Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,879
- 15,778
Habari za udaku mnazipenda sana!Na iwe hivyo! Wabarikiwe wazungu
Habari za udaku mnazipenda sana!Na iwe hivyo! Wabarikiwe wazungu
Mimi nawakaribisha Sinza kitambaa cheupe hao jamaa wa ICC, tupate nyama choma!Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.
Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.
Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia
Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Kwani lissu alichochea vipi machafuko??Icc haitafuti aliyeua. Inatafuta aliyehusika na kusababisha mauaji. Either kwa amri au kuchochea.
Mfano mzuri ni hapo Kenya.
Mauaji ilikuwa kipindi cha uchaguzi, 2007, watu karibia 1000+ waliuawa.
Uhuru Kenyata na Ruto wote walikuwa ni viongozi wa vyama vya Siasa.
Raisi alikuwa ni Mwaikibaki.
Polisi waliua Raia kwa Risasi na pia Raia wengne waliuana kwa kutumia silaha za jadi.
Ila guess what?. Waliofikishwa ICC ni Ruto na Kenyata.
Viongozi wa Kisiasa.
Sio raisi. (Mwaikibaki).
Kuna mtangazaji wa Radio pia alishtakiwa kuhamasisha hayo mauaji ya Kenya. Ingawa yeye hakuua mtu. Ila kauli zake zilihamasisha yale mauaji.
Now, umeshaona ni kwa namna gani Lissu na wanaharakati watajumuishwa kwenye hili. Alafu Raisi pamoja na vyombo vya Usalama wataachwa.
Kwani lissu alichochea vipi machafukoIcc haitafuti aliyeua. Inatafuta aliyehusika na kusababisha mauaji. Either kwa amri au kuchochea.
Mfano mzuri ni hapo Kenya.
Mauaji ilikuwa kipindi cha uchaguzi, 2007, watu karibia 1000+ waliuawa.
Uhuru Kenyata na Ruto wote walikuwa ni viongozi wa vyama vya Siasa.
Raisi alikuwa ni Mwaikibaki.
Polisi waliua Raia kwa Risasi na pia Raia wengne waliuana kwa kutumia silaha za jadi.
Ila guess what?. Waliofikishwa ICC ni Ruto na Kenyata.
Viongozi wa Kisiasa.
Sio raisi. (Mwaikibaki).
Kuna mtangazaji wa Radio pia alishtakiwa kuhamasisha hayo mauaji ya Kenya. Ingawa yeye hakuua mtu. Ila kauli zake zilihamasisha yale mauaji.
Now, umeshaona ni kwa namna gani Lissu na wanaharakati watajumuishwa kwenye hili. Alafu Raisi pamoja na vyombo vya Usalama wataachwa.
Habari za udaku mnazipenda sana!
Kwani lissu alichochea vipi machafuko
Baada ya kikao Kazi cha ICC kule South Africa tarehe 11 - 13 November 2026, Sasa ICC ....
16 November 2026
Rais wa ICC na Kaimu Mwendesha Mashtaka watembelea Afrika Kusini kwa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Katiba
View attachment 3711562 Picha
Kuanzia tarehe 11 hadi 13 Novemba 2026, Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Jaji Tomoko Akane, na Kaimu Mwendesha Mashtaka Mame Mandiaye Niang, walitembelea Afrika Kusini kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Upatikanaji wa Haki, ulioandaliwa na Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba ya Jamhuri ya Afrika Kusini, wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya Katiba ya nchi hiyo.
Rais Akane alitoa ujumbe wa kuunga mkono katika chakula cha jioni cha kukaribisha, na pia alitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo, mbele ya Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Katiba, Mheshimiwa Bi. Mmamaloko Kubayi, na maafisa wengine wakuu kutoka Serikali, mahakama, taaluma ya sheria, na taasisi za kimataifa, pamoja na wawakilishi wa asasi za kiraia.
Rais Akane alisisitiza dhana ya "kamwe tena" inayoshirikiwa na Katiba ya Afrika Kusini na Sheria ya Roma, nafasi kuu ya waathiriwa katika kazi ya Mahakama, na changamoto zinazokabili haki ya kimataifa kwa sasa.
Katika hotuba yake, Rais Akane pia alisisitiza kwamba "'kamwe tena' si msemo tu. Ni ahadi. Na ahadi lazima iimarishwe kila mara, si kupitia maneno tu, bali kupitia vitendo." Akizungumzia hatua za kulazimisha zilizochukuliwa dhidi ya ICC, alisema: "Vizazi vijavyo vitahukumu jinsi tulivyoitikia haki iliposhambuliwa. Tuonyeshe kwamba tulisimama upande wa sheria, upande wa haki, na upande wa waathiriwa."
