Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,949
- 166,296
Habari njema sana hii
Kwa kweli mpaka sasa bado nashangaa Dunia inasubili Nini kuchukua hatua dhidi ya mauaji Yale ya October 29. Unyama ule kweli uwachwe upite hivi hivi???Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.
Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.
Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia
Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Maelezo yako marefu hayawezi kuficha ukweli. Ukweli utabaki pale pale ni suala la muda tu.sasa nimegundua huna akili, umeitoa hii habari kwa recho dangwa mtu ambaye anatamani mabaya yatokee kwa nchi, msemaji wa serikali hawezi kupost huo upuuzi wa recho dangwa, huyo mdada alisema twaha anavushwa namanga je ulimuona?
Yaani mtu akurupuke na uzushi halafu serikali ijibu si itakuwa ujinga huo, kwahiyo hata maria na hilda walivyozusha rais mara kafa mara anaumwa ulitaka serikali ijibu ili wajione wakubwa wanajibiwa na serikali.
hizo habari za icc zimezushwa sana
ICC hawadeal na uchochezi, wao wanadeal na mauaji. Hivyo ICC wanatafuta walioua ila SAMIA yeye anajitahidi kupika taarifa ya waliochochea.Kwa jinsi Hali ya Kisiasa ilivyo kwasasa.
+ hukumu ya Lissu + matokeo ya tume ya Jaji Chande + kesi ile ya mauaji kama haya yaliyotokea Kenya 2007 + Info anazotoa Britanicca.
Kuna Kila Dalili zigo lote la haya mauaji akapewa Lissu pamoja na wanaharakati wa Kisiasa.
Rais na Wakuu wa vyombo vya Usalama hawawezi kuguswa abadani asilani.
Picha plz?? Kwa nini wameruhusiwa kuingia eapoti ?Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.
Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.
Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia
Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Swali ni kwanini Msigwa anaficha kuuhabarisha umma kuhusu huo ujio wa ICC?Matumaini hewa, wamekuja kupiga mpunga na kusepa.
Hawawezi kutusaidia chochote kama sisi wenyewe hatuwezi kujisaidia katika hii hali tuliyonayo.
ICC hawadeal na uchochezi, wao wanadeal na mauaji. Hivyo ICC wanatafuta walioua ila SAMIA yeye anajitahidi kupika taarifa ya waliochochea.
Sasa wewe lete ushahidi ya walioshtakiwa na ICC kwa kuchochea, bali wanastakiwa ni walioua au kufadhili wauaji. Lisu amefungwa kwa uchochezi.
COUNTDOWN IE REAL-16Nashangaa kwanini Gerson Msigwa anavyopenda kupost kila habari hili hajalipost kabisa.
Nina taarifa za kuaminika kabisa kuwa maafisa wa mahakama wa kimataifa ya ICC wapo hapa Tanzania yapata siku ya tatu sasa.
Na taarifa zinadai kuwa wameenda nyumba nyeupe na wamefanya mahojiano na Rais Samia
Hii habari ni ya kweli 100% nina uhakika nayo kabisa
Duh 🙄 !Bado tunabadilika kutoka ule unyani wa kale mama! Process ya kuwa binadamu haijakamilika
If wishes were horses, beggers would ride.Icc haitafuti aliyeua. Inatafuta aliyehusika na kusababisha mauaji. Either kwa amri au kuchochea.
Mfano mzuri ni hapo Kenya.
Mauaji ilikuwa kipindi cha uchaguzi, 2007, watu karibia 1000+ waliuawa.
Uhuru Kenyata na Ruto wote walikuwa ni viongozi wa vyama vya Siasa.
Raisi alikuwa ni Mwaikibaki.
Polisi waliua Raia kwa Risasi na pia Raia wengne waliuana kwa kutumia silaha za jadi.
Ila guess what?. Waliofikishwa ICC ni Ruto na Kenyata.
Viongozi wa Kisiasa.
Sio raisi. (Mwaikibaki).
Kuna mtangazaji wa Radio pia alishtakiwa kuhamasisha hayo mauaji ya Kenya. Ingawa yeye hakuua mtu. Ila kauli zake zilihamasisha yale mauaji.
Now, umeshaona ni kwa namna gani Lissu na wanaharakati watajumuishwa kwenye hili. Alafu Raisi pamoja na vyombo vya Usalama wataachwa.
Hawa jamaa wameandaa bajeti kumaliza makando kando yao! Ngumu sana kutegemea hao watu kuadabishaSiyo kila afisa wa ICC ni mzungu. Waliokuja ni waafrika wanatoka Ghana na Nigeria.
Wanaweza kulipindua sakata kwa kujifurahisha nafsi zao lkn sio kuwashawishi wananchi waelewe kwamba serikali haikuhusika na mauaji Yale. Nadhani shida ni kwamba" namna Gani serikali ya CCM itajisafisha mbele ya watanzania na Dunia na ikaeleweka kuhusu mauaji ya October 29???"Ukweli mchungu ni huu.
