group uongezewe jini jingine😎Ndio mkuu, nahitaji msaada wako mkuu 😋
Sifuti😎Nimefuta, nawe futa hii
Mbuzi mwnyw, fala nnMbuzi wewe
Utajua mwnyw, ngoja ukose fursa ya kula vya watu 😎Sifuti😎