Kaimu Mwendesha Mashtaka Niang alishiriki katika mjadala wa jopo kuhusu Ushirikiano na Ushirikiano wa Umma na Binafsi. Akitafakari umuhimu wa ushirikiano katika haki ya jinai ya kimataifa, alielezea "roho ya kweli ya muundo wa haki ya jinai ya kimataifa kama inavyoonekana katika Mkataba wa Roma wa ICC, yaani moja ya ushirikiano na hatua za pamoja kupitia vekta ya sheria." Alisisitiza kwamba: "Hakuna mhusika mmoja anayeweza kushughulikia kutokujali peke yake. Kinachohitajika ni 'mfumo ikolojia wa haki' wa juhudi na ushirikiano uliounganishwa: Mahakama, mamlaka za kitaifa, mitandao ya kikanda, asasi za kiraia, watendaji binafsi, wanaofanya kazi pamoja, kila mmoja ndani ya mamlaka yake, lakini kwa mpangilio, kuelekea lengo moja."
Katika pembezoni mwa Mkutano huo, Rais Akane na Kaimu Mwendesha Mashtaka Niang walipata fursa ya kukutana kwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Katiba Mheshimiwa Bi. Mmamoloko Kubayi, na maafisa wengine wakuu kutoka taasisi za haki za Jamhuri ya Afrika Kusini. Wakati wa mikutano hiyo, maafisa wa Afrika Kusini walisisitiza umuhimu wa kulinda uhuru na uadilifu wa ICC licha ya shinikizo na vikwazo vya kimataifa, na kuimarisha ushirikiano ili kuhakikisha matumizi bora ya sheria.
Rais wa ICC na Kaimu Mwendesha Mashtaka pia walifanya mikutano na wawakilishi mbalimbali wa Serikali kutoka nchi zingine zilizoshiriki, wakiwemo
- Mawaziri wa Sheria, Mheshimiwa Nelson Ramaotwana (Jamhuri ya Botswana),
- Mheshimiwa Richard Ramoeletsi (Ufalme wa Lesotho),
- Mheshimiwa Charles Mhango (Jamhuri ya Malawi),
- Mheshimiwa Fillemon Wise Immanuel (Jamhuri ya Namibia),
- Mheshimiwa Mateus de Cecilia Finiasse Saize (Jamhuri ya Msumbiji),
- pamoja na Naibu Waziri wa Sheria, Mheshimiwa Zainab Athman Katimba (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).
Wakati wa mikutano hii, Rais wa ICC na Kaimu Mwendesha Mashtaka walijadili mambo ya sasa ya ICC na kuchunguza fursa za kuimarisha ubadilishanaji na ushirikiano.
View: https://m.youtube.com/watch?v=xHWjrc6Ne4w
Mahakama ya ICC inatoa shukrani zake za dhati kwa mamlaka ya Jamhuri ya Afrika Kusini kwa ukarimu na usaidizi uliotolewa kwa ujumbe wa ICC
English :
ICC President and Acting Prosecutor visit South Africa for 30th Anniversary of the Constitution
View attachment 3711563 Image
![]()
From 11 to 13 November 2026, the President of the International Criminal Court (ICC), Judge Tomoko Akane, and Acting Prosecutor Mame Mandiaye Niang, visited South Africa to attend the International Conference on Access to Justice, hosted by the Department of Justice and Constitutional Development of the Republic of South Africa, on the occasion of the 30th anniversary of the country’s Constitution.
President Akane delivered a message of support at the welcome dinner, and also delivered an address at the opening of the Conference, in the presence of the President of the Republic of South Africa, H.E. Mr Cyril Ramaphosa, Minister of Justice and Constitutional Development, H.E. Ms Mmamaloko Kubayi, and other high officials from Governments, the judiciary, the legal profession, and international institutions, as well as civil society representatives.
President Akane highlighted the premise of “never again” shared by the South African Constitution and the Rome Statute, the central place of victims in the Court’s work, and the challenges currently facing international justice. In her address, President Akane also emphasised that “‘never again’ is not just a phrase. It is a promise. And a promise must be strengthened continuously, not only through words, but through action.” Addressing the coercive measures taken against the ICC, she stated: “Future generations will judge how we reacted when justice came under attack. Let us show that we stood on the side of the law, on the side of justice, and on the side of victims.”
