Maafisa wa ICC wapo nchini

Maafisa wa ICC wapo nchini

Usinihusishe. Mm siko upande wa wauaji.
Ila ninaongea baada ya kuona dalili ya jinsi gani hili jambo litapindishwa na itakuwa kinyume na watu wanavyotegemea.

Kuhusu wananchi kuwa na Silaha .

Unakumbuka ile clip ya Tesha?.

Unakumbuka kuwa Raisi mwenyewe alikutana na wazee wa Dsm na kusema yale hayakuwa maandamano bali yalikuwa vurugu zilizoandaliwa kwa lengo la kupindua nchi. kuwa vyombo vya dola visingeweza kuwaangalia tu watu waliokuwa wamejiandaa kufanya mapinduzi hadi wafanikiwe.
na kuwa watu walilipwa.

Sasa , hii ndio Report atawapat Icc.
Tofauti kabisa na watu wanavyoliona hili suala kwa nje.
Ushahidi wa kutaka kufanya mapinduzi ndi upi?

Kuna kundi la watu wasiofahamika walikuwa wakimiminia risasi wananchi hadi watoto.

Kwani unadhani hao ICC hawaoni issue kama kule Ufaransa? Serikali haikufanya mauwaji kama alivyofanya bimsumi.

Hakuna ushahidi wowote wa kusema mapinduzi. Bado hakukuwepo na ulazima wa kufanya yale mauwaji.
 
Kwahiyo ni kweli ICC wako nchini? Maana hujapinga hapa. Maana wewe ungeshusha gazeti la kukanusha,
Kulikonii??
Nairobi mpaka wana ofisi kabisa,
nadhani sio jambo la kushangaza ikiwa maafisa wake wapo Tanzania kikazi au mapumziko, na hata wakienda Uganda au Rwanda ni uhuru wao pia.

Ile ni mahakama ya dunia nzima ispokua baadhi ya mataifa kama vile Israel, Marekani na baadhi ya mataifa makubwa duniani ndio hawaitambui:1Head:
 
Arrest warrant iwe issued chap!

hao MAOFISA nao wanaongea nini na mtuhumiwa ? wanataka mlungula

Wanampa nafasi ya haki kwa mtuhumiwa Samia aongee na washauri wake kina Johari S. Hamza ili akifika ICC The Hague asije na hoja hakupewa nafasi ya kujitayarisha kujibu mashtaka yanayomkabili ya mauaji na sifa ya kutojali (impunity).
 
Nairobi mpaka wana ofisi kabisa,
nadhani sio jambo la kushangaza ikiwa maafisa wake wapo Tanzania kikazi au mapumziko, na hata wakienda Uganda au Rwanda ni uhuru wao pia.

Ile ni mahakama ya dunia nzima ispokua baadhi ya mataifa kama vile Israel, Marekani na baadhi ya mataifa makubwa duniani ndio hawaitambui:1Head:
Mbona umekua mpole ghafla Tila Tila, kulikonii??
Sijakuzoea hivi kabisaa, 😂😂😂
 
Ushahidi wa kutaka kufanya mapinduzi ndi upi?

Kuna kundi la watu wasiofahamika walikuwa wakimiminia risasi wananchi hadi watoto.

Kwani unadhani hao ICC hawaoni issue kama kule Ufaransa? Serikali haikufanya mauwaji kama alivyofanya bimsumi.

Hakuna ushahidi wowote wa kusema mapinduzi. Bado hakukuwepo na ulazima wa kufanya yale mauwaji.

Polisi ni kweli walizingua.
Ila ile ni order.

Nimekukumbusha ya Tesha, nitakuambia na lingne pia labda hulifahamu, wanajeshi walikuwa wako upande wa Raia na kama maandamano yangeenda siku ya 2 na ya 3. Hii nchi ingekuwa chini ya Jeshi.

Siku ya 1 Wanajeshi hawakugusa Raia hata mmoja. Walikuwa wanawalinda.
Kosa la Raia ni kuanza kuchoma ofisi za umma. Sheli na stand za mwendokasi.

Ila maandamano yangekuwa bila kuharibu mali.
Basi Wanajesh wangetuunga mkono.

Huko jeshin pia kuna makundi na mpasuko.

Una habar pia kuna Watu walikuwa wanaenda kuiteka TBC?.

Sasa hii intelejensia unafikiri Raisi hakuwa nayo?.
 
kuna wajinga wamejipanga wakiona nchi imetulia wanazusha vitu kuibua taharuki sasa wamekuta serikali imetulia ndio maana ssasa hivi wanaharakati wamechoka maana wengine wanasemana wenyewe kwa wenyewe kwa habari za uongo na hawaaminiani, wengine wajinga wakisikia kitu wanaruka nacho iwe kweli au uongo ilimradi aonekane kapost, lkn ukitulia unaona nchi imetulia inaenda vizuri.
Nchi imetulia 😄 😄 😄
 
ndugu mdau,
hata ukinipima tu,
naweza kua mpole kweli kwenye porojo za mambo ya kawaida kama haya?:pedroP:
Mmmh Tila Tila hapana kuna kitu hakiko sawa, ni wewe kweli? Au I'd hii kaichukua chawa mwingine?
😂😂😂😂 ni maajabu kabisa haya. Lol
 
Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.

Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.

Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia

Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Kama ni kweli wana chadema wata ""shakes and clamps their booties""
 
Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.

Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.

Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia

Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Mahojiano na Samia kuna jipya gani mkuu. Nani ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe.

Wangewahoji waathirika waliofiwa na vilema waliopigwa risasi wakiwa wamelala
 
Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.

Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.

Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia

Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Binafsi sitilii shaka habari yako. Kuna watu ambao hadhi zao za kutoa taarifa kama hizi imeshuka sana; kwa sababu badala ya kutaalifu kwa manufaa ya kutafuta ukombozi wa taifa hili, wao kazi hiyo sasa wanaifanya kuwa kama ni mradi wa kutafuta umaarufu JF

Hata hivyo hawa ICC wamechelewa sana kuja hapa; na sababu za kusuasua kwao kufuatilia yaliyotokea Tanzania imekuwa kama ni sehemu ya matendo wanayoyaendeleza hawa waovu. Bila shaka Thabit Kombo aliwafikia mapema sana na kuwavuruga akili kama ilivyo kawaida ya tapeli huyo.

Sasa kama wanakuja Tanzania, na kuishia kukutana na watu hao hao wanaowatendea maovu waTanzania, kuja kwao hapa kutakuwa na maana gani, kama siyo kuja tu kutalii na kutafuta njia za kujivua lawama huko mbele ya safari.
Wakati sahihi walipohitajika kuwa hapa, hawakuonekana na wala kusikika wakisema chochote. Hao watu hawana msaada wowote kwa waTanzania. Inapaswa waTanzania walitambue hilo wakati wakiendelea na mapambano yao ya kujitafutia ukombozi kutoka kwenye mikono ya wahalifu hawa.
 
Uzi unakimbiza sana, siyo kawaida.

Raia wanachagiza mchakato uharakishwe pamoja ya kuwa kuna taratibu za kumuandaa mshtakiwa Samia ili asipate upenyo wa kisheria kuburuza kesi ichelewe kwenda kama kasi aliyokuwa jaji Dunstan Nduguru akichagiza Tundu Lissu asicheleweshe kesi kwa mapingamizi ya kisheria yenye haki hata kwa mshitakiwa anayetuhumiwa jinai
 
Back
Top Bottom