Kwasababu Tume moja ishaundwa na kusema kuna Jinai. Na pia ilisema ni Kauli za wanasiasa na wanaharakati ndio zilisababisha Mauaji.
Na tume ya pili inaundwa kutafuta nani hasa alisababisha jinai.
Basi icc inakaa kwa kutulia kuona nini kitaendelea.
Ila kwa kuwa Mahakama imemkuta na hatia Lissu. Hata tume hii ya pili itamuhusisha Lissu na yale mauaji.
Ila haitamtaja pekeyake, itamtaja na Mange Kimambi, Sativa, Maria Sarungi, Fatma Karume nk.
Wanalowaza Wengi halitatokea. Raisi wala mkuu yoyote wa vyombo vya Usalama hataguswa wala kutajwa kuhusika kwenye Yale Mauaji.
Naona Dalili. Na kama ulikuwa haujui Siasa ni mchezo mchafu. Basi kwa namna hili sakata litakavyopinduliwa. Bila shaka utajua huo Uchafu wake.
Baada ya kikao Kazi cha ICC kule South Africa tarehe 11 - 13 November 2026, Sasa ICC ....
16 November 2026
Rais wa ICC na Kaimu Mwendesha Mashtaka watembelea Afrika Kusini kwa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Katiba
View attachment 3711562 Picha
Kuanzia tarehe 11 hadi 13 Novemba 2026, Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Jaji Tomoko Akane, na Kaimu Mwendesha Mashtaka Mame Mandiaye Niang, walitembelea Afrika Kusini kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Upatikanaji wa Haki, ulioandaliwa na Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba ya Jamhuri ya Afrika Kusini, wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya Katiba ya nchi hiyo.
Rais Akane alitoa ujumbe wa kuunga mkono katika chakula cha jioni cha kukaribisha, na pia alitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo, mbele ya Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Katiba, Mheshimiwa Bi. Mmamaloko Kubayi, na maafisa wengine wakuu kutoka Serikali, mahakama, taaluma ya sheria, na taasisi za kimataifa, pamoja na wawakilishi wa asasi za kiraia.
Rais Akane alisisitiza dhana ya "kamwe tena" inayoshirikiwa na Katiba ya Afrika Kusini na Sheria ya Roma, nafasi kuu ya waathiriwa katika kazi ya Mahakama, na changamoto zinazokabili haki ya kimataifa kwa sasa.
Katika hotuba yake, Rais Akane pia alisisitiza kwamba "'kamwe tena' si msemo tu. Ni ahadi. Na ahadi lazima iimarishwe kila mara, si kupitia maneno tu, bali kupitia vitendo." Akizungumzia hatua za kulazimisha zilizochukuliwa dhidi ya ICC, alisema: "Vizazi vijavyo vitahukumu jinsi tulivyoitikia haki iliposhambuliwa. Tuonyeshe kwamba tulisimama upande wa sheria, upande wa haki, na upande wa waathiriwa."
Kaimu Mwendesha Mashtaka Niang alishiriki katika mjadala wa jopo kuhusu Ushirikiano na Ushirikiano wa Umma na Binafsi. Akitafakari umuhimu wa ushirikiano katika haki ya jinai ya kimataifa, alielezea "roho ya kweli ya muundo wa haki ya jinai ya kimataifa kama inavyoonekana katika Mkataba wa Roma wa ICC, yaani moja ya ushirikiano na hatua za pamoja kupitia vekta ya sheria." Alisisitiza kwamba: "Hakuna mhusika mmoja anayeweza kushughulikia kutokujali peke yake. Kinachohitajika ni 'mfumo ikolojia wa haki' wa juhudi na ushirikiano uliounganishwa: Mahakama, mamlaka za kitaifa, mitandao ya kikanda, asasi za kiraia, watendaji binafsi, wanaofanya kazi pamoja, kila mmoja ndani ya mamlaka yake, lakini kwa mpangilio, kuelekea lengo moja."
Katika pembezoni mwa Mkutano huo, Rais Akane na Kaimu Mwendesha Mashtaka Niang walipata fursa ya kukutana kwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa, Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Katiba Mheshimiwa Bi. Mmamoloko Kubayi, na maafisa wengine wakuu kutoka taasisi za haki za Jamhuri ya Afrika Kusini. Wakati wa mikutano hiyo, maafisa wa Afrika Kusini walisisitiza umuhimu wa kulinda uhuru na uadilifu wa ICC licha ya shinikizo na vikwazo vya kimataifa, na kuimarisha ushirikiano ili kuhakikisha matumizi bora ya sheria.