Acting Prosecutor Niang participated in a panel discussion on Partnerships and Public-Private Collaboration. Reflecting on the importance of cooperation in international criminal justice, he described “the true spirit of the international criminal justice architecture as perceived by the Rome Statute of the ICC, namely one of partnership and collective action through the vector of the law.” He stressed that: “No single actor can address impunity alone. What is required is a ‘justice ecosystem’ of interconnected efforts and collaboration: the Court, national authorities, regional networks, civil society, private actors, working alongside each other, each within their mandate, but with alignment, towards a common objective.”
In the margins of the Conference, President Akane and Acting Prosecutor Niang had the opportunity to jointly meet with the President of the Republic of South Africa, H.E. Mr Cyril Ramaphosa, the Minister of Justice and Constitutional Development H.E. Ms Mmamoloko Kubayi, and other high officials from justice institutions of the Republic of South Africa. During the meetings, South African officials emphasized the importance of safeguarding the independence and integrity of the ICC amid international pressure and sanctions, and strengthening cooperation to ensure the effective application of the law.
The ICC President and Acting Prosecutor also held meetings with various Government representatives from other participating countries, including Ministers of Justice, H.E. Mr Nelson Ramaotwana (Republic of Botswana), H.E. Richard Ramoeletsi (Kingdom of Lesotho), H.E. Charles Mhango (Republic of Malawi), H.E. Fillemon Wise Immanuel (Republic of Namibia), H.E. Mr Mateus de Cecilia Finiasse Saize (Republic of Mozambique), as well as Deputy Minister of Justice, H.E. Ms Zainab Athman Katimba (United Republic of Tanzania). During these meetings, the ICC President and Acting Prosecutor discussed the ICC’s current affairs and explored opportunities to deepen exchange and collaboration.
The Court expresses its sincere gratitude to the authorities of the Republic of South Africa for the generous hospitality and support extended to the ICC delegation
Hakuna kukaa pembeni hadi tumalizaneKuna utaratibu wa kiongozi fulan kuumwa akaomba kukaa pembeni
Kuhusu mauwaji, kupaza sauti itasaidia nini kwa chura kiziwi?Hii ishu ishapita akuna mzungu wala icc itakuja kutusaidia cha msingi ni sisi wenyewe tuendelee kupaza sauti na kupigania haki zetu
Mzungu au icc itakusaidia pale kwenye maslai yao ila kwa kwetu apoa hawana maslai yyte so hawawezi tusaidia kwa lolote
SunCity South Africa
The ICC leadership visited South Africa to strengthen cooperation and discuss matters relating to the Court. The discussions provided South Africa an opportunity to reaffirm its commitment to the ICC and emphasize the need to protect the Court's independence
Durban,
South Africa
SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Durban katika Jiji la Durban, Jamhuri ya Afrika Kusini.
Mheshimiwa Bw. Matamela Cyril Ramaphosa, Rais wa...
- Bagamoyo
- afrika kusini durban mkutano sadc durban rais samia
- Replies: 62
- Forum: Jukwaa la Siasa
Big up Recho D, mapema sana alitusanuaNashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.
Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.
Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia
Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Duh! Ndo maana yule Kiduku wa North Korea huwa haachi kinyesi wala mkojo. Anafungasha vyote na kila alichogusa kinafutwa. Kabla haijaondoka, timu yake ya ulinzi huwa ina kazi kubwa sana😀Unapokunya au kukojoa wale jamaa wakipima hizo sampuli wanajua Hali ya afya yako ni rahisi sana kuja na ka formula Fulani wakakaingiza kwa system then unaanza ku shut down pole pole kwa muda Fulani walio u calculate!!
Nawaza!
Arrest warrant iwe issued chap!Dunia hii ndogo sana, Samia huwezi kujificha kwa muda mrefu, jumuiya ya kimataifa yaunda 'chama' kufanikisha jambo lao
TOKA MAKTABA :
SAMIA AKACHA KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC DURBAN SOUTH AFRICA
Ndo mnavyomdanganya BiMsumi? Mbona hizo scenarios tofauti kabisa. Wale Mungiki waliuwa sana watu na ndiyo kuna huo utofauti. Watu waliopigwa risasi kwani walikuwa na silaha kama wale Mungiki?Icc haitafuti aliyeua. Inatafuta aliyehusika na kusababisha mauaji. Either kwa amri au kuchochea.
