JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Urgent Recruiting

Hello team

I would appreciate your assistance in recommending suitable candidates for the position of Finance Manager .

Qualifications and Experience:

ACPA (T) qualification.
Master's degree.
At least 8 years of experience working in a programme/project-based environment, preferably within an NGO.
If you know anyone who meets these qualifications, kindly share their CV via WhatsApp at 0626920841

Deadline: 26 November 2026 at 2:00 p.m.
 
NAFASI YA KAZI – FARM ATTENDANT

Harvest Point Limited inakaribisha maombi kutoka kwa vijana wa kiume wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika nafasi ya Farm Attendant, kwa ajili ya kuhudumia na kusimamia shughuli za kila siku za ufugaji wa kuku wa mayai.

Mahali pa Kazi: Kerege, Bagamoyo – Pwani.

SIFA NA VIGEZO

Mwombaji anatakiwa:

  • Awe na elimu ya Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six).
  • Awe na Namba ya NIDA.
  • Awe mwenye nidhamu, uaminifu na uwajibikaji.
  • Awe tayari kufanya kazi katika mazingira ya ufugaji wa kuku wa mayai.
  • Awe tayari kuishi na kufanya kazi katika eneo atakalopangiwa.

MASHARTI YA KAZI

  • Mshahara: TZS 150,000 kwa mwezi.
  • Chakula na malazi: Vitapatikana kwa mfugaji/eneo la kazi kulingana na mpangilio wa kazi.

JINSI YA KUOMBA

Waombaji wenye sifa wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia barua pepe:

harvestnew2024@gmail.com

Mawasiliano: 0762 225 861
Tafadhali tuma ujumbe tu, usipige simu.

Mwisho wa kupokea maombi: 30/12/ 2026.

Karibuni Sana
 
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
📢 NAFASI ZA KAZI – RESTAURANT KISINIA

Kisinia Restaurant iliyopo Mwenge inahitaji wafanyakazi wa kike na wa kiume kwa nafasi zifuatazo:

🔹 Watoa Oda (Order Takers)
💰 Mshahara: 190,000/=

🔹 Wahudumu (Waiters & Waitresses)
💰 Mshahara: 150,000/=

🍽️ Kula ni juu ya OFISI.

Kama upo tayari kufanya kazi na una nia, tuma picha zako kwa maelekezo zaidi.

📞 0793 508 808
 
Hello Gurus All
Nahitaji Kijana Makini. Mwenye knowlegde ya HR au Site supervsion. Kuanzia Diploma.
Atafanya Kazi ya kusimamia wafanyakazi Site, na administrative work zote.
Akiwa mkazi wa Kibaha hadi Ruvu. Itapendeza sana.
Anyone to be recommended,
Please. DM 0760 043 414🙏
 
Job title: Dealer Trainee
Industry: Gaming
Location: Mbeya

Requirements
  • Diploma/degree in Business administration, Hospitality or related field
  • Strong passion for customer service and interest in the gaming/hospitality sector.
  • Quick learner with strong basic math skills and good hand-eye coordination.
  • Energetic, reliable, and adaptable to flexible working hours, including night shifts.
  • Must be based in Mbeya.

Interested candidates should send their CVs to hr.mbeya@premiercasino.tz
 
📢 URGENT JOB VACANCY – RECORDS OFFICER

A company is urgently looking to recruit 2 Records Officers (1 Female and 1 Male).

Job Details:

  • Position: Records Officer
  • Number of Vacancies: 2
  • Gender: 1 Female and 1 Male
  • Location: Dar es Salaam
  • Employment Type: Full-Time
  • Salary: Negotiable

How to Apply:

Interested candidates should send their CV ONLY via WhatsApp to:

📱 0679 156 158

Hurry! Applications are welcome.

Please share with anyone who may be interested. Good luck!
 
JOB VACANCY
1. KUKUSHOP PRESELLER
We are looking for motivated and reliable kuku shop pre seller to join our team
Requirements
 Degree or Diploma in Business Administration
 Experience in customer care
 Good knowledge of Dar es Salaam
 Fluent in both Swahili and English
 Valid motorcycle driving licence
 Ready to grow and learn new skills

2. ACCOUNTANT
Requirements
 Bachelor’s degree in accounting, Finance, or a related field.
 Strong knowledge of financial reporting, reconciliations
 Proficiency in accounting software/ERP systems and Microsoft Excel.
 Strong analytical, numerical, organizational, and communication skills.
 High level of accuracy, integrity, and attention to data
How to apply: Send your CV phone number 0677088098
 
PERFECT HR'S AND SECURITY CONSULTANT AGENCY

TANGAZO LA KAZI:

Nafasi: MWANASHERIA

Kituo cha kazi: Dar Es salaam HQ
Mshahara : mnono

Sifa za muombaji:
👉🏿Awe jinsia yoyote
👉🏿Awe na umri kuanzia 18 yrs na kuendelea
👉🏿Awe Amesomea taaluma ya sheria na Awe na amepitia law school na kupata mhuri wa mwanasheria

N.B: Anahitajika kwa haraka.

Tuma maombi:
Tuma CV na vyeti husika.ukitaja nafasi unayoomba.

WatsApp: 0760481960
 
Screenshot_20261124-142738_WhatsApp.jpg
 
🌿 UJUMBE WA MATUMAINI WA LEO

Usikubali changamoto za leo zikufanye upoteze imani na kesho yako. Kumbuka, maisha hayahitaji uwe na majibu ya kila kitu leo, yanahitaji uwe na ujasiri wa kuendelea hata pale ambapo mambo hayaendi kama ulivyopanga.

Kuna milango ambayo itafungwa, lakini hiyo haimaanishi safari yako imefika mwisho. Kuna mipango itachelewa, lakini kuchelewa si kushindwa. Na kuna nyakati utajisikia umechoka, lakini usichanganye uchovu na kushindwa.

Jipe nafasi ya kukua, jipe muda wa kupona na zaidi ya yote, usiache kuamini kwamba mambo mazuri bado yanaweza kutokea katika maisha yako.

Leo jikumbushe mambo haya matano:

* Bado nina nafasi ya kubadilisha maisha yangu.

* Makosa yangu ya jana hayaamui thamani yangu ya leo.

* Sitajilinganisha na safari ya mtu mwingine.

* Nitapambana kwa subira, imani na matumaini.

* Mungu bado anaweza kunifungulia milango ambayo sikuitegemea.

❤️ Neno la kubeba leo:

"Usikate tamaa kwa sababu tu hujaona matokeo ya juhudi zako. Wakati mwingine mizizi hukua gizani kabla mti haujaonekana juu ya ardhi."

Endelea kupambana. Bado hujaishi sehemu nzuri zaidi ya simulizi ya maisha yako! 🌅
 
Back
Top Bottom