Maafisa wa ICC wapo nchini

Maafisa wa ICC wapo nchini

Wameenda kufanya mahojiano na mtuhumiwa ili wapewe maelekezo.

Hawa wazungu siwaamini, shida zetu tutazimaliza wenyewe, kama tukikubali zimetushinda basi tuishi nazo.

Kunazia ile seneti kule US tuliambiwa itakaa mpaka wamefanya uchaguzi wameingia wapya, bado haijakaa!

Sioni sababu ipi iliyowaleta hao ICC ikiwa walishatumiwa ushahidi wa kila aina, hasa picha za video kuonesha kile kilichotokea Okt. 29.

Senate bado ni ileile mpaka January mwakani.

Kama huoni sababu za wao kuja basi subiri watakapomaliza kazi yao labda utajua.
 
Wameenda kufanya mahojiano na mtuhumiwa ili wapewe maelekezo.

Hawa wazungu siwaamini, shida zetu tutazimaliza wenyewe, kama tukikubali zimetushinda basi tuishi nazo.

Kunazia ile seneti kule US tuliambiwa itakaa mpaka wamefanya uchaguzi wameingia wapya, bado haijakaa!

Sioni sababu ipi iliyowaleta hao ICC ikiwa walishatumiwa ushahidi wa kila aina, hasa picha za video kuonesha kile kilichotokea Okt. 29.
ICC Wana utaratibu wao unaitwa complementarity, nchi husika ndio Ina haki ya kuanza mchakato wa kuwakamata na kuwashtaki waliyofanya uhalifu. Ila nchi ikishindwa ndipo ICC wanaingilia kati na kumshtaki wenyewe. Sasa kwa Tanzania ndioaana unaona Samiah amekimbilia kwenye maridhiano.
 
sasa nimegundua huna akili, umeitoa hii habari kwa recho dangwa mtu ambaye anatamani mabaya yatokee kwa nchi, msemaji wa serikali hawezi kupost huo upuuzi wa recho dangwa, huyo mdada alisema twaha anavushwa namanga je ulimuona?

Yaani mtu akurupuke na uzushi halafu serikali ijibu si itakuwa ujinga huo, kwahiyo hata maria na hilda walivyozusha rais mara kafa mara anaumwa ulitaka serikali ijibu ili wajione wakubwa wanajibiwa na serikali.

hizo habari za icc zimezushwa sana
Shida ni kwamba Source za habari hazieleweki. ICC wanafanya kazi wazi sio mafichoni. Ila Kuna siku mambo yatakuwa wazi.
 
Shida ni kwamba Source za habari hazieleweki. ICC wanafanya kazi wazi sio mafichoni. Ila Kuna siku mambo yatakuwa wazi.
kuna wajinga wamejipanga wakiona nchi imetulia wanazusha vitu kuibua taharuki sasa wamekuta serikali imetulia ndio maana ssasa hivi wanaharakati wamechoka maana wengine wanasemana wenyewe kwa wenyewe kwa habari za uongo na hawaaminiani, wengine wajinga wakisikia kitu wanaruka nacho iwe kweli au uongo ilimradi aonekane kapost, lkn ukitulia unaona nchi imetulia inaenda vizuri.
 
Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.

Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.

Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia

Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Back
Top Bottom