Mfano mzuri ni hapo Kenya.
Mauaji ilikuwa kipindi cha uchaguzi, 2007, watu karibia 1000+ waliuawa.
Uhuru Kenyata na Ruto wote walikuwa ni viongozi wa vyama vya Siasa.
Raisi alikuwa ni Mwaikibaki.
Polisi waliua Raia kwa Risasi na pia Raia wengne waliuana kwa kutumia silaha za jadi.
Ila guess what?. Waliofikishwa ICC ni Ruto na Kenyata.
Viongozi wa Kisiasa.
Sio raisi. (Mwaikibaki).
Kuna mtangazaji wa Radio pia alishtakiwa kuhamasisha hayo mauaji ya Kenya. Ingawa yeye hakuua mtu. Ila kauli zake zilihamasisha yale mauaji.
Now, umeshaona ni kwa namna gani Lissu na wanaharakati watajumuishwa kwenye hili. Alafu Raisi pamoja na vyombo vya Usalama wataachwa.
Upo sahihi, zile siku tisini walizopewa na common wealth walidharau, hadi vyawa maarufu humu wakawa wanabeza.Nyavu za Kokoro la ICC linazidi kuikaribia utawala wa Samia kupitia nchi wanachama za SADC, EAC na jumuiya za kimataifa. Ni suala la muda mfupi tu genge la Samia litaingia nyavuni hadi ICC The Hague
Kenya mauaji hayakufanywa na vyombo vya dola. Mauaji yalifanywa na vikundi vya kikabila. Ndio maana Ruto na Kenyatta wakahusika.Icc haitafuti aliyeua. Inatafuta aliyehusika na kusababisha mauaji. Either kwa amri au kuchochea.
Mfano mzuri ni hapo Kenya.
Mauaji ilikuwa kipindi cha uchaguzi, 2007, watu karibia 1000+ waliuawa.
Uhuru Kenyata na Ruto wote walikuwa ni viongozi wa vyama vya Siasa.
Raisi alikuwa ni Mwaikibaki.
Polisi waliua Raia kwa Risasi na pia Raia wengne waliuana kwa kutumia silaha za jadi.
Ila guess what?. Waliofikishwa ICC ni Ruto na Kenyata.
Viongozi wa Kisiasa.
Sio raisi. (Mwaikibaki).
Kuna mtangazaji wa Radio pia alishtakiwa kuhamasisha hayo mauaji ya Kenya. Ingawa yeye hakuua mtu. Ila kauli zake zilihamasisha yale mauaji.
Now, umeshaona ni kwa namna gani Lissu na wanaharakati watajumuishwa kwenye hili. Alafu Raisi pamoja na vyombo vya Usalama wataachwa.
Watu walipigwa risasi na kuuwawa wakiwa majumbani. Ile siku walipania na kupanga kufanya mauwaji. Kuna waliokuwa wanaandamana kwa Amani wakawa wanapigwa na kukamatwa. Kuna ambao hata hawakuwa na mpango huo wako na shughuli zao lakini askari wakawa wanawafuata na kuwapiga tu na kupiga mabomu ya machozi bila sababu. Baadaye ikageuka mauwaji ya wazi hadharani video zipo mbona.Ile hukumu ya Mahakama dhidi ya Lissu ni mpango mkakati.
Watatembelea na gia ile ile.
Kuwa maneno yake ya April yaliwaandaa watu kufanya fujo Oct29.
Na Mahakama. Imemkuta na hatia .
Kumbuka ICC haitafuti askar aliyepiga risasi. Unatafuta aliyehamasisha . Maana askar wao kaz yao ni Kulinda Raia na mali zao. Na walikuwa kazin kupambana Raia wasiharibu mali za Raia n umma.
Ndo mnavyomdanganya BiMsumi? Mbona hizo scenarios tofauti kabisa. Wale Mungiki waliuwa sana watu na ndiyo kuna huo utofauti. Watu waliopigwa risasi kwani walikuwa na silaha kama wale Mungiki?
Polisi walihusika.Kenya mauaji hayakufanywa na vyombo vya dola. Mauaji yalifanywa na vikundi vya kikabila. Ndio maana Ruto na Kenyatta wakahusika.
Ni tofauti kabisa na Tanzania.
Kwahiyo ni kweli ICC wako nchini? Maana hujapinga hapa. Maana wewe ungeshusha gazeti la kukanusha,Ok.,
so what gentleman?🐒