Maafisa wa ICC wapo nchini

Maafisa wa ICC wapo nchini

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,197
Reaction score
24,691
Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.

Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.

Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia

Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
 
Wameenda kufanya mahojiano na mtuhumiwa ili wapewe maelekezo.

Hawa wazungu siwaamini, shida zetu tutazimaliza wenyewe, kama tukikubali zimetushinda basi tuishi nazo.

Kuanzia ile seneti kule US tuliambiwa itakaa mpaka wamefanya uchaguzi wameingia wapya, bado haijakaa!

Sioni sababu ipi iliyowaleta hao ICC ikiwa walishatumiwa ushahidi wa kila aina, hasa picha za video kuonesha kile kilichotokea Okt. 29.
 
sasa nimegundua huna akili, umeitoa hii habari kwa recho dangwa mtu ambaye anatamani mabaya yatokee kwa nchi, msemaji wa serikali hawezi kupost huo upuuzi wa recho dangwa, huyo mdada alisema twaha anavushwa namanga je ulimuona?

Yaani mtu akurupuke na uzushi halafu serikali ijibu si itakuwa ujinga huo, kwahiyo hata maria na hilda walivyozusha rais mara kafa mara anaumwa ulitaka serikali ijibu ili wajione wakubwa wanajibiwa na serikali.

hizo habari za icc zimezushwa sana
 
sasa nimegundua huna akili, umeitoa hii habari kwa recho dangwa mtu ambaye anatamani mabaya yatokee kwa nchi, msemaji wa serikali hawezi kupost huo upuuzi wa recho dangwa, huyo mdada alisema twaha anavushwa namanga je ulimuona? yani mtu akurupuke na uzushi halafu serikali ijibu si itakuwa ujinga huo, kwahiyo hata maria na hilda walivyozusha rais mara kafa mara anaumwa ulitaka serikali ijibu ili wajione wakubwa wanajibiwa na serikali.

hizo habari za icc zimezushwa sana
Akili za Watu hawa zinaongozwa na kina Recho dangwa.
 
Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.

Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.

Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia

Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
 

Attachments

  • 1792593704320.jpeg
    1792593704320.jpeg
    35 KB · Views: 9
Nimeipandisha kwenye Telegram kule Maafisa wa ICC wako nchini na uchunguzi wa kigugumizi kuhusu October 29! 2025

Kuna mgawanyiko kuhusu report iliyofichwa na pili ndani kwa ndani wameanza kuandama na!!

Rais anayemaliza
Muda wake huwa Hana nguvu sana hasa muhula wa pili na watu ni kama wanampotezea (Japo hakuingia hapo kiuhalali, )

Timu zimeanza Bashite na February wameanza kutuma watu wao mtandaoni yote nimeeleza kule! (katumia zaidi ya 60%) ya bajet ya Ujenzi wa viwanja kujinufaisha na kununua wapambe

Huku Siri zinaendelea kufichuka kuhusu

Uzi huu 👇🏽👇🏽👇🏽


Ambao nimeufungua kwa code Zote kule Telegram
 
Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.

Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.

Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia

Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Kumbe ndiyo maana alikuwa Na mazungumzo marefu na Ruto!!!
Naona alikuwa anafuatilia gharama za kwenda na kuishi pale THE HAGUE
 
Back
Top Bottom