Rais wa ICC na Kaimu Mwendesha Mashtaka pia walifanya mikutano na wawakilishi mbalimbali wa Serikali kutoka nchi zingine zilizoshiriki, wakiwemo
- Mawaziri wa Sheria, Mheshimiwa Nelson Ramaotwana (Jamhuri ya Botswana),
- Mheshimiwa Richard Ramoeletsi (Ufalme wa Lesotho),
- Mheshimiwa Charles Mhango (Jamhuri ya Malawi),
- Mheshimiwa Fillemon Wise Immanuel (Jamhuri ya Namibia),
- Mheshimiwa Mateus de Cecilia Finiasse Saize (Jamhuri ya Msumbiji),
- pamoja na Naibu Waziri wa Sheria, Mheshimiwa Zainab Athman Katimba (Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).
Wakati wa mikutano hii, Rais wa ICC na Kaimu Mwendesha Mashtaka walijadili mambo ya sasa ya ICC na kuchunguza fursa za kuimarisha ubadilishanaji na ushirikiano.
View: https://m.youtube.com/watch?v=xHWjrc6Ne4w
Mahakama ya ICC inatoa shukrani zake za dhati kwa mamlaka ya Jamhuri ya Afrika Kusini kwa ukarimu na usaidizi uliotolewa kwa ujumbe wa ICC
English :
ICC President and Acting Prosecutor visit South Africa for 30th Anniversary of the Constitution
View attachment 3711563 Image
![]()
From 11 to 13 November 2026, the President of the International Criminal Court (ICC), Judge Tomoko Akane, and Acting Prosecutor Mame Mandiaye Niang, visited South Africa to attend the International Conference on Access to Justice, hosted by the Department of Justice and Constitutional Development of the Republic of South Africa, on the occasion of the 30th anniversary of the country’s Constitution.
President Akane delivered a message of support at the welcome dinner, and also delivered an address at the opening of the Conference, in the presence of the President of the Republic of South Africa, H.E. Mr Cyril Ramaphosa, Minister of Justice and Constitutional Development, H.E. Ms Mmamaloko Kubayi, and other high officials from Governments, the judiciary, the legal profession, and international institutions, as well as civil society representatives.
President Akane highlighted the premise of “never again” shared by the South African Constitution and the Rome Statute, the central place of victims in the Court’s work, and the challenges currently facing international justice. In her address, President Akane also emphasised that “‘never again’ is not just a phrase. It is a promise. And a promise must be strengthened continuously, not only through words, but through action.” Addressing the coercive measures taken against the ICC, she stated: “Future generations will judge how we reacted when justice came under attack. Let us show that we stood on the side of the law, on the side of justice, and on the side of victims.”
Acting Prosecutor Niang participated in a panel discussion on Partnerships and Public-Private Collaboration. Reflecting on the importance of cooperation in international criminal justice, he described “the true spirit of the international criminal justice architecture as perceived by the Rome Statute of the ICC, namely one of partnership and collective action through the vector of the law.” He stressed that: “No single actor can address impunity alone. What is required is a ‘justice ecosystem’ of interconnected efforts and collaboration: the Court, national authorities, regional networks, civil society, private actors, working alongside each other, each within their mandate, but with alignment, towards a common objective.”
In the margins of the Conference, President Akane and Acting Prosecutor Niang had the opportunity to jointly meet with the President of the Republic of South Africa, H.E. Mr Cyril Ramaphosa, the Minister of Justice and Constitutional Development H.E. Ms Mmamoloko Kubayi, and other high officials from justice institutions of the Republic of South Africa. During the meetings, South African officials emphasized the importance of safeguarding the independence and integrity of the ICC amid international pressure and sanctions, and strengthening cooperation to ensure the effective application of the law.
The ICC President and Acting Prosecutor also held meetings with various Government representatives from other participating countries, including Ministers of Justice, H.E. Mr Nelson Ramaotwana (Republic of Botswana), H.E. Richard Ramoeletsi (Kingdom of Lesotho), H.E. Charles Mhango (Republic of Malawi), H.E. Fillemon Wise Immanuel (Republic of Namibia), H.E. Mr Mateus de Cecilia Finiasse Saize (Republic of Mozambique), as well as Deputy Minister of Justice, H.E. Ms Zainab Athman Katimba (United Republic of Tanzania). During these meetings, the ICC President and Acting Prosecutor discussed the ICC’s current affairs and explored opportunities to deepen exchange and collaboration.
The Court expresses its sincere gratitude to the authorities of the Republic of South Africa for the generous hospitality and support extended to the ICC delegation
Wanaweza kulipindua sakata kwa kujifurahisha nafsi zao lkn sio kuwashawishi wananchi waelewe kwamba serikali haikuhusika na mauaji Yale. Nadhani shida ni kwamba" namna Gani serikali ya CCM itajisafisha mbele ya watanzania na Dunia na ikaeleweka kuhusu mauaji ya October 29???"
Maana Kila mtanzania hata mtoto mdogo anajua Kila kitu